Kuvaa nguo ya CCM ni dhambi?

Kuvaa nguo ya CCM ni dhambi?

Super H

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2012
Posts
1,070
Reaction score
405
Awali ya yote niwasalimieni nyote.

Nilikuwa na safari ya kutoka sokoni hapa mwanza mjini na niliitaji kwenda hadi Kilimahewa nikaona nipite Makoroboi ili nipande hiace pale karibu na mataa.

Nimekutana na dhahama na kunyanyapaliwa kusiko na mfano mara niitwe teja,fisadi wengine wananisukuma bila sababu kisa nimevaa tisherti ya Ccm,kosa langu ni lipi hadi kufikia hata wenye hiace wanakataa nisipande gari yao?

Nimepatwa na hasira sana!
 
nimepatwa na hasira sana!

Kwa nini uvae nguo ya ccm? Kwani we huna zako? Si bora hata uvae za cdm maana hana nongwa na watu!
Kiroho saaaafi!
 
Hawajakosea, wezi ni ninyi, mateja ni ninyi , wauaji , majangili , mafisadi malaya na mauporo yote mabaya ya nchi hii ni yenu. Sasa mtshirt huo huoni umejaa dhambi za mauti?
 
Na unabahati huja kutana na mimi gamba mkubwa wee!
Jitu zima unavaa nguo za mateja,mafisad, maua watu,dentists wa tembo,wauza sembe na uchafu wote wa nchii.
Ningekutwanga kofiii,agrrrr !
 
Usirudie tena mchezo huo......mtu anayejitambua havai hizo satini siku hizi Super H.
 
Last edited by a moderator:
Usirudie tena mchezo huo......mtu anayejitambua havai hizo satini siku hizi Super H.Siku nyingine utapigwa we haya tu.......
 
Last edited by a moderator:
Iwapo hii ni kweli, basi tumefika pabaya mno

Kwanini mtu anyanyapaliwe kwa kutumia uhuru wake wa kikatiba?
 
Join Date : 6th October 2012
Posts : 270
Rep Power : 399
Likes Received60
Likes Given0

Hata humu wewe ni wa kupigwa mawe tu.Hapo tu kwenye red napata picha ya tabia yako.
 
Hii ni stori tuuu... unataka tuambia toka 2010 haujaivaaa?????? acha zuga...wala siamini kama kuna siasa uchwara namna hii???? Watz tunahitaji kufundishwa nini maana ya siasa... tunahitaji hoja zenye tija na sio misigano ya nguo...
 
mkuu nguo za chama huwa navaa ila sijawahi tinga nazo mwanza mjini kwani mimi ninaishi USAGARA kama unaenda busisi.
Embu na we jaribu kuvaa labda wamenionea tu hao watu walionizomea,nimechukia kweli leo
 
Join Date : 6th October 2012
Posts : 270
Rep Power : 399
Likes Received60
Likes Given0

Hata humu wewe ni wa kupigwa mawe tu.Hapo tu kwenye red napata picha ya tabia yako.

mkubwa mi natumia tu simu natamani sana kuwapa watu like ila sijui ni wapi kitufe kipo.....msaada
 
Back
Top Bottom