Kuua mtoto ili kufaidi mapenzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuua mtoto ili kufaidi mapenzi

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by kakuruvi, May 11, 2011.

 1. kakuruvi

  kakuruvi JF-Expert Member

  #1
  May 11, 2011
  Joined: Sep 2, 2009
  Messages: 646
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Wakuu hii kitu mapenzi usipokuwa makini unaweza kufanya maamuzi mabaya, kuna tetesi kuwa kuna jamaa mmoja aligundua baada ya kuwa na mtoto mchanga, mapenzi ya mkewe yalihamia kwa mtoto hivyo akajisikia wivu na kuamua kumuua mtoto ili mapenzi yarudi kwake kama mwanzo.

  Alichofanya asubuhi moja alipaka sumu kwa hila kwenye chuchu za mkewe akitarajia mtoto akinyonya atadhurika kisha akaondoka kwenda kazini. Mchana akapigiwa simu kwamba kuna msiba nyumbani kwake, huku akijua kinachoendelea akawataarifu rafiki zake kwamba amefiwa na mwanae.

  Lahaula,! alipofika nyumbani alipigwa butaa kumuona mwanae mzima na aliyekufa ni House Boy. WanaJF akili kumkichwa unaielewaje hii?
   
 2. M

  Marytina JF-Expert Member

  #2
  May 11, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  huyo jamaa ni mnyama wa porini aliyeuvaa mwili wa kibinadamu.
   
 3. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #3
  May 11, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 160
  Naielewa kama ushuhuda wa namna binadamu anavyoweza kuwa mkatili,aliyekosa uvumilivu na mwenye kukosa uaminifu kwa Mungu na kwa binadamu wenzie! aliyesababisha kifo ni baba/mume na bosi wa houseboy!!!
   
 4. M

  Marytina JF-Expert Member

  #4
  May 11, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  I am missing you alot dear.
   
 5. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #5
  May 11, 2011
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  sijaelewa bado,wakati anapaka sumu kwenye hayo maziwa ya mkewe,alikuwa kalala fofofo au?yani mtu ananipaka sumu in my nyonyozi nimelala tu?
  Huyo house boy ananyonya ya mtu anaenyoshesha?mbn kama hainiingii akilini?
  watu hawana kinyaa eeeh?tam ya toto inatoka maziwa mtu ananyonya?
   
 6. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #6
  May 11, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,460
  Likes Received: 3,715
  Trophy Points: 280
  Kama ni kweli huyo baba ana roho mbaya ya kinyama
  anakuwa na wivu na mtoto wake kupewa mapenzi na mamaye
  alishindwa nini kuongea na mkewe kuhusu mabadiliko ya mapenzi yao
  alifikiri mapenzi yapo kwa mtoto kumbe kwa h/boy
   
 7. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #7
  May 11, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  No other animal is as cruel as the homo sapien....nategemea huyo mwanamke baada ya kugundua atamuacha solemba sasa sijui atakua amepata faida gani!!Binadamu sijui tunaelekea wapi jamani....yani mtu anamuua mtoto wake kisa mapenzi!Kweli laana iliyopo juu yetu ni zaidi ya tunavyoweza kifikiri!!!RIP kichanga cha watu!!!
   
 8. Safina

  Safina JF-Expert Member

  #8
  May 11, 2011
  Joined: Jun 18, 2009
  Messages: 498
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimeelewa kuwa: House boy alinyonya maziwa ya dogo!!!! Mshahara wa dhambi ni mauti. Na unajua ni nini? Dogo ni malaika wa Mungu ndo maana mauti hayakumkuta. Sijui jamaa alimwangaliaje mke wake, Jamani!!!! Kweli ukistaajabu ya Musa utaona ya filauni.
   
 9. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #9
  May 11, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Na mama haja athirika na hiyo sumu???
   
 10. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #10
  May 11, 2011
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,509
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Mimi nimeielewa kwa maana 2
  1. yawezekana h. boy alikunywa maziwa ya mtoto
  2. Huwezi jua kama H. boy ana date na yule mamaje, siunajua tena mambo ya romance watu wengine wananyonya hadi nyoyo za dadaz.

  Still in dilema
   
 11. T

  TAITUZA Member

  #11
  May 11, 2011
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 94
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Alinyonya nyonyo za mama, kumbe mzeee akiondoka h.boy anajisevia na huenda hata huyo mtoto c wake mimi kama ningemjua ningemshauri akampime dna huyo mtoto, kamuua mgoni wake bana,ajabu!
   
 12. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #12
  May 11, 2011
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,509
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  hata mimi naona hiyo ndio sawa kabisa kamuua mgoni wake.....hahahhhahah
  hiyo haina shida kabisa
   
 13. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #13
  May 11, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Wa JF, What is the issue here? Jamaa kaua au mkewe alikuwa analiwa na House boy?

  Double faces of shetani!
   
 14. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #14
  May 11, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Hii ni perfect gift kwa mgoni! Ukila va watu unategemea nini? haya yanatukuta wakina dada tunaovizia waume za watu, mamaa akishtuka tu kwa kalimanzira! I wish wanaume nao wangekuwa na sehemu ya kutegewa sumu wake zao wawategee.... vilio vingekuwa kila mtaaa.. tehe tehe tehe,
   
 15. kakuruvi

  kakuruvi JF-Expert Member

  #15
  May 11, 2011
  Joined: Sep 2, 2009
  Messages: 646
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Safina umepata!!! Yule jamaa alipoondoka h/boy almmega huyu mama na siunajua malavidavii nyonya sana chuchu, na baada ya hapo mama alioga ili asimbemende mtoto, ''HILO NDIO KOSA LA MAREHEMU''
   
 16. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #16
  May 11, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Kakuruvi nilipokua nasoma roho imeniuma kweli nikajua the wife mwenyewe ndo kafariki... mawazo haya!!.. kukuta house boy.. nimeshindwa hata la kuandika... kwamba house boy alikua anatoka na huyo mama au???
   
 17. Maty

  Maty JF-Expert Member

  #17
  May 11, 2011
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 2,170
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135

  Hata mimi hainiingii akilini hata kidogo bana, sio rahisi mbaba kufanya hivyo unless ungeniambia aligundua mtoto si wake bali ni wa yule mwizi alokua anamhisi na matokeo yake mtoto katokea hivyo hivyo na baba anampenda bado mke wake ndio kaamua kumuua mtoto.
   
 18. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #18
  May 11, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Sasa hapo mambo yamekuwa mambo amejua kuwa mkewe sio mwaminifu......na kaua....napata kigugumizi
   
 19. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #19
  May 11, 2011
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  mmmh lkn sumu hiyo sumu gani ambayo mzazi mwenzio anakupaka kwenye maziwa bila kuwaza madhara yake?kama anawasiwasi na mtu kumuibia mkewe si angepaka sumu kwenye naniliu?na mama huyo wakati anapakwa hiyo sumu alikuwa kalwa tila lila?me hata sielewi
   
 20. N

  Ngoswe11 Member

  #20
  May 11, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 87
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mie nazimia tu signature yako sijui nikaribie nipige hodi?? Dah nimekufa na nimeoza juu yako bibie!!
   
Loading...