Kuwa mweupe hakukufanyi uwe mzuri

haszu

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2017
Posts
1,567
Reaction score
3,839
Kuna watu wanadhani ukiwa mweupe ndio unakua mzuri na wengine wanakwambia “ weupe umekubeba”, ila kiuhalisia kuwa na muonekano mzuri ni combination ya vitu vingi.

Kwa mfano mimi mbali na kua mweupe, kuna watu wanapenda ninavyo smile,
Kuna wanapenda kucha zangu,
Kuna wanapenda macho na midomo,
Na wengine wako tu general kua wananipenda kua kwa muonekano wangu ki ujumla.
Hivyo ukiwa mweupe usijione ni mzuri, uwe na sifa zinazoeleweka
 
Jinsia gani kwanza wewe 😀😀😀
 
Wewe ni wa kutandikwa fimbo nyingi sana za shingoni hadi akili ikukae sawasawa.Hivi,hayo mawazo yako ukiishi nayo tu kichwani mwako bila kuyaweka kwa mtindo wa maandishi utakufa?Si kila jambo ni la kusimulia watu.Marabook wewe!
 
Una hakika wewe mwanaume timilifu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…