mkuuu janaa nilitokaa kumchana dem manguu kwa kumuacha gaflaa anajifanya mtu wa mungu sanaa iaseee kumbe ni bogo la nyokaaaa huwezi amin hata ukimoana....Kwenye life watu wengi wanafake
yule wa nyuma ameseparate
Unajua asilimia zote tunafake sana, tunajifanya tunarugha nzuri, tunakula vzuri wacheshi kumbe hamna lolote subiri akuonyeshe makucha, yasimba cha mtoto
