Tutor B
JF-Expert Member
- Jun 11, 2011
- 9,025
- 6,554
Liwezekanao leo lisingoje keshoAsante comrade, huu Mchanganuo mzuri ngoja nitaufanyia kazi
Liwezekanao leo lisingoje keshoAsante comrade, huu Mchanganuo mzuri ngoja nitaufanyia kazi
Izi mkuu apa dar zinapatikna wap??Mbona vinapatikana vyote ?
Ona hii Incubator ya mayai SABA.
haifiki hata 100,000/=
Nipo kwenye harakat za hiyo project lakin nimeona,kuna sehemu comrade amekosea mfano kwenye bajeti ya bandaLiwezekanao leo lisingoje kesho
huo ndo mpango wa biashara ni makadirio au makisio inahitaji utafuti wa kutosha kikubwa ni chanjo, na kujitahidi kukumbuka vitu vidogo dogo ka gharama za usafiri wa kuku hasa huko ununuliako, gharama za kusafirisha material, gharama za kuparaza hayo maisndi na vitu vingine vidogo ambavyo ni muhimu, ukiangalia vikubwa tuu utakwama ka utakuwa huna hela ya ziada mfukoniHii michanganua kwa kuisoma hivi tu inaonekana ni simple ila ukienda field sasa.
mchanganuo wa biashara unahitaji umakini sana pia wakati mwingine unagoma ka usipokuwa realistic hasa ka hapo ulipoona gharama za banda, banda unatakiwa ujenge la kudumu ili usije ingia mfukoni tena ambako kutaharibu mipango ya pesa kwahiyo lazima ujenge zuri na imaraNipo kwenye harakat za hiyo project lakin nimeona,kuna sehemu comrade amekosea mfano kwenye bajeti ya banda
mkuu inawezekana japo kuku wa kienyeji ukuwaji wake ni wa taratibu kingine usipende fuga ka huna elimu ya kutosha kuhusiana na ufugaji wa hicho kitu maana unawezakuta unapga mieleka bureHii kitu sio lahisi kama wengi wanavyofikiria,ukizingatia makadirio yamewekwa juu sana.mimi nilianza hivyo mwaka jana lakini mpaka leo nina kuku kama ishirini tu maana niliamua kuwala baadhi.changamoto kubwa nilioiona ni kutunza vifaranga ili waongezeke hao kuku,hapo ndo kimbembe
uwezo huo hana labda kwa wale wanaofuga machotara ama wale kuku wanaita wa malawi japo si wa kienyeji ila wanawafuga kienyeji,Jamani nikweli kwamba kuku wa kienyeji anatanga siku 30 mfululizo? mbona tuliokijijini tungekuwa matajili sana. acheni fix watoto wa mjini.
Sijasema haiwezekani mkuu ila nimesema sio lahisi kiasi hicho tunachoaminishwa,na kingine ni kweli kama ulivyosema hawa kuku hasa pure wa kienyeji wanakawia sana kukua na wakati mwingine usipokuwa makini wanadumaa,bora kulima mboga mboga kuliko kufuga pure kienyeji (mimi binafsi)mkuu inawezekana japo kuku wa kienyeji ukuwaji wake ni wa taratibu kingine usipende fuga ka huna elimu ya kutosha kuhusiana na ufugaji wa hicho kitu maana unawezakuta unapga mieleka bure
nakubaliana nawewe mkuu mie nimefuga toka mdogo na mpaka mkubwa na nimefanya ufugaji wa kawaida mpaka wa kisasa so naelewa mfugo ukizingua hutatamani hata kusikia habari za ufugaji tenaSijasema haiwezekani mkuu ila nimesema sio lahisi kiasi hicho tunachoaminishwa,na kingine ni kweli kama ulivyosema hawa kuku hasa pure wa kienyeji wanakawia sana kukua na wakati mwingine usipokuwa makini wanadumaa,bora kulima mboga mboga kuliko kufuga pure kienyeji (mimi binafsi)
Pamoja!nakubaliana nawewe mkuu mie nimefuga toka mdogo na mpaka mkubwa na nimefanya ufugaji wa kawaida mpaka wa kisasa so naelewa mfugo ukizingua hutatamani hata kusikia habari za ufugaji tena
Izi mkuu apa dar zinapatikna wap??
Nawaza kwa sauti, je ni kweli kuku wa kienyeji anaweza kutaga kila siku
?????? theriogenology Kibanga Ampiga Mkoloni
Naomba kujua bei ya hii mashineMbona vinapatikana vyote ?
Ona hii Incubator ya mayai SABA.
haifiki hata 100,000/=