Kuvaa vibaya na ukimwi

dU! MNANICHOSHA! YAANI MIDUME YA BONGO BALAA! NDIO MAANA UBAKAJI HAUISHI HATA BAADA YA JANGA HILI LA NGOMA.
 
post nyingine zinaboa, maana mtu anauliza kitu anachojua jibu lake, problem most of us we use to preach what we never practice,mavazi yana influence kubwa, hasa kuzingatia maumbile ya mtu, huku uzunguni ni kawaida kupishana na wazungu waliovaa see me through ila maumbile yao they never become men optical comodity,
 
Nimapita mitaa yote hiyo lakina napata kinyaa tu
 
Tamaa zao tu wanaume, kuvaa vibaya kwanza ndio kuvaa gani? Mavazi wala hayana uhusiano wowote na maambukizi ya ukimwi.
Ukimwi mnaautafuta nyinyi wenyewe wala msisingizie mavazi.
 

Vipi na wale wanaovutiwa na burka? Maana kuna wale wanaovutiwa na visivyoonekana, sasa mtawasaidiaje nao?

 
Yooi Habari zenu ndugu zangu.,kama nipo katika wakati mgumu hivi..kuna Girl anakujaga Sana ofisini kwetu kwa rafiki yake..mazoea ya Mara kwa tukajikuta tumezoeana Sana..mtoto mkali balaa,taa zimewaka kwangu,na kwake PIA.,plus am single natamani nijiweke..but rafiki yake ambae Ni Mfanyakazi mwenzangu anasema Girl anatumia Dawa..sijui nifanyaje..naombeni ushauri..,sometimes nahisi kama Ana wivu ananitisha..mazee nijiweke au nikaushe??
 
Miruzi mingi hupoteza mbwa
 
Piga tu...kwani ukimwi kitu gani?
Mbona hata viongozi wanao.!
 
We kula tu mkuu, hata mimi nahisi huyo rafiki yake ana wivu.
 
Mkuu kuwa makini yawezekana ni kweli au ni wivu tu wa huyo rafiki ake, mi naona kabla ya lolote kuendelea mcheki afya zenu pamoja ili mjiridhishe
 
Kuna utata hapo anatumia dawa ya aina gani.... ??
1. Dawa ( bangi )
2. Dawa ( parasetamo )
3. Dawa ( ya mbu )
4. Dawa ( kikohozi )

Hebu fafanua vyema mzee baba.
[emoji4]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…