Shadow7
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 13,800
- 20,210
Jibu ni hapanaau wanasayansi ndio wamemuunda binadamu
Jibu ni hapanaau wanasayansi ndio wamemuunda binadamu
Shukurani nyingi sana kwa kuthamini mchango wangu.Wewe brother ndio ulisababisha nijiunge jamiiforums kutokana na hoja zako nzitonzito
Kwahiyo aliyetuumba alikuwa mfanyabiashara?Jibu ni hapana
Mlolongo unaishia wapi huu...!!Kukosa majibu ya baadhi ya maswali isiwe kigezo cha kusema umeumbwa!
Vipi ukiambiwa fulani ndio kakuumba si lazima utahoji pia aliyemuumba huyo fulani mwenye akili kubwa ya kukumba wewe?
Ikiwa umeumbwa, vivyo hivyo aliyekuumba lazima nae awe ameumbwa....
Mlolongo unaendelea
😁 😁 😁basi ni lazima awe mwanasayansi wa kiwango kikubwa sana
Nani aliyekwambia tumeumbwa?Mlolongo unaishia wapi huu...!!
Nani amekwambia yule aliye kuumba lazima awe ameumbwa ?
Bwana Mokaze mimi ni mvivu kuandika
U think too much broSwali dogo tu la kuthibitisha kwamba Mungu yupo linapokuwa halijibiwi kimantiki, na linapigwa danadana za longolongo nyingi sana, linaonesha huyo Mungu hayupo, katungwa na watu tu.
Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote angekuwepo asingekuwa mkatili hivyo ajifiche sana, watu wauane katika vita za kidini wakibishana kumtafuta.
Mungu huyo angekuwepo ingekuwa kila mtu anazaliwa akimjua kwa urahisi tu, bila kuhubiriwa, bila kuhitaji kitabu, bila ya watu tofauti kumjua kiutofauti.
Mungu huyo kuwa na utata mwingi kujulikana kwa watu wa dunia nzima, ni ukatili wa hali ya juu, kitu ambacho kina contradict upendo wote anaosemwa kuwa nao Mungu huyo.
Mpaka hapo tu utaona huyu Mungu anayesemwa na watu katungwa tu na watu.
Ndiyo maana utasikia wanampa tabia za watu. Mara Mungu kakaa kwenye kiti cha enzi, sasa Mungu anakaa kwenye kiti anaogopa kuanguka?
Mara Mungu kakasirika, hivi huyu Mungu hana control ya hasira zake? Mungu anayejua kila kitu kitakachotokea anaanzaje kukasirika?
Mara Mungu kaona watu hawamfuati kawaua kwa gharika, ina maana alivyoumba hakujua hawatamfuata?
Mara Mungu ataunguza mabilioni ya watu kwenye moto wa milele.Hivi huyu Mungu anawanyima watu neema ya kumjua, wengine hata kusoma vitabu vyake hawawezi, halafu watu hao awachome motoni milele? Huyu ndiye Mungu mwenye upendo wote kweli jamani?
Ukichunguza sana utaona hizi ni hadithi za kutungwa na watu tu, huyo Mungu anayesemwa hayupo.
Kweli mkuuBinadamu tumeumbwa na Mungu. Sababu ya kutuumba ndio wengi hawaijui
Jibu swali kwanza kisha uulize.Nani aliyekwambia tumeumbwa?
You only think that because you think too little.U think too much bro
Claude Shanon amekutekaYou only think that because you think too little.
brother hata Mimi nilikua blind,kupitia mabandiko yako yenye fact na nondo zilizoshiba niliamua kua free minded nikaanza kuona mambo kwa jicho la tatu na niaanza kuishika elimu na kusoma mambo yenye logic na contradictions kiujumla,Shukurani nyingi sana kwa kuthamini mchango wangu.