Chondechonde ndugu zanguni wanajukwaaa!?

Chondechonde ndugu zanguni wanajukwaaa!?

mbegubora29

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2015
Posts
551
Reaction score
401
Mie ni me,nipo 40 plus,Tarehe 5 mwezi novemba nafukuzwa kwenye nyumba ya watu,na nina familia na mama yangu mzazi amekuja kunisalimia lkn hali ya maisha imegeuka chap kutokana na mishe kuwa ngumu ndugu zangun! Naombeni na atakayeguswa anivushe kwa alichojaaliwa mungu atamlipa jmn!
 
Unapoishi hapo hakuna haya mapagale yaliyosahaulika na wenyewe huko? Yaan mtu yupo Mwanza au Dodoma kaja kuacha pagale lake huko Bunju B huu unaenda mwaka wa 8 watu hawajui km mwenye eneo la hilo pagale kafa au bado anaishi limekua chaka tu, vipi huko hakuna mapagale km hayo ukavamia kwa muda ukaishi hapo japo kusogezea siku wadau humu wakiwa wanaset mipango?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom