UVCCM kimekuwa kikundi hatari sana ndicho kinacho tekeleza operation nyingi za utekaji kikishirikiana na task force.
Kikundi cha utekaji kikimtaka mtu huwasiliana na UVCCM wa eneo husika, kwa sababu UVCCM ndio wanaowajua viongozi wa upinzani walio mikoani, wengine ni marafiki zao wa karibu, wanafahamu kazi zao, makazi yao, sehemu wanazopendelea kutembea iwe vijiweni au kwenye bar.
Kwahiyo, kama una rafiki ambaye ni UVCCM kuwa naye makini, hawana tofauti na polisi mnakuwa naye baa ukifikishwa kituoni anakugeuka.