Kuvuja kwa mitihani darasa la (4) 2016, TAKUKURU Mjitathmini!

Deimos

Senior Member
Apr 7, 2016
120
104
Waungwana mmeamka salama?

Kwanza kabisa nianze kwa kuwapa taarifa za kuanza kwa mitihani darasa la nne 2016 yaani SFNA ila katika hali isiyo ya kawaida huko Tabora shule moja ya binafsi Istiqaama imedaiwa kuwa na tabia ya kughushi mitihani hiyo.

Mwaka huu baada ya TAKUKURU kupewa taarifa badala ya kuitumia taaluma yao walifika shuleni hapo na kwenda moja kwa moja kwa Mkurugenzi wa shule hiyo kwenda kusema watu waliowapa taarifa.

Hii ndio Tanzania, tunaomba wizara ya elimu, PCCB na vyombo vinavyohusika vifanyie kazi suala hili!.

Mama Ndalichako tupia jicho pale kuna tatizo.
 
unataka kuichafua hiyi shule tu.

habari bila picha audio au video haina mashiko masikion mwetu.
 
Huo mtihani wa darasa LA 4 unajuwa unasimamiwa na chombo gani, hakuna ulinzi wowote unaotolewa.
 
Mkuu Punguza Munkari Kidogo Tunategemea Kupata Habari Nzuri Tuweze Kuichangia Vema

Hapo Umewatuhumu Shule Mara PCCB Tukueleweje
 
Nashangaa hadi najisikia vibaya; ina maana hizi English medium schools ni pango la panya;
 
Waungwana mmeamka salama?

Kwanza kabisa nianze kwa kuwapa taarifa za kuanza kwa mitihani darasa la nne 2016 yaani SFNA ila katika hali isiyo ya kawaida huko Tabora shule moja ya binafsi Istiqaama imedaiwa kuwa na tabia ya kughushi mitihani hiyo.

Mwaka huu baada ya TAKUKURU kupewa taarifa badala ya kuitumia taaluma yao walifika shuleni hapo na kwenda moja kwa moja kwa Mkurugenzi wa shule hiyo kwenda kusema watu waliowapa taarifa.

Hii ndio Tanzania, tunaomba wizara ya elimu, PCCB na vyombo vinavyohusika vifanyie kazi suala hili!.

Mama Ndalichako tupia jicho pale kuna tatizo.
Boralanne we uliefauluna mitihaniyawiIzi form six
Achsni watoto wafauluu banaaaa

Div 5 amjapiga kelelel loh
 
Feke
Waungwana mmeamka salama?

Kwanza kabisa nianze kwa kuwapa taarifa za kuanza kwa mitihani darasa la nne 2016 yaani SFNA ila katika hali isiyo ya kawaida huko Tabora shule moja ya binafsi Istiqaama imedaiwa kuwa na tabia ya kughushi mitihani hiyo.

Mwaka huu baada ya TAKUKURU kupewa taarifa badala ya kuitumia taaluma yao walifika shuleni hapo na kwenda moja kwa moja kwa Mkurugenzi wa shule hiyo kwenda kusema watu waliowapa taarifa.

Hii ndio Tanzania, tunaomba wizara ya elimu, PCCB na vyombo vinavyohusika vifanyie kazi suala hili!.

Mama Ndalichako tupia jicho pale kuna tatizo.
REKEBISHA USEMI KUGHUSHI

UNAPOSEMA WAMEGUSHII MNS HIOO N FAKE NA WALA USIUMIZE KICHWA AWATOFAULU

ILA KUNA LA PILI KUPATA MITIHANI YA LANNE HII SASA AKINYONYA MTU ANATEMA KAMA ILIVYO NA NDANI IKO KAMA ILIVYONYONYWA.. HAPO SASA NDIOO TATIZOO

NTARUDI BAADAEE
 
Back
Top Bottom