Kwan sisi ndo tunapenda kuskia bendi zenu zikitumbuiza kanisani??? Hua tunavumilia na ww vumilia tuu
Unapenda kulala sana siyo!Sipendi yale madebe mnayopiga kuamshana kula, huwa mnawaamsha na wasio husika, kwanini msitumiane msg au kubipiana?
vunja jungu wapi?
Huwa najiuliza kama hii kitu ni muhimu au wanadamu wanajitafutia ahueni (excuse) tu?
Hope uko vyema na moyo wako...
Unamaanisha nani wafanya hayo mambo..???huu mwezi huwa naupenda sana, vurugu zote mjini zinakuwa likizo
Ngalikihinja, kwa wale wote ambao wanapenda mambo fulani watakuwa likizoUnamaanisha nani wafanya hayo mambo..???
tambua kuwa mwezi huu rehema ya mwenyezi mungu inakuwa karibu sana na wanadamu wote,na mungu anamfunga shetani ili asiwashawishi binadamu (muslim,christian,pagan na wengine wote) katika kutenda dhambi, hivyo basi binadamu anakosa ushawishi wa kufanya maasi mwisho anapunguza au anaacha kabisa,na ambaye anaendelea kufanya maasi ndani ya mwezi huu ujue amepigwa muhuri kwenye kifua chake,mtu huyu hata shetani anamuogopa,huu mwezi huwa naupenda sana, vurugu zote mjini zinakuwa likizo
vunja jungu wapi?
Nafuu tutapumua kwenye kitimoto, uteja,uchangu, ujambazi huko kote ni vuluvulu.
huu mwezi huwa naupenda sana, vurugu zote mjini zinakuwa likizo
Sipendi yale madebe mnayopiga kuamshana kula, huwa mnawaamsha na wasio husika, kwanini msitumiane msg au kubipiana?
Ngalikihinja, kwa wale wote ambao wanapenda mambo fulani watakuwa likizo