Deimos
Senior Member
- Apr 7, 2016
- 120
- 104
Waungwana mmeamka salama?
Kwanza kabisa nianze kwa kuwapa taarifa za kuanza kwa mitihani darasa la nne 2016 yaani SFNA ila katika hali isiyo ya kawaida huko Tabora shule moja ya binafsi Istiqaama imedaiwa kuwa na tabia ya kughushi mitihani hiyo.
Mwaka huu baada ya TAKUKURU kupewa taarifa badala ya kuitumia taaluma yao walifika shuleni hapo na kwenda moja kwa moja kwa Mkurugenzi wa shule hiyo kwenda kusema watu waliowapa taarifa.
Hii ndio Tanzania, tunaomba wizara ya elimu, PCCB na vyombo vinavyohusika vifanyie kazi suala hili!.
Mama Ndalichako tupia jicho pale kuna tatizo.