Tony Laurent
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 6,432
- 8,380
Kumbe makeke yako yote humu ni kwenye keyboard tu? Usikonde, tupo wengi.Unaweza kushinda ndani kama jini nani sijui!, Halafu ukitoka nje dakika mbili tu unatamani tena kurudi ndani.. mbaya mbovu introvert tunaujinga huu.
Naweza nikawa nataka kutoka na wewe umekaa sehemu nayotaka kupita naweza nikasubiri mpaka utoke ndo namimi nipite!, mitabia myengine sijui ya wapi tu!..
Huku mitandaoni tumejazana maana ndo sehemu tunaweza hata kumtishia mtu kumdunda!, ila huku ana kwa ana hata kutukana tu ni kasheshe!.
Ndo viumbe pekee vinakaa mji fulani ila vinajua mitaa michache sana maana kutembeatembea sio pendeleo sana kwao!.
Mzazi mwenye mtoto wa aina hii usimsokote sana mwanao kumlazimisha achanganyikane na watu!, wakati wake ukifika atachanganyika na atachagua wakuchanganyika nao!.
pili mfatilie ila usimfatilie sana mpaka ukaziba uhuru wake ambao ni amani yake!, utamkosesha kujiamini hata akiwa peke yako atakuwa anaona kama unamuangalia 24/7.
Usiruhusu mtu mwengine ambae hazijui hulka za mwanao amsumbue hovyohovyo bila sababu za msingi.
Jua vitu anavyovipenda ukiweza mpatie kadri uwezavyo kwa vipimo vya wastani, usimzidishie.
Introvert wengi wana hulka ya uoga na akikuwa hiyo hulka ikakomaa ndo inamvaa na kumsababishia "anxiety".
Hivyo hakikisha akiwa bado mdogo mpe kazi ambazo zitaongeza ujasiri wake, sanasana hakikisha anakuwa anafanya zile kazi ngumu kiasi na pia uwe unampa maneno ya kumtia moyo ya kwamba anaweza!. jitahidi kumsoma hali zake maana ni mabingwa wa kuficha!, hivi ndo viumbe vinaweza kutunza siri mpaka kufa!.
Mwisho kuwa makini na namna unavyoenenda nae maana anaweza akawa anakushinda hata utafakari!, usimtake ajielezee sana bali kama ni kitu cha kufanya muache afanye!, maana huwa si wazuri sana kwenye kujieleza ila kutenda wapo smart sana!.
Aina yenu ya watu wanaitwa extroverts. Ni wakurupukaji, wanaongea sanaa, ujuaji mwingii na kuropoka ropoka.Ujinga tu, mental health mmeanza kuitafutia majina mazuri mazuri?! Ati introvert?! Nendeni Mirembe mkatibiwe
Juzi Kati Kuna KIJANA mmoja kutokana na background ya kwao ana cheo kikubwa Sana JWTZ tumesoma nae na tulikua washikaji nikasimulia mtililiko wa changamoto aliyo niingiza Mimi na yeye na Dactari mmoja PhD tukiwa chuo..Ndicho nilichomaanisha.
Anawezaje kuwaandikia watu paragraph zote hizi ukiachana na ile tabia ya kuwa na Ulimwengu usiotaka kuingiliana ili kuprizev eneji na kurechaj battery..
Kama waha na wandengereko 😂🤣Aina yenu ya watu wanaitwa extrovert. Ni wakurupikaji, wanaongea sanaa, ujuaji mwingii na kuropoka kwa sana.
Kwanini huwa huandiki na uwezo unao ?Juzi Kati Kuna KIJANA mmoja kutokana na background ya kwao ana cheo kikubwa Sana JWTZ tumesoma nae na tulikua washikaji nikasimulia mtililiko wa changamoto aliyo niingiza Mimi na yeye na Dactari mmoja PhD tukiwa chuo..
Kwenye group lile letu walistaajabu wakasema Mimi na uwezo wa kuandika Sana makala Ila huwa si utumii..
Tulipo maliza chuo miaka mingi iliyo pita Kuna brother mmoja R.I.P aliona potentiality nyingi nyingi sanaa kwangu na alinambia aendelee kupumzika kwa amani..
Introvert wengi huwa wanazungumza Sana wenyewe na niwa andishi wazuri sanaa
haha!Kumbe makeke yako yote humu ni kwenye keyboard tu? Usikonde, tupo wengi.
Huo ndio ufundi wa Mungu wa uumbaji. Hatuwezi kufanana wote.
Mimi kuna wakati ilikuwa inafika najishitukia. (Ukimya). Naamua ngoja namimi nianze. kuongeangea, bahati mbaya najikuta naharibu kwa kuwa sijazoea kuipiga domo, halafu najikuta mdomo unakuwa mzito na umechoka. Basi naamua kujikubali tu, kwamba hivi ndivyo nilivyoumbwa sina sababu ya kujilazimisha kuishi vinginevyo.
Na miaka kumi non stop nipo mbele ya computer muda mwingi kutibu binadamu.Kwanini huwa huandiki na uwezo unao ?
Kuna Mzee aliseamaga Intro V ni watu wachoyo ...kumbe kweli.Na miaka kumi non stop nipo mbele ya computer muda mwingi kutibu binadamu.
😂😂😂😂 Wee miyeyusho ujue kakaPia faida ya kuwa introvert ni kuwa watu wanakuchukulia wewe ni smart Sana hata ukiwa kilaza .
Unaweza kushinda ndani kama jini nani sijui!, Halafu ukitoka nje dakika mbili tu unatamani tena kurudi ndani.. mbaya mbovu introvert tunaujinga huu.
Naweza nikawa nataka kutoka na wewe umekaa sehemu nayotaka kupita naweza nikasubiri mpaka utoke ndo namimi nipite!, mitabia myengine sijui ya wapi tu!..
Huku mitandaoni tumejazana maana ndo sehemu tunaweza hata kumtishia mtu kumdunda!, ila huku ana kwa ana hata kutukana tu ni kasheshe!.
Ndo viumbe pekee vinakaa mji fulani ila vinajua mitaa michache sana maana kutembeatembea sio pendeleo sana kwao!.
Mzazi mwenye mtoto wa aina hii usimsokote sana mwanao kumlazimisha achanganyikane na watu!, wakati wake ukifika atachanganyika na atachagua wakuchanganyika nao!.
pili mfatilie ila usimfatilie sana mpaka ukaziba uhuru wake ambao ni amani yake!, utamkosesha kujiamini hata akiwa peke yako atakuwa anaona kama unamuangalia 24/7.
Usiruhusu mtu mwengine ambae hazijui hulka za mwanao amsumbue hovyohovyo bila sababu za msingi.
Jua vitu anavyovipenda ukiweza mpatie kadri uwezavyo kwa vipimo vya wastani, usimzidishie.
Introvert wengi wana hulka ya uoga na akikuwa hiyo hulka ikakomaa ndo inamvaa na kumsababishia "anxiety".
Hivyo hakikisha akiwa bado mdogo mpe kazi ambazo zitaongeza ujasiri wake, sanasana hakikisha anakuwa anafanya zile kazi ngumu kiasi na pia uwe unampa maneno ya kumtia moyo ya kwamba anaweza!. jitahidi kumsoma hali zake maana ni mabingwa wa kuficha!, hivi ndo viumbe vinaweza kutunza siri mpaka kufa!.
Mwisho kuwa makini na namna unavyoenenda nae maana anaweza akawa anakushinda hata utafakari!, usimtake ajielezee sana bali kama ni kitu cha kufanya muache afanye!, maana huwa si wazuri sana kwenye kujieleza ila kutenda wapo smart sana!.
Kuna watu ni wasenge kinoma, yaani mtoto mtulivu anatafsiriwa mkosefu. Sipendi watoto wenye fujo kinoma, naweza mlamba hata kofi mama ake ang’akeMimi nilikua na uwezo wa kua mpole mpaka walimu walinisamehe kua Mimi si stahili kupewa adhabu..
Na sura ya upole Sana na nilisha samehewa Sanaa Sana na walimu wakali balaa..
Tukio la udogo nalo kumbuka nikiwa shule za awali ILI WAI KUPELEKWA TAARIFA KUA MIMI SICHANGAMKI PIA SICHEZI NA WENZANGU..
NILISHANGAA SANA NILIPO PEWA ILE TAARIFA KUTO KUPENDA UTUNDU NA FUJO ZA WATOTO WENGINE NIKAAMBIWA SICHANGAMKI NA SICHEZI NA WENZANGU.
Unaweza kushinda ndani kama jini nani sijui!, Halafu ukitoka nje dakika mbili tu unatamani tena kurudi ndani.. mbaya mbovu introvert tunaujinga huu.
Naweza nikawa nataka kutoka na wewe umekaa sehemu nayotaka kupita naweza nikasubiri mpaka utoke ndo namimi nipite!, mitabia myengine sijui ya wapi tu!..
Huku mitandaoni tumejazana maana ndo sehemu tunaweza hata kumtishia mtu kumdunda!, ila huku ana kwa ana hata kutukana tu ni kasheshe!.
Ndo viumbe pekee vinakaa mji fulani ila vinajua mitaa michache sana maana kutembeatembea sio pendeleo sana kwao!.
Mzazi mwenye mtoto wa aina hii usimsokote sana mwanao kumlazimisha achanganyikane na watu!, wakati wake ukifika atachanganyika na atachagua wakuchanganyika nao!.
pili mfatilie ila usimfatilie sana mpaka ukaziba uhuru wake ambao ni amani yake!, utamkosesha kujiamini hata akiwa peke yako atakuwa anaona kama unamuangalia 24/7.
Usiruhusu mtu mwengine ambae hazijui hulka za mwanao amsumbue hovyohovyo bila sababu za msingi.
Jua vitu anavyovipenda ukiweza mpatie kadri uwezavyo kwa vipimo vya wastani, usimzidishie.
Introvert wengi wana hulka ya uoga na akikuwa hiyo hulka ikakomaa ndo inamvaa na kumsababishia "anxiety".
Hivyo hakikisha akiwa bado mdogo mpe kazi ambazo zitaongeza ujasiri wake, sanasana hakikisha anakuwa anafanya zile kazi ngumu kiasi na pia uwe unampa maneno ya kumtia moyo ya kwamba anaweza!. jitahidi kumsoma hali zake maana ni mabingwa wa kuficha!, hivi ndo viumbe vinaweza kutunza siri mpaka kufa!.
Mwisho kuwa makini na namna unavyoenenda nae maana anaweza akawa anakushinda hata utafakari!, usimtake ajielezee sana bali kama ni kitu cha kufanya muache afanye!, maana huwa si wazuri sana kwenye kujieleza ila kutenda wapo smart sana!.
trust me ata pata rafiki tu, it takes time. Au tafuta mtoto mwenye tabia nzuri mwambie awe rafiki wa mwanao.Kuna Mwanangu yuko form 2 ana tabia hizo,akirudi shule ni ndani,kuna baadhi ya majirani uwa wanamuona mtaani akiwa anaenda au kurudi shule lakini hawajui kama ni Mwanangu coz dogo hajulikani anakaa wapi,pale home ni ndani tu,kuna kipindi alidai anataka kunifundisha forex maana nilimpa kipc changu kibovu kibovu na home kuna wifi ya voda ya mchongo,ila sasa upande wa shuleni si mzuri sana,mtaani hana rafiki coz sijawahi kumuona kucheza na wenzake,kuna kipindi nilimfuatilia shuleni kwao nikagundua kule pia hana marafiki,wakati wa kutoka kuelekea stendi uwa namuona yuko peke yake,ajichanganyi na wenzie
kumbe kuacha inawezekana!!👿Nafikiri ilikua wazo zuri kwangu kujitoa taratibu kwenye hilo group na kua Ambivert ( Extrovert + Introvert )
Circumstances za kimaisha zinafanya baadhi ya watu kuwa hivi either upo katiba upbringing ya udini sana au mazingira sio rafiki ya changanyikeni, effects from parenting na socialization.
Kuna kipindi namaliza O'level na A'level nasubiri matokeo kazi kugombana na mshua tu maana anakufuata room mbona hutoki nje wewe? Mida tunaonana ni ile naenda kuchukua chakula au natoka kununua matumizi ya nyumbani (Gengeni, Dukani) au nipo jikoni na saidia kuandaa chakula cha wote.
JF ilikua relief kwa kipindi fulani ila now nimekua mtu mwepesi sana kumzoea mtu na nimekua na limit ya nani nimzoee!
Ni rahisi sana kuwa na msongo wa mawazo na hata kupata depressionUnaweza kushinda ndani kama jini nani sijui!, Halafu ukitoka nje dakika mbili tu unatamani tena kurudi ndani.. mbaya mbovu introvert tunaujinga huu.
Naweza nikawa nataka kutoka na wewe umekaa sehemu nayotaka kupita naweza nikasubiri mpaka utoke ndo namimi nipite!, mitabia myengine sijui ya wapi tu!..
Huku mitandaoni tumejazana maana ndo sehemu tunaweza hata kumtishia mtu kumdunda!, ila huku ana kwa ana hata kutukana tu ni kasheshe!.
Ndo viumbe pekee vinakaa mji fulani ila vinajua mitaa michache sana maana kutembeatembea sio pendeleo sana kwao!.
Mzazi mwenye mtoto wa aina hii usimsokote sana mwanao kumlazimisha achanganyikane na watu!, wakati wake ukifika atachanganyika na atachagua wakuchanganyika nao!.
pili mfatilie ila usimfatilie sana mpaka ukaziba uhuru wake ambao ni amani yake!, utamkosesha kujiamini hata akiwa peke yako atakuwa anaona kama unamuangalia 24/7.
Usiruhusu mtu mwengine ambae hazijui hulka za mwanao amsumbue hovyohovyo bila sababu za msingi.
Jua vitu anavyovipenda ukiweza mpatie kadri uwezavyo kwa vipimo vya wastani, usimzidishie.
Introvert wengi wana hulka ya uoga na akikuwa hiyo hulka ikakomaa ndo inamvaa na kumsababishia "anxiety".
Hivyo hakikisha akiwa bado mdogo mpe kazi ambazo zitaongeza ujasiri wake, sanasana hakikisha anakuwa anafanya zile kazi ngumu kiasi na pia uwe unampa maneno ya kumtia moyo ya kwamba anaweza!. jitahidi kumsoma hali zake maana ni mabingwa wa kuficha!, hivi ndo viumbe vinaweza kutunza siri mpaka kufa!.
Mwisho kuwa makini na namna unavyoenenda nae maana anaweza akawa anakushinda hata utafakari!, usimtake ajielezee sana bali kama ni kitu cha kufanya muache afanye!, maana huwa si wazuri sana kwenye kujieleza ila kutenda wapo smart sana!.
Kuna baadhi ya mambo unaweza uka cope na mazingira ila vingine huchukua muda sana mkuukumbe kuacha inawezekana!!👿
oohManyqnyaso kutoka kwa watu wa karibu kama ndugu, uonevu kutoka lwa watoto wenzake. Vipigo heavy akikosea kitu kidogo n.k