PRINCE CROWN
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 5,210
- 4,178
Zambi kubwa sanaa tena wangekupiga mawe tu
yaani ukionekana na nguo za magamba, ni kama umevaa kaniki,
Zambi kubwa sanaa tena wangekupiga mawe tu
Una bahati, laiti ingetokea tu kibaka ameiba alafu nawe upo karibu zikasikika sauti za 'mwizi! Mwizi!'Muda huu tungeongea mengine!kibaka angeachwa!Kuna watu wana machungu hadi unaogopa.Usirudie tena kuvaa ulivyovaa kwa sehemu kama Mwanza ni HATARI SANA!Awali ya yote niwasalimieni nyote.
Nilikuwa na safari ya kutoka sokoni hapa mwanza mjini na niliitaji kwenda hadi Kilimahewa nikaona nipite Makoroboi ili nipande hiace pale karibu na mataa.
Nimekutana na dhahama na kunyanyapaliwa kusiko na mfano mara niitwe teja,fisadi wengine wananisukuma bila sababu kisa nimevaa tisherti ya Ccm,kosa langu ni lipi hadi kufikia hata wenye hiace wanakataa nisipande gari yao?
Nimepatwa na hasira sana!
Una bahati, laiti ingetokea tu kibaka ameiba alafu nawe upo karibu zikasikika sauti za 'mwizi! Mwizi!'Muda huu tungeongea mengine!kibaka angeachwa!Kuna watu wana machungu hadi unaogopa.Usirudie tena kuvaa ulivyovaa kwa sehemu kama Mwanza ni HATARI SANA!
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Awali ya yote niwasalimieni nyote.
Nilikuwa na safari ya kutoka sokoni hapa mwanza mjini na niliitaji kwenda hadi Kilimahewa nikaona nipite Makoroboi ili nipande hiace pale karibu na mataa.
Nimekutana na dhahama na kunyanyapaliwa kusiko na mfano mara niitwe teja,fisadi wengine wananisukuma bila sababu kisa nimevaa tisherti ya Ccm,kosa langu ni lipi hadi kufikia hata wenye hiace wanakataa nisipande gari yao?
Nimepatwa na hasira sana!
Awali ya yote niwasalimieni nyote.
Nilikuwa na safari ya kutoka sokoni hapa mwanza mjini na niliitaji kwenda hadi Kilimahewa nikaona nipite Makoroboi ili nipande hiace pale karibu na mataa.
Nimekutana na dhahama na kunyanyapaliwa kusiko na mfano mara niitwe teja,fisadi wengine wananisukuma bila sababu kisa nimevaa tisherti ya Ccm,kosa langu ni lipi hadi kufikia hata wenye hiace wanakataa nisipande gari yao?
Nimepatwa na hasira sana!
Awali ya yote niwasalimieni nyote.
Nilikuwa na safari ya kutoka sokoni hapa mwanza mjini na niliitaji kwenda hadi Kilimahewa nikaona nipite Makoroboi ili nipande hiace pale karibu na mataa.
Nimekutana na dhahama na kunyanyapaliwa kusiko na mfano mara niitwe teja,fisadi wengine wananisukuma bila sababu kisa nimevaa tisherti ya Ccm,kosa langu ni lipi hadi kufikia hata wenye hiace wanakataa nisipande gari yao?
Nimepatwa na hasira sana!
Join Date : 6th October 2012
Posts : 270
Rep Power : 399
Likes Received60
Likes Given0
Hata humu wewe ni wa kupigwa mawe tu.Hapo tu kwenye red napata picha ya tabia yako.
Awali ya yote niwasalimieni nyote.
Nilikuwa na safari ya kutoka sokoni hapa mwanza mjini na niliitaji kwenda hadi Kilimahewa nikaona nipite Makoroboi ili nipande hiace pale karibu na mataa.
Nimekutana na dhahama na kunyanyapaliwa kusiko na mfano mara niitwe teja,fisadi wengine wananisukuma bila sababu kisa nimevaa tisherti ya Ccm,kosa langu ni lipi hadi kufikia hata wenye hiace wanakataa nisipande gari yao?
Nimepatwa na hasira sana!
Nape mwenyewe havai hizo nguo
acha ushamba wewe.. wengi humu wanatumia jf mobile ambayo haina option hiyo.
Nimekupata mkuu.mkubwa mi natumia tu simu natamani sana kuwapa watu like ila sijui ni wapi kitufe kipo.....msaada
Ha ha ha tena apite pale mianzini au stand sipati picha
Tena usirudie maana hata baba wa taifa hajawahi vaa muda wote wa uongozi wake