Alietunga algebra fala sana had leo simwelewi
yaani we acha tuUnaitafuta x ilihali ipo hapo hapo[emoji134] [emoji134] [emoji134]
Eti hesabu na sarufi[emoji23] [emoji23]yaani we acha tu
tutenganishe hesabu na sarufi halafu utajua watu wanajua hesabu au lah
Physics nilikuwa natamani kuijua ila ilinikataa kabisa, mathematics nilikuwa naiburuza haswa. Physics ikabaki naijua tu kidogo. Kiswahili na English vilikuwa havinipandi na nikavichukia hadi namalizaPhysics ilikuwa ndio somo langu la kutokea. Nilikuaa napiga sana namba za juu. Math ndio ilinikataa kabisa
Maths na physics [emoji58][emoji58][emoji58][emoji58]
Hahah bwai wewe ni vise versa of me. Mm Kiswahil kilinitesa lakin english nilikuwa napasuaPhysics nilikuwa natamani kuijua ila ilinikataa kabisa, mathematics nilikuwa naiburuza haswa. Physics ikabaki naijua tu kidogo. Kiswahili na English vilikuwa havinipandi na nikavichukia hadi namaliza
dah asee mkuu mie somo la bookkeeping lilikua ndio mtihani mkubwa...lakini nashangaa ndio lililonifikisha hapa nilipo leo..maana nililiacha kabsa kufika chuo nikaona nilichukue🙂
Mbona washangaaaaaDuuh"
Nilikua sipend kusom mashairi ,na yalikataa kukaa kichwanikila somo nilikuwa nalielewa vizuri tu.. ila baadhi ya topics mpaka leo ni shida! Kwenye hesabu circle sijawahi ielewa, oeganic chemistry na mashairi kwenye kiswahili...
Watu kama nyie hua hamsomi kwa sifaNashukuru Mungu, Physics, Chemistry na Mathematics yote nilipata A.
Civics na Mechanical Drafting ndiyo nilifeli kwa kupata D.
siku nyingine unapendelewa unawekewa double digit kama 09Mathematics toka nilivoingia form three ni mwendo wa kupata single digits tu 1 mpaka 9