Kuukaribisha Mwezi Mtukufu wa Ramadhani

Kuukaribisha Mwezi Mtukufu wa Ramadhani

Status
Not open for further replies.
Allah atujaalie kufika Ramadhan tukiwa wazma wa Afya,,, Ramadhan Kareem na Swaum maqbul
 
Sipendi yale madebe mnayopiga kuamshana kula, huwa mnawaamsha na wasio husika, kwanini msitumiane msg au kubipiana?

Kwan sisi ndo tunapenda kuskia bendi zenu zikitumbuiza kanisani??? Hua tunavumilia na ww vumilia tuu
 
Inshallah,hakika Mola atapokea funga yetu kama tutafunga kwa Lillah na si vinginevyo na wala funga itakuwa si lolote si chochote kama utaikaribisha kwa VUNJAJUNGU.tuikaribishe kwa MEMA inshallah
 
Karibu mtukufu Ramadhan. Mwezi wa shahada na ibada. Na waamshaji daku kweli msiwasumbue Watu. Ni kheri tukaamshana kwa Nash hadu alaila hailaAlla, nastaghfirullah. Nas aluka jannata wanaudhu bika Mina nnar. Ili tupate kuswali na witri. Madebe na magoma hayafai. Yaraab tuwafikishe waja wako ktk ibada tukufu. Amiin
 
Inshallah,hakika Mola atapokea funga yetu kama tutafunga kwa Lillah na si vinginevyo na wala funga itakuwa si lolote si chochote kama utaikaribisha kwa VUNJAJUNGU.tuikaribishe kwa MEMA inshallah

Amen.......
 
Bismillahir Rahmanir Rahim
Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh.

Kwa mara nyingine tena mbingu zitafunguka na Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kuwa nasi.

Fungueni nyoyo zenu kwani Ramadhani na baraka zake zote pamoja na uzuri wake unawadia.

Ramadhani sawa na huko nyuma kwa usahali na bila ria lakini kwa kina na wingi wa maana inawadia ili nyoyo zetu zilizochoka zinufaike na chemichemi yake na rehma za Mwenyezi Mungu zitushukie.

Mwezi wa Ramadhani unatoa bishara njema kwa Watu wote kuhusu kufunguliwa milango ya peponi na kuanza karamu ya Mwenyezi Mungu.

Inshaallah!
 
Inshaallah...ahsante sana kwa ukumbusho mkuu. Allah atujalie siha njema kipindi chote cha mwezi mtukufu wa Ramadhani.
 
hivi tunaanza lini mfungo!!!?? dah! mabaibui yangu sijui yapo kona gani.! bye vimini!
 
we expect it from 7th,8th july..mwezi utaandama!

usiandae baibui tu! ukasahau kuandaa moyo wako..
 
Bismillahir Rahmanir Rahim
Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh.

Kwa mara nyingine tena mbingu zitafunguka na Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kuwa nasi.

Fungueni nyoyo zenu kwani Ramadhani na baraka zake zote pamoja na uzuri wake unawadia.

Ramadhani sawa na huko nyuma kwa usahali na bila ria lakini kwa kina na wingi wa maana inawadia ili nyoyo zetu zilizochoka zinufaike na chemichemi yake na rehma za Mwenyezi Mungu zitushukie.

Mwezi wa Ramadhani unatoa bishara njema kwa Watu wote kuhusu kufunguliwa milango ya peponi na kuanza karamu ya Mwenyezi Mungu.

in shaa llah,ALLAH atupe afya,,,,na waumini waisisngizie maradh wakat ukifika,,,,,
 
Ndugu zangu Waislamu mimi nawatakia mfungo mwema wa mwezi huu mtukufu wa Ramadhan

Mtumie wakati huu pia kuiombea Amani nchi yetu.

Ngoja nimnunulie MAMA yangu "musallah" mwingine kwa ajili ya Mwezi huu mtukufu.
 
mmh hii mpya..msg itaamsha mtu kweli.....?:beer::beer:
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom