Kuwa makini na hizi kampuni zifuatazo za kubeti maana ni matapeli

mtarimbo

JF-Expert Member
Jul 12, 2015
1,529
3,919
Kuna makampuni matatu ambayo kiukweli usijaribu kuweka dau refu au usiwategemee sana pindi unapobashiri michezo mbalilili.

1.Gal spot Betting; hawa jamaa siku wakiliwa sana wanazima mtandao,au wakiona kuna mechi zimekaa mkao wanahofu watapigwa lazma wazime mtandao.Ukiweka dau kubwa kuanzia 50,000 jiandae kutapeliwa.

2.Meridian bet.hawa nao Tabia zao no kama za galsport.

3.Slot pesa; Hawa pia nao matapeli ukiweka dau kubwa jiandae kuibiwa ,mtandao watakuzimia
Kaa chonjo na haya makampuni
 
Mkeka walikuwa vzr mwanzoni ila sasa hivi wameyumba. Premier bet wako vzr zaidi wana mpaka huduma ya VIP kwa wateja wanaoweka dau refu ukiwa na shida inatatuliwa on the spot
 
Kuna makampuni matatu ambayo kiukweli usijaribu kuweka dau refu au usiwategemee sana pindi unapobashiri michezo mbalilili.

1.Gal spot Betting; hawa jamaa siku wakiliwa sana wanazima mtandao,au wakiona kuna mechi zimekaa mkao wanahofu watapigwa lazma wazime mtandao.Ukiweka dau kubwa kuanzia 50,000 jiandae kutapeliwa.
2.Meridian bet.hawa nao Tabia zao no kama za galsport.
3.Slot pesa; Hawa pia nao matapeli ukiweka dau kubwa jiandae kuibiwa ,mtandao watakuzimia
Kaa chonjo na haya makampuni
Sportpesa pekee ndiyo huwa naielewa na utaenjoy kwa kutumia Google na siyo app
 
Basi acha turudi analog tuwe tunatoa mikeka ya Makaratasi, Je na hiyo wataiba? Gal Sport anatoaga hizi za makaratasi pia na karibia Option zooote zimo na analiwa balaa na sometimes anakula. Mbona sijawahi kusikia katapeli au kafunga Ofisi zake. Acheni hizo ukiona huwezi kubeti kaa chonjo. Kwa Gal Sport Bet nakataa, ila kwahayo makampuni mengine uliyoorodhesha kwa uzi wako ndio sina hakika nayo.
 
Back
Top Bottom