Jinsi ya kupata channels za bure kwenye smart tv

Isaac1

Member
Joined
Nov 12, 2018
Posts
79
Reaction score
70
Habari wanajukwaa,

Natumia TV aina ya TCL na wakati nanunua nilisikia wakisema kuwa unaweza kuweka antena na ukapata free chennels sasa leo nikasema nijaribu nikajarib kuseach nikapata kama channels 175 zikiwemo za Tanzania ila kila nayofungua naambiwa insert CI card sasa je hiyo si CI card naipata wapi au mimi nakosea kuseach walio wahi kufanikiwa katika hili naomba msaada wenu.

Asanteni.
 
Funga antenna ya startimes kisha nenda ktk setting kuna sehem imeandikwa DTV ingia hapo fanya automatic search utapata channels za local zipo Free To Air
 
Na kama natumia dish.?
 
Sana sana TV za Samsung ndo zinakuwaga vizuri unafunga tu antenna una search zinakuja
 
Habari wanajukwaa,

Natumia TV aina ya TCL na wakati nanunua nilisikia wakisema kuwa unaweza kuweka antena na ukapata free chennels sasa leo nikasema nijaribu nikajarib kuseach nikapata kama channels 175 zikiwemo za Tanzania ila kila nayofungua naambiwa insert CI card sasa je hiyo si CI card naipata wapi au mimi nakosea kuseach walio wahi kufanikiwa katika hili naomba msaada wenu.

Asanteni.
Ni lazima TUNER iwe T2,
 
Vipi mimi mwenye hisence hiyo Live Tv Ipo ila sijaweka chochote maana nina dish
 
Back
Top Bottom