Kuwa mkweli tu ndugu yangu

Kuwa mkweli tu ndugu yangu

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwakweli hapo ndipo shida inapoanzia.
ukistaajabu ya Mussa utayaona ya hesabu kuwa na herufi yaani ni matatizo kwenda mbele
mambo ya kutafuta x ni magumu kweli
 
"'Kiswahili"' aseee,

Najua kuongea kichizi, ila sasa kwenye kupata matokeo ya darasani ilikua naambulia maksi za hypo tu
 
Physics ilikuwa ndio somo langu la kutokea. Nilikuaa napiga sana namba za juu. Math ndio ilinikataa kabisa
 
ukistaajabu ya Mussa utayaona ya hesabu kuwa na herufi yaani ni matatizo kwenda mbele
mambo ya kutafuta x ni magumu kweli
Unaitafuta x ilihali ipo hapo hapo[emoji134] [emoji134] [emoji134]
 
Back
Top Bottom