Kuumbwa BINADAMU/nani kamuumba?

Kuumbwa BINADAMU/nani kamuumba?

Mimi mchawi. I know that which thou know not
Angalia tu usichukue majina ninayoyataja hapa, ukanitajia tena kama mganga wa kienyeji muongo, halafu ukajiona mchawi.

Ungemuelewa Claude Shannon usingeshobokea uchawi.
 
I wonder how they know this, mfumo wa engine ni wakushangaza Sana, na si engine tu vitu vingi sana vilivyoundwa na mwanadamu vinashangaza , unajiuliza wamepata wapi hii knowledge ya kutengeneza haya mavitu ,
Wazungu kuna vitu wanavijua na wametuficha sisi maniga.
This knowledge is beyond human thinking capacity, there is someone who transfer this knowledge to white people.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mimi huwa nawaza hivyo Eng. Zezudu kwasababu kuna vitu kama microprocessor namna inavyotengenezwa vile vi transistors kiukweli huwa inanitafakarisha sana
 
Angalia tu usichukue majina ninayoyataja hapa, ukanitajia tena kama mganga wa kienyeji muongo, halafu ukajiona mchawi.

Ungemuelewa Claude Shannon usingeshobokea uchawi.
Za kuambiwa changanya na zako. Uchawi upo hata kama Claude Shanon hataki
 
Za kuambiwa changanya na zako. Uchawi upo hata kama Claude Shanon hataki
Uchawi ni nini na unajuaje huu ni uchawi, si kitu usichokijua tu?

Maana kuna wahenga kwa ushamba wao walifikiri redio ni uchawi, kumbe hawajui tu inavyofanya kazi.

Sasa utajuaje huu uchawi na hiki ni kitu kingine tu usichokijua lakini si uchawi?
 
Uchawi ni nini na unajuaje huu ni uchawi, si kitu usichokijua tu?

Maana kuna wahenga kwa ushamba wao walifikiri redio ni uchawi, kumbe hawajui tu inavyofanya kazi.

Sasa utajuaje huu uchawi na hiki ni kitu kingine tu usichokijua lakini si uchawi?
Uchawi ni uchawi bwashee we kama unataka mganga sema upelekwe. Wachawi wapo waganga wapo Tena waganga hatari
 
Uchawi ni uchawi bwashee we kama unataka mganga sema upelekwe. Wachawi wapo waganga wapo Tena waganga hatari
Kanuni za definition zinakataza kutumia neno unalotaka kuli define katika definition ya neno hilo hilo.

Kama mtu hajui uchawi ni nini. Na anataka umuelezee kwa definition, ukimwambua "uchawi ni uchawi" unamrudisha kulekule alikotoka kwenye kutojua uchawi ni nini.

Unazunguka palepale bila kuelezea uchawi ni nini.

Atakuuliza tena.

Sawa.

Uchawi ni uchawi.

Lakini, uchawi ni nini?

Hujajibu swali.
 
Natamani hata kiama kiwe kesho wakina kiranga wapewe haki yao Sema shida mwenyewe Nahesabiwa apo tu!
 
Mungu ndie Kamuumba Binadamu kwa Mikono yake kama vile ulivyosema Binadamu kaunda Gari kwa Mikono yake na akili zake.Lkini Mungu yeye ndiye aliyeanzisha Materials zote za Kumuuba Binadamu na Mzingira yake(Earth)
Huyu Kiumbe mwenye uwezo wa kufikiri kiasi hiki cha kuunda Mgari katika Karne hii ya 20/21 tuu sikabla ya hapo ni Uvuvio maalumu kwa watu Maalumu aliowachagua M/Mungu na kuwapa hii taluma na uvumbuzi.

Bahati mbaya sana Mwafrika ,hayumo kwenye mradi huuu wa uvumbuzi popote pale duniani.
Ni watu weupe tuu ndio Mungu kawapa Vipaji hivi.
Sababu za kwa nini wao tuu sijui.
Kwamba watu weupe tu ndio wamepewa vipaji! Daah! Nikipata nafasi ya kutosha ntaandika zaidi kuhusu hii reply yako
 
Ivi wakuu Kuna kitu kinanichanganya akili,

Nikiangalia syteam ya injini ya gari ilivyotengenezwa kwa mapangilio, na gari yenyewe pia kwa ujumla, yaan Kuna mfumo wa kupooza injini, Kuna mfumo wa kupooza oil, Kuna mfumo wa kutoa hewa chafu kwenye ekzosti, na mengi mengine,
Jibu ni binadamu ndio aliyeunda gari na vyombo vyote vya moto na mitambo mengine, etc,

Sasa ukija kwa binadamu nae Kama gari ivyoivyo, ebu aliyefikiria kuweka njia ya haja ndogo iwe mbele na sio nyuma nani, akatenganisha shahawa na mkojo, angalia mwanamke akibeba mimba tu ,basi automatically machuchu yake yanavimba nakuanza kutengeneza maziwa, ajabu zaidi katoto kakizaliwa tu sijui nani anakafundisha kapeleke mdomo kwenye nyonyo kutafuta maziwa, cha ajabu kingine ukikata titi la mama anaenyonyesha, hutoyaona maziwa yakitiririka, bali itatiririka damu aswaa,

Gari na vyombo vingine vimeundwa na binadamu bilashaka, Tena kisayansi,
Sasa najiuliza binadamu nae kaumbwa na nani, au wanasayansi ndio wamemuunda binadamu,

Uzi tayari______&$+-&

muandiko mbaya wa kizee mtanisamehe
kumbee task force wee m
bibi??? Shikamooo
 
Kukosa majibu ya baadhi ya maswali isiwe kigezo cha kusema umeumbwa!

Vipi ukiambiwa fulani ndio kakuumba si lazima utahoji pia aliyemuumba huyo fulani mwenye akili kubwa ya kukumba wewe?
Ikiwa umeumbwa, vivyo hivyo aliyekuumba lazima nae awe ameumbwa....

Mlolongo unaendelea
Natural desire for eternal happiness is not in vain. There's the finality of everything as is the beginning, but the origin of corporeal beings presupposes a necessary transcending, incorporeal being responsible for the existence of all other beings.
 
Kwa kuwa kawaida ya dunia kila kilichopo kinahitaji mwanzilishi/chanzo.... basi hata wanaosema kuwa Mungu kaanzisha vyote nayeye pia anahitaji chanzo/Au mwanzilishi wake/ na mwanzilishi wa MUNGU pia anahitaji mwanzilishi wake, ....hivyo tutarudi nyuma kusiko kuwa na mwisho, ...na kwa mantiki hii nikwamba kurudi nyuma kusiko kuwa na mwisho kwenyewe hakuna chanzo, hivo kwa vyovyote vile kuna Mtu/kitu ambacho hakina chanzo ...

kurudi nyuma kusiko kuwa na mwisho kuna maanisha Chanzo cha vyote hivi si nafsi inayotokana na kitu kingine sio matunda ya uumbaji,
hata hivyo inashangaza kuona tunajadili kitu ndani ya muda kama mwanzilishi anaishi ndani ya muda na nje ya muda na kama muda ni kitu ambacho kimeumbwa nayeye , hivyo kusema hali ilikuaje kabla ya kuwepo kwa MUNGU ni kujipinga.
 
Vinashangaza Sana Yani? Wazungu kuna ukweli wanauficha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unajiita Engineer halafu hujui maana ya "layers of abstraction"
Chukua system yoyote ile complex,mfano Laptop yako
Ifungue,utaona imeundwa na "individual components" nyingi sana zinazofanya kazi tofauti tofauti kukamilisha "common goal"....ila ukichunguza hizo individual components, utaona zimeundwa pia na much smaller "components"...mfano chukua tu ki Pisi cha waya,utaona kimeundwa na material husika ambayo nayo yaana historia ndefu ya uvumbuzi wake
In fact kwa kila kifaa unachokiona kwenye complex system yoyote kina " historia " yake na jinsi gani kilipitia mabadiliko badiliko mpaka kufika "form" iliyonayo sasa

Na hizo components sio kwamba zilitengenezwa kwa ajiri ya hio system,wires zilikuwepo kabla ya computer, transistor zilikuwepo kabla ya computer, metal cases zilikuwepo kabla ya computer,Computer inatumia 100% ya mda wake Ku execute algorithms, Mathematician waliandika hizo Algorithms miaka mingi hata kabla ya hatuja gundua "umeme"

Hivyo vyote ni zao LA knowledge ya watu wengi kutoka kila kona ya dunia,walio pata kuwepo kwa miaka mingi

Hio computer ni matokea ya kuweka hizo knowledge zote pamoja,na hata computer haiku tengenezwa kwa "siku sita" ni zao la miaka mingi,ina historia yake pana mpaka kufikia hio "form" unayoiona nayo sasa hivi,kutoka "size ya chumba" mpaka unaishika mkononi

What you actually see unapo chunguza "complex system" yoyote ni "Evolution" na sio "instant design"

Tatizo lenu ni pale mnapo taka Ku attribute sifa zote kwa mtengenezaji wa mwisho,na kumpa credit kwa kila LA ajabu mnalo liona kwenye system yake

They are just standing on the shoulders of Giants,from all over the world...

Kila jamii duniani,ina mchango wake kwenye science, haijalishi unaonekana mdogo kiasi gani

Kitu kingine mnaposhindwa kuelewa jinsi gani kitu kimewezekana au kinaweza vipi kufanya kazi aidha mna kikataa au mnasema ni "uchawi"/" muujiza"

Sasa hata ukiangalia Mfumo wa fahamu unavyofanya kazi,utarudia makosa Yale Yale bila kujua huo mfumo umepitia "Evolution" ya mabillion ya miaka

Na ukishindwa kuelewa jinsi Evolution inavyofanya kazi utaikataa kama uongo

In fact,tofauti yetu na mtu yoyote mwenye akili (sio just mzungu tu) ni ability to reason nje ya uelewa wa kawaida

Na uthubutu wake wa kuhoji mamlaka (Orthodox thinking)
 
Nasikia watu wanasema ety ww kiranga ulisoma na Muumbaji skul moja afu ww ukapasi kwa alama A yeye aliye MWANZO NA MWISHO akapata F inasikitisha .
 
Watu wanaforce ufanano wa binadamu lakn si kwel na hakuna mfanano na hauto kuja kuwako kamwee, weng wanatumia adamu kuwa ndie mzaz wa binadamu wotee, nikwel lakin si rangi zote, ifike mahal tuambiane ukwel binadamu wote si sawa ukubal ukatae, jiulize ikawaje hizi rangi utofaut ukatokea? Au umedanganywa n kazi ya Mungu?? Au naww ni wale waongo wanaolazmisha kusema kuwa utofaut wa rangi ultokea pale watu walipoanza kuhama sehem mbalmbal kitu ambacho si kweli,, dunia ina asiri na kila unaloliona lina asir yake, si kila uonalo limekuja kw mapenz ya Mungu, ukwel mchungu wanadamu wametokana na uzao miwil tofaut yaan adamu alieumbwa na Mungu ambaye alikuwa mtu mweusi, na awa rangi zingne ni uzao wa Alien,fallen angels, maraika wahasi na wanawake weusi ndipo ukatokea uzao wa awa watu wenye upungufu wa melanin mwilin ama machotara ukwel huu uwez upata ktk dini zao maana hawapendi muijue asir yao, wanajarbu kuificha kwa ktumia sayans ya evolution mara usawa wa wanadamu kupitia adam, na uongo ulipoanza ni pale weng huamn watu weus wametokana na uzao wa ham yaan mtoto wa nuhu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]how come mtu mweupe amzae mtu mweusi bila kuzaa na mtu mweusi?? Lakn mtu mweusi anaweza kumzaa mtu mweupe na sii mweupe azae mweusi hakuna muujiza wa hivo nakaza maneno haupoo na hautokuwepo, Muujiza wa Mungu ilkuwa tu kuijaza pumzi kwenye kinyago cha udongo ambapo akaibuka mtu mweusi (adam) na sio uo muujiza wa rangi[emoji23][emoji23][emoji23]ukwel mchungu awo wachungaj na masheh wanasomea masomo ya awa wajukuu wa alien unazan watawaambia ukwel wa asir za awa weupe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..wake up african jitambuen hakuna muda wa kupoteza wala kudanganywa tena maana tumepigwa mnooo, tumedanganywa mnooooo, achen upuuzi zipo facts nying sana zinazo proof kuwa binadamu kamil by 100% n mtu mweusi tuu na si mwngne awo wengne ni bahat mbay kuwepo that's y hawachoki kwenda kinyume na asiri ya dunia hii mfano ushoga,usagaji, kuhangaika kuitafuta asiri yao nje ya dunia, kuwapenda wanyama ambapo nao ni asir yao.........nihitimishe kwa kusema kuwa BINADAMU ATUJAUMBWA KWA MFANO WA MUNGU,,,BINADAMU HATUNA USAWA, DUNIA NI MILKI YA MTU MWEUS TUUView attachment 1786505View attachment 1786506View attachment 1786507View attachment 1786508View attachment 1786509View attachment 1786510
FB_IMG_16207303389740635.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom