Kuukaribisha Mwezi Mtukufu wa Ramadhani

Kuukaribisha Mwezi Mtukufu wa Ramadhani

Status
Not open for further replies.
vunja jungu wapi?

[h=1]vunjajungu yakemewa misikitini[/h]Written by Ashakh (Kiongozi) // 05/07/2013 // Habari // 1 Comment

Naaaam, Leo ikiwa ni ijumaa ya mwisho kabla ya kuingia mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadan. Kama ilivyokawaida khotba zote za swala ya ijumaa zinatakiwa zitolewe kuendana namatokeo.Misikiti mingi imekemea vunjajungu bila ya kufahamu au kueleza maana yake. Huu umekuwa mtindo wa uchafuzi wa lugha unaoendelea huku wanafalsafa na wasomi wetu bila kujijuwa kufuata upotevu huuMiongo ya karibuni imehusishwa siku ya vunjajungu na utendaji maasi mkesha wa wiku ya mwanzo ya mwezi mtukufu wa ramadhani. Hii ni kwenda kinyume na lugha fasaha iliyokusudiwa kwamba unaoposema vunjajungu maana yake ni siku ya mkesha wa ramadhani. Kama vile mkesha wa sikukuuNidhani ipo haja kubuni mfumo na mtindo mpya wa vipi kuipokea siku hii badala ya kuinasibisha na mambo machafu, halkadhalika tuepukane na kufuata mkumbo na kuanza kuikataa siku ya vunjajungu.Vunjajungu sio siku chafu wala siku ya uchafu. Hii ni miongoni mwa sikubora. Hivyo tusiichafue kwa dhana, hoja, maelezo yanayopelekea kuona kama ni siku chafu.
 
Itabidi nifunge kijiwe changu cha ChairFire maana najua wateja watapungua tu!
 
Nafuu tutapumua kwenye kitimoto, uteja,uchangu, ujambazi huko kote ni vuluvulu.
Wapo wakristo wengi wanaouheshimu mwezi wa Ramadhani,ambao hawaendi kwenye sehemu za maasi.Wapo wasichana wa kikristo na vijana,wanaishi maisha ya kiislamu,kuanzia mavazi,maisha yao,kuongea kwao,na huwezi kujuwa kama ni wakristo mpaka mtu akuambie,
Wapo mabinti wanaovaa mabaibui,na ni mavazi yao ya kila siku,na wanafanyakazi katika maduka mbalimbali au ofisi za wazazi wao,wanavaa kiislamu,mpaka mtu akuambie ni mkiristo ndio utajuwa,na wanafuatana na wazazi wao kuja kwenye magari,wakija makazini kwao,na sehemu mbalimbali
 
Sipendi yale madebe mnayopiga kuamshana kula, huwa mnawaamsha na wasio husika, kwanini msitumiane msg au kubipiana?
Hao wanaofanya hivyo,wanafanya kwa akili zao,hawajaamrishwa na uislamu kufanya hivyo.Hakuna mahali katika mafunzo ya uislamu,kuwaamsha watu kwa kelele,au kuwaudhi wengine.
 
"Religion is the opium of the ignorant" - Karl Marx and Religion is the root of all evils.
Dini ni mfumo wa maisha,mfumo wowote wa maisha utakaoufuata ndio dini yako,hata anayesema hana dini,huko kutokuwa na dini,ndio dini yenyewe.Sasa hapo mjinga ni Karl max asiyefahamu maana ya dini.
Hata huo mfumo unaoufuata yeye,hiyo ndio dini yake.
 
kiwatengu,

Shukran nyingi zikufikie kwa kutukumbusha, InshaAllah mola atupe barka na atuandalie wepesi katika swaum zetu.
 
Last edited by a moderator:
Dini ni mfumo wa maisha,mfumo wowote wa maisha utakaoufuata ndio dini yako,hata anayesema hana dini,huko kutokuwa na dini,ndio dini yenyewe.Sasa hapo mjinga ni Karl max asiyefahamu maana ya dini.
Hata huo mfumo unaoufuata yeye,hiyo ndio dini yake.

Swadakta Kikwajuni one kwa hilo darsa, wengi hawaelewi maana ya dini.
 
Last edited by a moderator:
vunjajungu yakemewa misikitini

Written by Ashakh (Kiongozi) // 05/07/2013 // Habari // 1 Comment

Naaaam, Leo ikiwa ni ijumaa ya mwisho kabla ya kuingia mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadan. Kama ilivyokawaida khotba zote za swala ya ijumaa zinatakiwa zitolewe kuendana namatokeo.Misikiti mingi imekemea vunjajungu bila ya kufahamu au kueleza maana yake. Huu umekuwa mtindo wa uchafuzi wa lugha unaoendelea huku wanafalsafa na wasomi wetu bila kujijuwa kufuata upotevu huuMiongo ya karibuni imehusishwa siku ya vunjajungu na utendaji maasi mkesha wa wiku ya mwanzo ya mwezi mtukufu wa ramadhani. Hii ni kwenda kinyume na lugha fasaha iliyokusudiwa kwamba unaoposema vunjajungu maana yake ni siku ya mkesha wa ramadhani. Kama vile mkesha wa sikukuuNidhani ipo haja kubuni mfumo na mtindo mpya wa vipi kuipokea siku hii badala ya kuinasibisha na mambo machafu, halkadhalika tuepukane na kufuata mkumbo na kuanza kuikataa siku ya vunjajungu.Vunjajungu sio siku chafu wala siku ya uchafu. Hii ni miongoni mwa sikubora. Hivyo tusiichafue kwa dhana, hoja, maelezo yanayopelekea kuona kama ni siku chafu.

Copy;
Fidel80
 
Last edited by a moderator:
Hakika wapowatakaojaaliwa kuufunga mwezi mzima ,wapo watakao funga sikukadhaa tu wapo huu ni mweziwao wamwisho kuuona tahadhari na vunja jungu la uovu hakika haudhuru ila unaidhuru nafc yako mwenyewe .
 
Allah atulie tuwe ni wenye kupata faida ya mwezi huu.
 
kiwatengu,

Tuombeane dua Inshaalah Allah atufanyie wepesi.
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom