Mapendekezo ya Ripoti za kamati za Madini:Waziri gani mpaka sasa ameshafikishwa kwenye vyombo vya sheria?

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,013
144,371
Wakati mashabiki wa CCM waki busy mitandaoni kuibua tuhuma dhidi ya Nyalandu na kumpa vitisho,watueleze ni waziri gani alietajwa katika ripoti za kamati za madini ambae mpaka sasa ameshafikishwa katika vyombo vya sheria kujitubu tuhuma zinazomuhusu.

Kabla ya kuanza kumshambulia Nyalandu na kumtisha,tuelezeni ni hatua gani za kisheria walizochukuliwa mawaziri mbalimbali waliotajwa katika taarifa za kamati za madini.

Tuambieni na nani aikuwa waziri wakati vichwa vya treni visivyokuwa na mwenyewe vilipoagizwa na mtuambie leo hii mtu huyo ana wadhifa gani?

Acheni kuwa wanafiki!!
 
Mkuu Salary Slip nyumbu kazi yao ni kupiga kelele jf tu hawana uelewa wowote kwamba mambo haya huwa na chain ndefu, ukigusa madini, maliasili na gesi umegusa wastaafu tulioambiwa hawaguswi, sisi wazoefu tunawaangalia tu wanavyojitahidi kuanzisha thread za Nyalandu ambazo mwisho wake ni aibu kwao.
 
Mkuu Salary Slip nyumbu kazi yao ni kupiga kelele jf tu hawana uelewa wowote kwamba mambo haya huwa na chain ndefu, ukigusa madini, maliasili na gesi umegusa wastaafu tulioambiwa hawaguswi, sisi wazoefu tunawaangalia tu wanavyojitahidi kuanzisha thread za Nyalandu ambazo mwisho wake ni aibu kwao.[/QUOT
Hata huyu Nyalandu hawawezi kumfikisha mahakani zaididi ya kumsumbua tu na hata wakimshitaki mwisho wa siku utasikia kesi imefutwa.Hawa watu ni wanafiki sana!
 
Wakati mashabiki wa CCM waki busy mitandaoni kuibua tuhuma dhidi ya Nyalandu na kumpa vitisho,watueleze ni waziri gani alietajwa katika ripoti za kamati za madini ambae mpaka sasa ameshafikishwa katika vyombo vya sheria kujitubu tuhuma zinazomuhusu.

Kabla ya kuanza kumshambulia Nyalandu na kumtisha,tuelezeni ni hatua gani za kisheria walizochukuliwa mawaziri mbalimbali waliotajwa katika taarifa za kamati za madini.

Acheni kuwa wanafiki!!

Each choice has a consequence. CHADEMA mmechagua kujenga pango la kuficha watu mliokuwa mnawatangazia Watanzania ni mafisadi, sasa tulieni mpokee majibu.
 
Back
Top Bottom