😆😆😆Ihabarini
Teno[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] we mwenyewe una tecnoKila siku tunawaambia teno zina vichaaa ona sasa ulichoandika....
akijibu nitagiTeno ndio nini mkuu
Kuongezea mkuu kuna makampuni yanayogundua hizi technology na kuwauzia mitandao ya simu. Mfano Huawei, Ericson, Nokia, Zte etcJe hawa service provider hizi mb na gb wanatotuuzia je wao wanazipata wapi
Hujajibu swali?hivyo ni vipimo tu. kama vile ilivyo kilo ya nyama au unga.
kwenye internet tuna bytes, kilobytes,megabytes,gigabytes na terrabytes
wakati vipimo vyakawaida tuna milgram, gram,kilogram, n.k
kama ilivyo kwenye vipimo vya urefu
kuna milmita,sentimita n.k
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kila siku tunawaambia teno zina vichaaa ona sasa ulichoandika....
Mkuu kichwa chako kigumu sana inaonekana. Embu mpitie chief mkwawa hapo juu naona kakujibu vizuri. Na kuna jamaa mapema tu kakujibu vizuri.Hujajibu swali?
Wanapata wapi?
Wewe Ubongo wako ndio mgumu. Kichwa kuwa kigumu ni sawa kwa kila mtu.Mkuu kichwa chako kigumu sana inaonekana. Embu mpitie chief mkwawa hapo juu naona kakujibu vizuri. Na kuna jamaa mapema tu kakujibu vizuri.