Senior kibwengo! Usipuuze unayoyasikia mafile mengii yenye bahasha za Kaki yasome

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,013
8,369
Sinior kibwengo wasalaamu nakusalimu nikiwa kijijini kwetu kyabakari Wilaya ya Muleba kijiji cha kisana hapa ndo chimbuko langu.

Jana nilikutahadhalisha yakuwa MH Mbowe akiwa. Ujuremani alikula chakula kilichokuwa na pili pili nyingi Sana.

Nakumbuka akiwa angani Akielekea ujerumani cm yake iliita kumbe ulikuwa ni ujumbe WA email iliyokuwa imebeba mkataba mzito

Email Ile haikusema ilikotoka Ila iliingia kama code za kiusalama yaani zile za wanagenzi(kibwengo hapo umenipata?)

Chap mwamba aliacept Ile code kitu kikawa wazi na mwamba akakinyadua!

Kabla ya kutua ujerumani akabanwa na tumbo la kuhala Kwa sababu uzito wa lire dubwasha alirorushiwa.
Kwanza nmpongeza kibwengo Ile njia aliyoitumia kutuma code" it was very fantastic.

Sinior kibwengo,uwezi amini nimemkumbuka kibwengo mmoja alikuwa "KIPOFU"siku moja alinikuta ofisi za mwanahalisi akajifany OMBA OMBA, Ile naingia getini akanifata akakinga kiganja mithili ya MTU aliyeitaji msaada, nilitoa buku na kumwekea kiganjani aliingiza Ile buku mfukoni na kutoa bahasha ya Kaki.
Walah.

Alikabidhi na kuniambia humo ndani ya bahasha kuna TIPS FOR NEWS, nilishangaa KIPOFU omba omba anaongea ngeri ambayo Mimi niliiskia nikiwa chuo. Alilistiza habari Ile nihandike Kwa masilah mapana ya Umma.

Ndani ya bahasha nilikuta ujumbe mzito na pc ya Bwana mmoj muhindi aliyekuwa akijifanya Dr WA kutubu watu hosptali moja kubwa jijini DSM.

Niliogopa Sana Ila niliingia Street kuusaka ukweli baada ya kuubaini ukweli Yule Dr alitoa mshiko mrefu Kwa mhariri gazeti Fulani nieleweke vyema sikuwa mwandishi wa mwanahalisi Bali nilikuwa nikipendelea kwenda ofisini kwao kumuona Mzee wangu ndimara tigambwage na mwalimu mkuu wa watu, hawa wazee Mimi niliwajua baada ya connection ya Babu yangu marehemu Bairu Katama,mwandishi nguri WA riwaya ya safari ya mwalimu katoto, na Sokoni kariakoo.

Ule mshiko bhana ulisaidia Sanaa Ila ulitolewa chini ya condition moja Yule Dr aondoke nchini Tanzania na vile viungo ambavyo alikuwa.ameisha vinyofoa kutoka kwenye miili ya watanzania alioa waua vizikwe hasiondoke navyo.

Sinior Kibwengo nakusihi nchi yetu ni kubwa sanaaa bahasha za Kaki ziliaribiwa na wanahabari kuzigeuza sehemu ya kupokea rambi rambi ili Hali hawajafa Ila uwa ni rambi rambi za kuzika uwezo wa fikra zao ili waandikie Yale ya kusifia Ila nakusihi hapo mezani pa

Ex sindior kibwengo papanguse kabla ya kukaa, pili vuta droo ya kulia na kushoto, usipoona faili lenye bahasha za Kaki jua jumba ni jeupe na uanzie hapo kufanya kazi,ukikuta zipo na zimejaa hizo bahasha Piga goti mwambie Mungu akubariki na akuangaze maana mirungura na umri wako haviendani umri unakitaka uwe Mzee wa kanisa baada ya kuwa retired.
Than you sinior kibwengo.
 
Sinior kibwengo wasalaamu nakusalimu nikiwa kijijini kwetu kyabakari Wilaya ya Muleba kijiji cha kisana hapa ndo chimbuko langu.
Jana nilikutahadhalisha yakuwa MH Mbowe akiwa. Ujuremani alikula chakula kilichokuwa na pili pili nyingi Sana.

Nakumbuka akiwa angani Akielekea ujerumani cm yake iliita kumbe ulikuwa ni ujumbe WA email iliyokuwa imebeba mkataba mzito

Email Ile haikusema ilikotoka Ila iliingia kama code za kiusalama yaani zile za wanagenzi(kibwengo hapo umenipata?)
Chap mwamba aliacept Ile code kitu kikawa wazi na mwamba akakinyadua!
Kabla ya kutua ujerumani akabanwa na tumbo la kuhala Kwa sababu uzito wa lire dubwasha alirorushiwa.
Kwanza nmpongeza kibwengo Ile njia aliyoitumia kutuma code" it was very fantastic.

Sinior kibwengo,uwezi amini nimemkumbuka kibwengo mmoja alikuwa "KIPOFU"siku moja alinikuta ofisi za mwanahalisi akajifany OMBA OMBA, Ile naingia getini akanifata akakinga kiganja mithili ya MTU aliyeitaji msaada, nilitoa buku na kumwekea kiganjani aliingiza Ile buku mfukoni na kutoa bahasha ya Kaki.
Walah.

Alikabidhi na kuniambia humo ndani ya bahasha kuna TIPS FOR NEWS, nilishangaa KIPOFU omba omba anaongea ngeri ambayo Mimi niliiskia nikiwa chuo. Alilistiza habari Ile nihandike Kwa masilah mapana ya Umma.

Ndani ya bahasha nilikuta ujumbe mzito na pc ya Bwana mmoj muhindi aliyekuwa akijifanya Dr WA kutubu watu hosptali moja kubwa jijini DSM.
Niliogopa Sana Ila niliingia Street kuusaka ukweli baada ya kuubaini ukweli Yule Dr alitoa mshiko mrefu Kwa mhariri gazeti Fulani nieleweke vyema sikuwa mwandishi WA mwanahalisi Bali nilikuwa nikipendelea kwenda ofisini kwao kumuona Mzee wangu ndimara tigambwage na mwalimu mkuu wa watu, hawa wazee Mimi niliwajua baada ya connection ya Babu yangu marehemu Bairu Katama,mwandishi nguri WA riwaya ya safari ya mwalimu katoto, na Sokoni kariakoo.

Ule mshiko bhana ulisaidia Sanaa Ila ulitolewa chini ya condition moja Yule Dr aondoke nchini Tanzania na vile viungo ambavyo alikuwa.ameisha vinyofoa kutoka kwenye miili ya watanzania alioa waua vizikwe hasiondoke navyo.

Sinior kibwengo nakusihi nchi yetu ni kubwa sanaaa bahasha za Kaki ziliaribiwa na wanahabari kuzigeuza sehemu ya kupokea rambi rambi ili Hali hawajafa Ila uwa ni rambi rambi za kuzika uwezo wa fikra zao ili waandikie Yale ya kusifia Ila nakusihi hapo mezani pa
Ex sindior kibwengo papanguse kabla ya kukaa, pili vuta droo ya kulia na kushoto, usipoona faili lenye bahasha za Kaki jua jumba ni jeupe na uanzie hapo kufanya kazi,ukikuta zipo na zimejaa hizo bahasha Piga goti mwambie Mungu akubariki na akuangaze maana mirungura na umri wako haviendani umri unakitaka uwe Mzee wa kanisa baada ya kuwa retired.
Than you sinior kibwengo.
Mkuu tunaona fununu tu cha ulichoandika.
Ungefunguka zaidi ili tuchangie vyema, ama sivyo kama inavyo andikwa Daily Order tukiwa jeshini "Imezuiliwa"!
 
Huo muda hana kizimkazi n wajanja wamejua ni mtu ambae nina uwakika hapendi kusoma bahasha zenye kurasa nyingi. Ndio maana wao wanamwandalia safari tu n kula bata tu. Ona yuko nje y ofisi zaidi y cku 7 unategemea akitoka hapo atasoma nn?.
Huu wimbo tuliusikia awamu ya nne. Hauna mashiko.

Dhana ya e government bado ujinga kwa wengi, wapo wanaofikiri kuwa DG katumbuliwa, hawaelewi kuwa hata mkoa ukiwa mkubwa unatolewa mkoa mwingine. cells kuzaa kwake ni kugawanyika.

Tunataka Train Tunnel hatutaki daraja.

Ujui impact, celles zikipasuka madhara yake ni nini?
 
Director General amekusikia lakini sidhani utegemee mabadiliko yoyote. Kwa katiba yetu ilivyo DG ni lazima aendane na mawazo ya Commander in Chief otherwise ajiuzulu so Hana room ya kuleta mabadiliko au ya kusafisha kitengo kama unavyodhani.

CCM ni Ile Ile na hao TISS sio Malaika, huko NSSF alipotoka si ndio palikua na ufisadi wa kutisha, white elephant projects na incompetence ya hali ya juu?

So sidhani atabadili lolote zaidi ya business as usual
 
SHida inaanza pale mteuliwa anapokua haamini katika uwezo wake kitaaluma bali connection.
Hili swala la connection ni kitanzi kilicho shingoni mwa nchi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom