Kuvamiwa kwa Ofisi za Mwanahalisi na Polisi

Huyu mzushi tu anajua kabisa hawezi kwenda kumkamata Dr. Siraa kwani alishawambia wampeleke mahakamani na ndo anachosubiri wafanye hila wanatumia mjama za kutaka kubenea aacha kuandika habari anazopewa na Dr. Siraa.

Kumkamata mtu ambaye hana habari kosa ila ametumika kupitishia habari ni kitu cha kushangaza na kikwete amekaa kimya tu akiona jinsi wanavyo muaribia, Dr. siraa alishasema yeye anazo anawasubiri wampeleke mahakamani wanasubiri nini kwanini wanamyamyasa kubenea.

Hii inanikumbusha USA, Iraq na North Korea, Iraq alisema hana siraha ya nyukilia na North Korea alisema yeye anazo lakini aliachwa aliyesema anazo na akapigwa aliyesema hana na mpaka leo hawajazipata lakini aliyesema anazo wamenegotite nae vizuri na kumaliza mgogoro.

kwahiyo kwa ulimwengu huu inabidi usema unacho kitu hata kama huna ili uogopwe kama wanavyomwogopa Dr. Siraa.
 
Bravo Dr. Slaa wewe ni shujaa wetu, tunajivunia kuwa na kiongozi shujaa mzalendo. Mungu akutie nguvu katika vita hii dhidi ya mafisadi, hakika utashinda kwani wananchi tupo nyuma yako na mafisadi wataaibika hadharani.

Mungu ibariki Tanzania
 
Dume la mbegu hilo..umenisuuza roho yangu kwa ujasiri na uzalendo wako.

Hakuna cha Robert wala nani anayethubutu kumkaribia acha hiyo ya kumfuata..wote wenye elements za ufisadi wanakaa mbali naye kilomita mia!!

Bravo Dr. Slaa kwa timing yako..umeingilia hii issue at the very material time kwani walitaka kumtishia nyau mpambanaji Kube.
 
wamevuliwa nguo mchana kweupe!

Sasa ndipo tutajua mafisadi ni akina nani haswa!

Je ni watawala au wako nje ya utawala?
 
aLITAJA ACCOUNT ZA BENKI PALE MWEMBE YANGA NA HATA NDANI YA BUNGE HAWAKUONA UMUHIMU WA KAULI HIZO MPAKA LEO? POLISI MNAJIINGIZA KWENYE MATATIZO ZAIDI KUWENI MAKINI
 
Mkuu tambua ya kwamba hawa polisi waliingia mara moja na kuanza kupekua wala hamna cha kuwapa ruhusa au la.ama hauelewi kama walikuwa wametumwa wakaambiwa do anything no one will question?Ila humu JF we dare question.

Wanihitaji ruhusa ya nani?wao instructions zao labda zilikuwa 'live no stone unturned'na kama ruhusa ya kufanya hivyo walikwisha pewa na bosi wao hawakuhitaji ya mtu mwingine.
Hii ndio Tanzania.Ubabe.
 
Hili ndilo najaribu kustress out maana vyombo vya habari havipewi uhuru wa kuoperate kama inavyopaswa katika kuhabarisha watu.Wananchi wengi wanapata habari muhimu sana kupitia vyombo vyao vya habari.
Sisi humu JF am proud to say we are previleged.
 
Zimbabwe yalianza hivi hivi mpaka leo Mugabe ndio amekuwa alivyo,hapa kwetu walianza na kununua vyombo wananchi wakawa hawayasomi tena yale magazeti yenye kusafisha mafisadi ,sasa naona wameamua kuwatishia watu na hata kutaka kuwaonyesha kuwa wanaweza kuwauwa,sasa wajue kuwa dola ikitaka kuanguka udikteta huwa dalili za awali.
 
Nilidhani Idiot ni Mugabe tu kumbe ana wadogo zake kibao ndani ya mwenye serikali ya CCM.

Nadhani muda umefika wa kuTarget Immediate family za Mafisadi kwa nia ya kuwabana kende na kuwavunja nguvu.

Jiandaeni vizuri muda wa kuwapa kibano watoto na wake zenu zenu kwa sana umefika.

Ninyi mafisadi mnalindwa na Polisi 24/7 watoto wenu wenu waliozagaa kila kona ya dunia walindwa na nani?Polisi? CIA?

Mmewasha moto nasi twasha wetu.

Kijana mwenzetu Kubenea kamwe Hafi kwa utashi wenu nyie wazembe.

Naomba muanze kujipigia kura wenyewe nani wa kutangulia kuonja radha ya chungu.

Hapo kale siku zenu za kudumu katika upumbavu wenu zilikuwa nyingi kama mchanga wa Bahari, sasa zimepungua na kuwa chache mno, zahesabaika kwa hesabu ya darasa la pili.

Mtakoma kulinga na Mashati yenu ya Kijani.
 
Madela huwa nakubaliana sana na mawe yako...Na karibu back...Anyways kama kawaida sikubaliani na wewe kuwa Mugabe ni mtu mbaya.
Mengine yote nakubali.
Mugabe siyo IDIOT na wewe unapoangalia kama hapo kwenye picha yako..Angalia na juu pia...Chini sometimes noma.
Maana umenikumbushia ule usemi wako maarafu wa konokono,wembe na chumvi.
 
Nashukuru kwa ushauri wako mzuri.

Kuanzia sasa Nitajitahidi kutazama juu mbele, kulia,kushoto na zaidi nyuma yangu.

Namwita Idiot kwa kitendo kimoja tu kuvuruga uchumi wa Zimbambwe kwa makusudi ili aendelee kutawala.

Zamani zile enzi za Uchaguzi wa kwanza wa Zimbabwe, Mugabe alishutumiwa na kuhusishwa na kulipua Bomu gari lililobeba kura kutoka majimbo yaliyo msapoti mpinzani wake wa jadi Marehemu Joshua Nkomo.
Kura zilizolipuliwa hazikuingizwa katika orodha ya matokeo, Mugabe akaibuka kidedea.

Kwa kuiweka hewani historia hiyo naamini mpiganaji wa msituni huyu hakosi kujiona kwamba yeye ndo Zimbabwe na Zimbabwe ndo yeye.

Wakati mwingine pale Dar Konda wa daladala ndo mwendesha Gari na Dereva ni mtu wa kufuata Amri na kunyonga nyonga usukani tu.
Kula kichwa hicho!
Mchomekee!
Noma! denti!
Juu kwa juu!
Niminyia mwanangu!
Kula Boda! nk

Jamaa angeweka kibaraka wake bwana mdogo fulani ashike madaraka na yeye akaye huko Backbench na kuongoza Jahazi kwa mayowe ya kimya.

Nini kitokee huko Zimbabwe ili sifa niliyompa Mugabe aivae kaa shati la haki ya Mungu?
 
Kubenea hana haki ya kutangaza account ya mtu ina shillingi ngapi,nani kampa nguvu hio hapo ni kuingilia haki ya mtu ya kimsingi
 
Nashukuru kwa ushauri wako mzuri.

Kuanzia sasa Nitajitahidi kutazama juu mbele, kulia,kushoto na zaidi nyuma yangu.

Namwita Idiot kwa kitendo kimoja tu kuvuruga uchumi wa Zimbambwe kwa makusudi ili aendelee kutawala.

Zamani zile enzi za Uchaguzi wa kwanza wa Zimbabwe, Mugabe alishutumiwa na kuhusishwa na kulipua Bomu gari lililobeba kura kutoka majimbo yaliyo msapoti mpinzani wake wa jadi Marehemu Joshua Nkomo.
Kura zilizolipuliwa hazikuingizwa katika orodha ya matokeo, Mugabe akaibuka kidedea.

Kwa kuiweka hewani historia hiyo naamini mpiganaji wa msituni huyu hakosi kujiona kwamba yeye ndo Zimbabwe na Zimbabwe ndo yeye.

Wakati mwingine pale Dar Konda wa daladala ndo mwendesha Gari na Dereva ni mtu wa kufuata Amri na kunyonga nyonga usukani tu.
Kula kichwa hicho!
Mchomekee!
Noma! denti!
Juu kwa juu!
Niminyia mwanangu!
Kula Boda! nk

Jamaa angeweka kibaraka wake bwana mdogo fulani ashike madaraka na yeye akaye huko Backbench na kuongoza Jahazi kwa mayowe ya kimya.

Nini kitokee huko Zimbabwe ili sifa niliyompa Mugabe aivae kaa shati la haki ya Mungu?

Hayo yalishashindikana.

Hao wapya ni wabaya..Mfano ni Mwinyi na Mkapa.
Kusema ukweli Madilu ni muhimu uiangale historia ya Afrika upya na uitafakari.

Na ndio maana wale viongozi wengi wazalendo waliuwawa kama kina Nkrumah na Lumumba.
Wali uwawa na CIA.

Wale waliobaki walibaki kiudikteta na wengine kuwa vibaraka tu na ndio maana Afrika bado iko nyuma tu licha ya utajiri wetu.

Mfano ni hapo bongo.

Kuna watu kama kina Mugabe,Mandela na Mbeki hao ni mashujaa wa Afrika hadi sasa...Wazungu hawakuondoka kwa kupenda na walishaanza mbinu za kumwangusha Mugabe ili wachukuwe hata ule uhuru wa 1980.

Hawakuridhika na ardhi waliyonayo na kwa vigezo vya uhuru wa vyama ndio wakaanza kuleta vubaraka kama kina Tsivangirai ambao wanatumia fursa ya demokrasia kuwaongopea wananchi..Na kwasababu vikwazo huwa vinawakuta wananchi wa kawaida...Ni rahisi sana kumgeuka rais wao.

Hivyo sipendi wamwage damu ila nataka kuwe na maridhiano na mipango mahsusi ya kumkomboa Mwafrika ili anufaike na utajiri wake.

NI MOVEMENT HII.
 
TUNACHAMGANYA VITU AU TUTACHANGANYA VITU.

Nimesoma maoni mengi ya wenzangu huko nyuma na nimeona sana tume base kwenye Criminal Procedure.Hapo mko sawa.Lakini kwa suala hili linahusu vitu vitatu tofauti na ambavyo vinaendana sambamba sana.Navyo ni 1. criminal Procedure 2.Police Duties Act pia 3.Criminal Investigation.
Kwa mtiririko huo ni obvious kuwa OC CID,RCO na RPC wa Dar es Salaam (kinondoni na Temeke)wanafahamu fika kuhusu suala hilo,ISIPOKUWA PROCEDURE ZA UPEKUZI HAZIKUFUATWA.Mwanakijiji hapo juu umesema vizuri ila napingana na wewe kuwa Sheria ya upekuzi imewawekea mipaka Polisi katika upekuzi wake na ndio maana ikawepo sheria ya upekuzi kwa police.Vile vile ukisoma PGO imefafanua barabara tena kwa kuwaelekeza polisi na kuwabana SANA polisi kuhusu kufanya upekuzi hasa kwenye majumba na ndo maana OC CID makini hakurupuki kutoa search warrant.Labda hapa chini niwawekee procedure anazotakiwa kufuata polisi kabla ya kwenda kufanya upekuzi.

Labda nianze na kusema kuwa ni kweli kwa mujibu wa Criminal Procedure,Polisi yeyote ANAPOHISI KITU CHOCHOTE ANA HAKI YA KUFANYA UPEKUZI KAMA SHERIA INAVYOSEMA.So kuhusu kubenea Kupekuliwa wanaweza kusema lolote,ISIPOKUWA inaanza hivi:-
-Kuna kuwa na clues.Zinaweza kuwa zimetoka kwa polisi Mdogo au Mkubwa akawaita Wadogo kuwatuma.Kama imetoka kwa polisi mdogo basi LAZIMA aende kwa OC CID au OCS (kama yeye ni polisi anaevaa magwanda) Lakini kwa hili kwa vile waliofanya upekuzi wamevaa kiraia basi hawa ni wa OC CID.
-Huyo OC CID au RCO au mkubwa mwingine wa polisi mwenye cheo kikubwa ndo mwenye ruhusa ya kusaini,kisha hao askari wanaenda kufanya upekuzi.
-Wakifika kwenye eneo la kufanya upekuzi,say nyumba LAZIMA WAJITAMBULISHE NA WASEME NIA YA UPEKUZI.mfano mimi ni askari fulani na tumekuja kupekua hii nyumba tumesikia kuna siraha ua nyakala za serikali.
-LAZIMA AWEPO SHAHIDI ambae siye mhusika wa nyumba hiyo wala polisi.Hapa wanaokubalika kisheria ni mwenyekiti au kiongozi wa mtaa huo au JIRANI yeyote ambae ni mtu mzima kama viongozi hawapo na pia ataelezwa NIA YA UPEKUZI MBELE YA ASKARI NA MWENYE NYUMBA HIYO.Ndo maana hiyo search warrant kuna sehemu ya shahidi kusaini.
-Mwenye kusachiwa akishaelezwa nia ya kusachiwa uko na nini kinatafutwa ANA HAKI KISHERIA KUWA-SEARCH HAO POLISI KABLA YA WAO KUM-SEARCH hapa ina maana say kama wanatafuta say bastola,basi awasachi polisi kwanza kuhakikisha hao polisi hawana bastola au wanazo.Hii inaondoa utata wa polisi kutengeneza kesi (yaani anakuja na ekizibiti halafu anakuwekea ndani kwako kisha wanasema mwenye nyumba kakutea na bastola) so ndo maana sheria inamtaka msahiwaji amsachi kwanza anae sachi.
-Baada ya mwenye nyumba kuridhika au baada ya kuambiwa kinatafutwa nini na kuwasachi polisi kama ataamua kufanya hivyo atawaongoza polisi ndani wakiwa na SHAHIDI SAMBAMBA.
-Baada ya kumaliza kusachi inajazwa hiyo search warrant mbele ya shahidi na anatia sahihi kuwa kilikuwa kinatafutwa nini na kimepatikana kitu gani na mwenye nyumba anasaini pamoja na huyo shahidi pia.
-Kisha polisi wanaondoka na pia mwenye nyumba bado ANA HAKI YA KUWASACHI POLISI (Kabla hawajaondoka)WASIJE WAKAWA WAMEONDOKA AU WAMEFICHA KITU AMBACHO AKIKUANDIKWA KWENYE SEARCH WARRANT.

Hizo ndo procedure zinazotakiwa kufuatwa kuhusu upekuzi.Sijui kama zimefuatwa,ila kwa jinsi ninavyowajua Mapolisi wetu kwa kukurupuka wakifikiri ni sifa sidhani kama zimefuatwa.Wao manguvu tu.Akili kidooogo.

Tuendelee na issue hii tuone kama procedure zimefuatwa kama hazikufuatwa nafikiri Kubenea ana wakili wake na atawashitaki polisi kwa kumdharirisha na kumsababishia hasara ya mabilioni.

Noted
 
Back
Top Bottom