Kuuliza si ujinga: Waliotajwa kwenye Ripoti za profesa Osoro na Mruma (kuhusu madini) wamechukuliwa hatua gani kulingana na mapendekezo ya Kamati?

Usitake kujifanya hukufuatilia, Chenge, Yona, Karamagi nk walitajwa kwa majina, rais akaagiza wakamatwe siku ile ile na uchunguzi dhidi yao uanze mara moja. Hilo halijafanyika na halitokaa lifanyike kwani anayeendesha vita hiyo ni kambale aliyetoka kwenye bwawa chafu na bwawa chafu halitoi kambale msafi. Hitimisho letu likawa hakuna kupambana na ufisadi bali kupambana na matumizi ya neno fisadi kwa kile wanaaccm wanachoamini ni kutukanwa kwani hakuna msafi kati yao.
Kama wanapitia hizi comments, sijui wana hali gani huko waliko!
 
Kuna vitu watu tukisema humu, tunaonekana kuwa tunamchukia Magufuli kwa sababu ni watu wa EL!.

Baada ya kutoka ripoti ya pili, nilipandisha bandiko hili, Mkapa na Kikwete Walidanganywa na Wakadanganyika!, Magufuli Anadanganywa!, Jee Atadanganyika? - JamiiForums

Hapa nilisema rais amedanganywa, na kwa vile mpaka hapa ninapoandika, sijasikia juhudi zozote za kuutafuta ukweli wa makinikia, kwa maoni yangu, Tanzania hatuna locusts stand to counter their arguments, mkataba upo, sheria imelalia kwao, tutashindwa miserably!, kitakachofuata, ni tutawapa mchanga wao, kama bado hatujawapa, then watafuta kesi, tutamalizana nje ya mahakama!.

P
Nje ya mahakama maana yake itakuwa ni wao kuchimba kwa muda bila kutulipa chochote kama bado wataendelea kuwapo nchini au kuuza mchanga wote bila sisi kupewa chochote wafidie hasara waliopata kwa zaidi ya mwaka.
 
Ndio uje hata kesi waliotufungulia Acacia hatuwezi kushinda na huu ndio ushahidi kuwa tunaibiwa kupitia mikataba tuliosaini wenyewe tukiwa na akili zetu timamu.

Sisiem ni matapeli.
Ni muda tu utafika wote waliopitisha miswaada mibovu ya sheria ya madini itabidi watemeshwe posho walizo kula bungeni
 
Nje ya mahakama maana yake itakuwa ni wao kuchimba kwa muda bila kutulipa chochote kama bado wataendelea kuwapo nchini au kuuza mchanga wote bila sisi kupewa chochote wafidie hasara waliopata kwa zaidi ya mwaka.
Shauri litafutwa, mazungumzo yataendelea, maafikiano yatafikiwa kwa kula mtu kula na kumeza hasara yake, sisi tutafuta deni letu la TRA, na wao watafuta deni lao la hasara.
P
 
Hiyo sahau wazungu siyo wenzenu kama mliamua kuwaita wezi wao wakavumila na sasa nizamu yao kuwageuzia kibao wawakamue na mtakamuliwa kweli kweli na huku nyumbani wananchi bado tunahitaji Noah zetu
Shauri litafutwa, mazungumzo yataendelea, maafikiano yatafikiwa kwa kula mtu kula na kumeza hasara yake, sisi tutafuta deni letu la TRA, na wao watafuta deni lao la hasara.
P
 
Wakuu waungwana wa JF,

Kama kuna yeyote anayejua anisaidie na wengine wanaotaka kujua kama mimi.

Karibuni wajuzi wa mambo

Muktasari wa Ripoti ya Kamati ya Prof. Osoro unapatikana hapa:

https://www.ikulu.go.tz/files/publications/attachments/2_sw.pdf

Muktasari wa ya kwanza upo humu:

RIPOTI KAMILI YA KAMATI YA KWANZA YA KUCHUNGUZA MCHANGA WA MADINI. – Binagi Media Group

Waione: JokaKuu, Mag3 Pascal Mayalla na wengineo
Mkuu Petro, asante kwa ripoti hizi, kwa vile kwa sasa mazungumzo yanaendelea, hizi ripoti hazina maana tena, kwa sababu naamini wale wazungu, wamekwisha zitupilia mbali, sasa kinachosubiriwa ni utekelezwaji wa makubaliano. Katika makubaliano, cha kwanza ni makinikia, yaondoke, Acacia ivunjwe, kampuni mpya iundwe, tugawane 50/50 ya economic benefits, na sio faida kama tulivyo danganywa.

Kwa vile msingi mkuu wa mazungumzo ni truthfulness, trust and transparency, Watanzania tujulishwe kinachoendelea maana tayari kuna tetesi, zile container zimeyeyuka pale zilipokuwepo, kwa vile zilikuwa juani, hata kama zimehamishiwa kivulini ili mchanga usiyeyuke na jua, dhahabu yetu ukatiririka na kupotelea baharini, tulipaswa kujulishwa!.

P.
 
Nani alitudanganya?
Mkuu Petro, asante kwa ripoti hizi, kwa vile kwa sasa mazungumzo yanaendelea, hizi ripoti hazina maana tena, kwa sababu naamini wale wazungu, wamekwisha zitupilia mbali, sasa kinachosubiriwa ni utekelezwaji wa makubaliano. Katika makubaliano, cha kwanza ni makinikia, yaondoke, Acacia ivunjwe, kampuni mpya iundwe, tugawane 50/50 ya economic benefits, na sio faida kama tulivyo danganywa.

P.
 
Pascal naona unajipa moyo na kujifanya mwakilishi au msemaji wa hao wazungu,kumbuka mlichowafanyia siyo kibinadamu na sasa subirini msulubiwe tu hakuna cha mazungumzo
Mkuu Petro, asante kwa ripoti hizi, kwa vile kwa sasa mazungumzo yanaendelea, hizi ripoti hazina maana tena, kwa sababu naamini wale wazungu, wamekwisha zitupilia mbali, sasa kinachosubiriwa ni utekelezwaji wa makubaliano. Katika makubaliano, cha kwanza ni makinikia, yaondoke, Acacia ivunjwe, kampuni mpya iundwe, tugawane 50/50 ya economic benefits, na sio faida kama tulivyo danganywa.

P.
 
Kuna vitu watu tukisema humu, tunaonekana kuwa tunamchukia Magufuli kwa sababu ni watu wa EL!.

Baada ya kutoka ripoti ya pili, nilipandisha bandiko hili, Mkapa na Kikwete Walidanganywa na Wakadanganyika!, Magufuli Anadanganywa!, Jee Atadanganyika? - JamiiForums

Hapa nilisema rais amedanganywa, na kwa vile mpaka hapa ninapoandika, sijasikia juhudi zozote za kuutafuta ukweli wa makinikia, kwa maoni yangu, Tanzania hatuna locusts stand to counter their arguments, mkataba upo, sheria imelalia kwao, tutashindwa miserably!, kitakachofuata, ni tutawapa mchanga wao, kama bado hatujawapa, then watafuta kesi, tutamalizana nje ya mahakama!.

P
Mzee wa PPR c utuandikie kwa hiki kizigua chetu. Hayo maneno ya kirusi unayochomokea mhh
 
..nimesikia Acaccia wametushitaki.
..mimi nashauri na sisi tuwafungulie mashtaka [ counter sue] ktk mahakama ya usuluhishi ya kimataifa, na tuwatume Prof.Mruma na Prof.Osorro, pamoja na timu zao za wataalamu kuwa mashahidi wetu.
Mkuu hawa maprof wetu siku hizi ni utata tu, anyways

Kuna nukuu moja niilisoma mahali inasema '' Nguvu(power) ya mtu haipo katika nguvu ya misuli (strength of muscle) bali nguvu (power) ya akili yake
 
Mbona le prof Kalamaganda Kabundi kashaliambia bunge kuwa tushalipwa hela yote kwa hiyo nyumba yenye hela ndo inayoingiliwa na wezi.

Kwa hiyo dollar bil 190 tushalipwa Jiwe hoyeeeee tutembee vifua mberee
 
Wakuu waungwana wa JF,

Kama kuna yeyote anayejua anisaidie na wengine wanaotaka kujua kama mimi.

Karibuni wajuzi wa mambo

Muktasari wa Ripoti ya Kamati ya Prof. Osoro unapatikana hapa:

https://www.ikulu.go.tz/files/publications/attachments/2_sw.pdf

Muktasari wa ya kwanza upo humu:

RIPOTI KAMILI YA KAMATI YA KWANZA YA KUCHUNGUZA MCHANGA WA MADINI. – Binagi Media Group

Waione: JokaKuu, Mag3 Pascal Mayalla na wengineo
Professorial RUBBISH...here we go!
 
Aidha, Kamati imebaini kuwa kumekuwa na uongezaji wa muda wa leseni (renewal) wa maeneo ya uchimbaji madini kinyume cha sheria na bila kuzingatia maslahi ya taifa.Kwa mfano, kuongeza muda wa leseni na maeneo ya uchimbaji uliofanywa na Mheshimiwa William M. Ngeleja na Mheshimiwa Sospeter M. Muhongo, kwa kampuni za North Mara Gold Mines limited na Pangea Minerals Limited.Pia
38

leseni mbali mbali zilizotolewa na; Kamishna Paulo M. Masanja, Kamishna Dalaly P. Kafumu na Kaimu Kamishna Ally B. Samaje. Katika kipindi hicho washauri wakuu wa Serkali kwa masuala ya kisheria ni pamoja na Mheshimiwa Andrew Chenge, Johnson Mwanyika na Manaibu Wanasheria Wakuu ambao ni Felix Mrema na Sazi Salula na Wakuu wa Idara ya Mikaba Maria Ndossi Kejo na Julius Malaba.
Ai ai ai! Kama jina la mtemi Chenge limo humo basi sahauni na hii thread ifungwe tuu. Maana hata juzi jiwe alikuwa bariadi ikawa ni kumsifu tuu joka LA makengeza hadi mkewe kumuita Shemeji. Fanya mchezo na mzee wa Gamboshi!
Au aje amwage unga unga hapa JF ili amshushe Melo busha?
 
Wakuu waungwana wa JF,

Kama kuna yeyote anayejua anisaidie na wengine wanaotaka kujua kama mimi.

Karibuni wajuzi wa mambo

Muktasari wa Ripoti ya Kamati ya Prof. Osoro unapatikana hapa:

https://www.ikulu.go.tz/files/publications/attachments/2_sw.pdf

Muktasari wa ya kwanza upo humu:

RIPOTI KAMILI YA KAMATI YA KWANZA YA KUCHUNGUZA MCHANGA WA MADINI. – Binagi Media Group

Waione: JokaKuu, Mag3 Pascal Mayalla na wengineo
Fake report always has no outcome
 
Back
Top Bottom