Kuwa kichaa sio mpaka kuokota makopo! Je, Tanzania tuna vichaa wengi kuliko tunavyojidhania?

Tuanze kwa kupima viongozi akili, taifa litapigwa na butwaa na matokeo

Kuna hoja iliwahi kuletwa humu janvini kuwa WATU WOTE WANAOWANIA UONGOZI WA KUCHAGULIWA wawe wanapimwa afya zao kabla ya kupewa ridhaa ya kugombea!! Hoja hii ya msingi haikupata kuungwa mkono kwasababu viongozi wetu wengi afya zao ni za mgogoro na ushahidi upo; wapo waliotuongoza kwa muda mrefu only to find out before they end their tenure that they have been ailing all along!!! Sio hivyo tu, bajeti ya wabunge wanaokwenda India kwa matibabu ni kubwa kiasi kwamba wanaona aibu kuijadili hadharani bungeni wakati wa budget session!! Not to mention idadi ya viongozi waliokwenda kunywa kikombe kwa babu Mwasapila!!!

Katiba yetu mpya lazima iwe na kipengele kuhusu uthibiti wa afya za viongozi!!
 
Itokeapo ki
Vichaa hawa ni vigumu kuwasaidia ili wapone. Wao huwaona wenzao ni vichaa. Watu wakiwazomea vichaa hao, wazomeaji wataonekana vichaa then huyo kichaa mkuu atawaagiza vichaa walioko chini yake wawakamate wazomeaji.

Shida zaidi ni pale mwenye kasoro hiyo anapokuwa na ulinzi wa kimamlaka inakuwa taabu kubwa. Mnaodai kuna vichaa mtaonekana mna kichaa, na wenye kichaaa wataonekana ndio wenye akili timamu. Tuko njia panda
 
Wanabodi,

Saa hizi natafuta usingizi unagoma, hivyo nimeshuka jf, tutafakari pamoja kuhusu huu utafiti uliowahi kufanywa na kubaini kuwa kwenye kila Watanzania 4, mmoja ni kichaa!. Jee katika hizo sampling, inawezekana pia kukawa na baadhi ya viongozi wetu wa vyama, taasisi, mashirika, na serikali na taasisi zake?. Huu utafiti ulipotoka sikuuamini niliuona kama umekuwa exaggerated, lakini kadri siku zinavyokwenda na mambo yanavyokuwa, mwenzenu nimeanza kuuamini kwa kujifanyia self diognosis na kukuta ni kweli!. Wewe jiulize jee wewe ni mzima?, na kisha jiulize hivi sisi Watanzania tuu wazima kweli? !. Tufanyeje kuondokana na hali hii?.

93dabf10a9a1ea1c5395c14deb0a409c.jpg

Huu ni uzi wa swali..
Kuwa Kichaa Sio Mpaka Mtu Aokote Makopo!. Jee Kuna Uwezekano Tanzania Tunao Vichaa Wengi Kuliko Tunavyojidhania?!.

Kuna msemo usemao kuwa kichaa sio lazima mtu mpaka aokote makopo, ila kwa maneno na matendo ya baadhi ya sisi Watanzania wakiwemo baadhi ya viongozi wetu, nashawishika kabisa kuamini, kuna uwezekano wengine sio wazima kabisa kichwani ila pia sio vichaa kwa sababu hawaokoti makopo! .

Hoja hii imetokana na kutafakari kwa makini baadhi ya kauli, maagizo, na maamuzi yetu sisi kama Watanzania na viongozi wetu accross the section, na baadhi ya matendo yao yakiwemo maamuzi yao ,amri zao na hatua ambazo wanachukua kudeal na situations mbali mbali zinanithibitishia kuwa badhi ya wenzetu sio wazima kabisa kichwani na na mimi nikiwemo, hivyo wanahitaji kusaidiwa kujitafakari badala ya kushangiliwa tuu kwa kila wanachokifanya, hata wakifanya ndivyo sivyo, watashangiliwa tu na kupongezwa! .

Vichaa Viongozi.
Kwa muktadha huo wa ukichaa, ukiwasikiliza matamko ya baadhi ya wanasiasa na viongozi wa serikali, na ukafuatilia matendo yao,amri zao na maamuzi yao, utakubaliana na mimi sisi Watanzania tuna vichaa wengi kuliko tunavyo jidhania.

What to do to help out.
Mtu kichaa hajijui kama kichaa mpaka atakapojulishwa ukichaa wake, na kujitafakari, ndipo atajigundua na kubadilika. Namna ya kuwasaidia viongozi wetu kujitambua, ni pale wanapotamka matamshi ya kiendawazimu, au kutoa maamuzi ya kiendawazimu, badala ya kuwashangilia wazomeeni ili wajitambue.

Kitendo cha viongozi hawa kutoa matamshi ya kiendawazimu na maamuzi ya kiajabu ajabu na sisi tukiwashangilia badala ya kuwakemea au kuwazomea, kunapelekea wote kuonekana ni vichaa!.

Hivi kweli Tanzania tumefika hapa kuwaacha vichaa hawa kufanya ukichaa wao huku sote tukishangilia tuu bila kukemea, jee sote ni vichaa au kuna wenzetu wanaona tofauti na wanaweza kusaidia tubadilike?.

Paskali
Ww kichaa mwenzangu umeanza kujielewa
 
Sifa kunu ya kichaa ni kuamini kuwa Ana akili kuliko watu wote na kuwashangaa wanaomshangaa
 
Usichokijua labda hata wewe ni kichaa pia, tabia moja wapo kubwa ya kichaa ni kumuaona kichaa mwenzake ni kichaa zaidi yake kama vile wewe, unaona wengine wote isipokuwa wewe!
 
Kuna kiongozi wa upinzani juzi katika kampeni ya udiwani alikuwa anasisitiza kabisa achaguliwe diwani wa ccm kwa kura nyingi sana.
Mi nakumbuka kuna mmoja alisema wiki ya maji waziri akienda kwenye sherehe za maji na wakati kuna wananchi hawana maji basi huyo waziri atakuwa bomba yeye mwenyewe!
 
Usichokijua labda hata wewe ni kichaa pia, tabia moja wapo kubwa ya kichaa ni kumuaona kichaa mwenzake ni kichaa zaidi yake kama vile wewe, unaona wengine wote isipokuwa wewe!
Naona kuna kauzi kako umejipinda,Mods wakakaondoa!
Hata mods inaonekana wana vigezo vyao vya kupima vichaa!
 
Kwa ujinga huu tunaofanyiwa na chama flan na bado tunawapata Ikulu unadhani sisi tuna akili timamu!?

Ukifanywa utafita wa watu vichaa zaidi mimi naona watapatikana Tanzania.
 
Back
Top Bottom