Kuumbwa BINADAMU/nani kamuumba?

Kuumbwa BINADAMU/nani kamuumba?

Ngoja waje kukupa muongozo...

Utaambiwa lilianza Neno...
Utaambiwa ilianza Cell...
 
Mungu ndie Kamuumba Binadamu kwa Mikono yake kama vile ulivyosema Binadamu kaunda Gari kwa Mikono yake na akili zake.Lkini Mungu yeye ndiye aliyeanzisha Materials zote za Kumuuba Binadamu na Mzingira yake(Earth)
Huyu Kiumbe mwenye uwezo wa kufikiri kiasi hiki cha kuunda Mgari katika Karne hii ya 20/21 tuu sikabla ya hapo ni Uvuvio maalumu kwa watu Maalumu aliowachagua M/Mungu na kuwapa hii taluma na uvumbuzi.

Bahati mbaya sana Mwafrika ,hayumo kwenye mradi huuu wa uvumbuzi popote pale duniani.
Ni watu weupe tuu ndio Mungu kawapa Vipaji hivi.
Sababu za kwa nini wao tuu sijui.
Unamzungumzia mungu gani hapa
yehova?yesu?appollo?zeus?krishna?budha?mithra?isis?osiris?horus?
 
Kanuni ya wewe kustaajabu uwepo wako ilihali hujastaajabu uwepo wa huyo unaefikiri alikuumba.

Ni sawa na uone baiskeli ushangae useme lazima kuna aliyeiunda hii baiskeli alafu uone ndege ikipaa angani uone ni jambo la kawaida.

Maana yangu ni hii, aliyekuumba ni wa utata kuliko wewe na haiwezekani atokee tu from nowhere, hivyo ukiona umejishangaa sana kuwepo kwako ukafikia kuwaza lazima kuna aliyekuumba, ni kwanini sasa usijiulize katokeaje huyo aliyekuumba maana anayo maarifa kuliko wewe na niwaajabu kuliko wewe?
Unaokota komputer ya kizamani porini unasema hii computer Kuna aliyeiunda! Haiwezekani iwepo tu pasipo na muundaji wake alafu papo hapo mbele kidogo unaokota supercomputer hushangai na kujiuliza kama kuna aliyeiunda 😊😊

Huko ni kutokutumia akili yako vizuri katika kuwaza.

Kama yupo Mungu muumbaji wa yanayotushangaza, vivyo hivyo lazima kuwe na chanzo chenye maarifa zaidi kuliko yeye kilichomtokeza yeye! Ukitaka kuhoji imekuwaje wewe wa utata upo kama ilivyo leo, waza pia alikotoka huyo wa utata kuliko wewe.

Narudia tena, kukosa majibu ya baadhi ya maswali isiwe kigezo cha kutoa majibu yasiyo na hakika.

Kwanza thibitisha kama Mungu yupo... Voice of Kiranga 😊😊
Mungu ametokana na yeye mwenyewe Mungu.
 
Kwa sababu ndiyo ipo hivyo!
Kwanini yeye mwenye maarifa mengi awe amejitokeza mwenyewe alafu sisi wenye maarifa kidogo tuwe tumetokezwa na yeye?

Sawa ukute nyumba ya kisasa yenye huduma zote porini useme hii nyumba imejitokeza yenyewe, alafu papo hapo ukutane na jabali kubwa useme hili jabali lazima limeumbwa! Haiwezekani liwe limetokea tu lenyewe.
 
Kwanini yeye mwenye maarifa mengi awe amejitokeza mwenyewe alafu sisi wenye maarifa kidogo tuwe tumetokezwa na yeye?
Kwa sababu maarifa mengi yanajiongoza yenyewe na maarifa madogo yanaongozwa na mengi.
Sawa ukute nyumba ya kisasa yenye huduma zote porini useme hii nyumba imejitokeza yenyewe, alafu papo hapo ukutane na jabali kubwa useme hili jabali lazima limeumbwa! Haiwezekani liwe limetokea tu lenyewe.
Mfano wako ni sawa na useme chips yai imejitokeza yenyewe na chips kavu imetengenezwa!
 
Kwa sababu maarifa mengi yanajiongoza yenyewe na maarifa madogo yanaongozwa na mengi.

Mfano wako ni sawa na useme chips yai imejitokeza yenyewe na chips kavu imetengenezwa!
Nipe mfano wa maarifa yanayojiongoza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom