Kuuliza si ujinga: Waliotajwa kwenye Ripoti za profesa Osoro na Mruma (kuhusu madini) wamechukuliwa hatua gani kulingana na mapendekezo ya Kamati?

..tulichodai tumeibiwa, ni tofauti kabisa na tulicholipwa.

..I'm talking about usd 191 billion vs kishika uchumba cha usd 300 million.

..Yaani ni sawa na kudai shs 636, halafu unayemdai akulipe sh 1.

..halafu ushangilie kuwa umeshinda.
Halafu hiyo Tsh 1 hulipwi kwa mkupuo, unalipwa kidogo kidogo.

Wakati huo huo ACCACIA ishafutwa DSE na Makinikia wanasomba kama kawaida.

Achilia mbali Pure Gold ilikuwa inasombwa since DAY ONE!!
 
profesa mruma profesa mruma profesa mruma nakuita mara 3, nini ulilifanyia hili taifa hadi tunalipa pesa nyingi namna hii, kwanini ulisaini mikataba bila kuisoma? na umelitia hasara taifa hili.
 
15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom