Kuuliza Si Ujinga

Kuuliza Si Ujinga

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,129
Habari za jioni wakuu,
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, naomba kuuliza kuhusu swala hili.

Juzi nilisafiri kutoka Dodoma kwenda kibondo, kuna kitu nilinotice kuanzia Tabora, nyakanazi, hadi kibondo kwenyewe. Kuna baadhi ya nyumba juu kwenye paa la bati, kwenye migongo wameweka zile nyaya (senyenge) ambazo mara nyingi unakuta zinawekwa juu ya fence ya nyumba kama security (achana na zile electric fence).

Kwa watalaam wa kanda hizo, zile waya hua zinasaidia nini? Bahati mbaya sikufanikiwa kupiga picha.
 
Ni kwaajili ya ulizi dhidi ndege wanaokaa juu ya paa na kupupu
nafikiri zinazuia baadhi ya ndege kutua kwenye bati ili wasinyeee bati ambapo bati huchafuka na kupata kutu sasa hizo nyaya wanaweka kwenye migongo ya bati
Nashukuru sana wakuu , je? Ndege hawezi tua sehemu nyingine tofauti na kwenye mgongo
 
Hizo electric fence ni kuzuia ndege mla nyama maarufu kama bwana afya Huyo ndege mkubwa mla nyama na mizoga choo chake kinakuwa na tindikali iwapo atajisaidia juu ya bati baada ya muda bati hilo hupata kutu na kutoboka.. Kwa kujihami wakaazi huweka waya huo kumzuia asitue..
 
Hizo electric fence ni kuzuia ndege mla nyama maarufu kama bwana afya Huyo ndege mkubwa mla nyama na mizoga choo chake kinakuwa na tindikali iwapo atajisaidia juu ya bati baada ya muda bati hilo hupata kutu na kutoboka.. Kwa kujihami wakazi huweka waya huo kumzuia asitue..
na kwa nini ndege hao wametamalaki sana kanda ya magharibi na ziwa? Kanda ya kati huwaoni kabisa ndege hao!
 
Hizo electric fence ni kuzuia ndege mla nyama maarufu kama bwana afya Huyo ndege mkubwa mla nyama na mizoga choo chake kinakuwa na tindikali iwapo atajisaidia juu ya bati baada ya muda bati hilo hupata kutu na kutoboka.. Kwa kujihami wakaazi huweka waya huo kumzuia asitue..
electric fence? hii ya kwako sasa! 😂🤔
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom