Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,197
- 25,517
- Thread starter
- #81
Fake!? How?Fake report always has no outcome
Fake!? How?Fake report always has no outcome
Fake!? How?
Halafu hiyo Tsh 1 hulipwi kwa mkupuo, unalipwa kidogo kidogo...tulichodai tumeibiwa, ni tofauti kabisa na tulicholipwa.
..I'm talking about usd 191 billion vs kishika uchumba cha usd 300 million.
..Yaani ni sawa na kudai shs 636, halafu unayemdai akulipe sh 1.
..halafu ushangilie kuwa umeshinda.
Wakuu waungwana wa JF,
Kama kuna yeyote anayejua anisaidie na wengine wanaotaka kujua kama mimi.
Karibuni wajuzi wa mambo
Muktasari wa Ripoti ya Kamati ya Prof. Osoro unapatikana hapa:
https://www.ikulu.go.tz/files/publications/attachments/2_sw.pdf
Muktasari wa ya kwanza upo humu:
RIPOTI KAMILI YA KAMATI YA KWANZA YA KUCHUNGUZA MCHANGA WA MADINI. – Binagi Media Group
Waione: JokaKuu, Mag3 Pascal Mayalla na wengineo