Mchambuzi
JF-Expert Member
- Aug 24, 2007
- 4,850
- 9,405
Tuanze kwa kupima viongozi akili, taifa litapigwa na butwaa na matokeo.Hata kichaa hudhani watu wenye akili timamu ni vichaa huku yeye akidhani ana akili timamu.
Mtu unatafuta usingizi unagoma halafu unaanza kuwaza matamko ya wanasiasa badala ya kuwaza afya yako.