Kutunza battery ya laptop

Kutunza battery ya laptop

wakuu, mwenye battery ya laptop dell latitude D630 inayokaa na chaji mda mrefu atleast 5hrs au anapojua wanapouza battery imara, naomba anijuze nko dar.....ahsanteni
 
Nina Laptop yangu ya Lenovo inaweza kukukaa na charge mpk 5Hrs+ changamoto Kuna jamaa kaipenda na hela anayotoa ni ya maslah...nilipoinunua..nimepiga simu wamesema zimeisha. Je ni aina gani nyingine ya laptop ambazo zinakaa na charge muda mrefu nikiikosa Lenovo?
 
Mimi betri yangu nikiichomeka kwenye computer kwa sasa hata ikiwa naichaji yani inaonyesha alama ya X nyekundu halafu inanambia consider to replace the battery nahisi beti lishakufaa maana dakika 20 tu lishajaa full..

Lakini mara nyingi nimekua nikitumia njia ya kwanza kabla halijakufa.

Sasa sijui itakuaje nikiendelea kulitumia hili beti, je kutakua na madhara yeyote kwenye hii computer kuja kutokea!!
 
Wote wanakudanganya, ukweli ni kua betri ni moja ya teknolojia ambazo hazinakua sana, ukitumia betri mwaka moja inabaki around 80%~85% tu ya uwezo wake wa kutunza charge, hata uifanyeje for as long as unaitumia itashuka tu efficiency, ucharge hadi 100, udischarge, uiache kwenye umeme au uichomoe yote yaleyale tu.

Ndiyo kucharge hadi 80% kutoa na kuiiacha idischarge hadi arouns 20% kabla ya kuicharge inasaidia kidogo sana, ni kidogo sana kiasi kwamba effect yake ni kuokoa dakika chache tu, we charge hadi 100%, kama unatumia laptop na upo kwenye umeme itumie huku umechomeka betri tu, laptop siku hizi ni very smart, power itapita moja kwa moja hadi utakapo-disconnect ndo itaanza kutumia betri, sio kwamba inapita kwenye betri alafu kuja kwenye systems nyingine hapana.

So in short tumia vyovyote vile tu, haijalishi, betri kila baada ya muda efficiency itapungua huwezi kuzuia hili, ni kwa sababu teknolojia ya Lead batteries ndo ilivyo.
 
Lap top charge ikishafika 100% ukaendelea kuiconnet unaiua battery. Na ikishafika 100% unapata alert kwamba ukiendelea kuitumia unapoteza uwezo wake wa kutunza charge. Labda uniambie kuna baadhi ya betri zinafanya kazi kinyume.
Njia ya kwanza ndio sahihi sababu battery inakufa pale inapoisha na kuichaji tena. Battery zina cell na kila cell ina namba Fulani ikifika basi inaanza kufa. Mfano kuna cell lifespan yake Ni recharge 200 ukishaichaji zaidi ya Mara 200 inaanza kupunguza ufanisi hivyo Ni vyema ukaiacha battery ijae 100% halafu ukawa unaitumia huku uneichomeka.
 
True 101%.[emoji106]
njia sahihi ni hiyo ya pili. Katika computer nyingine wanaeleza kabisa kutumia hiyo ya pili. Hakuna tofauti na mobile phones,ikiishajaa chomoa charger
 
Mkuu kuchomoa betri tena? Mbona kazi sana.
Ile njia ya kwanza si sahihi labda ya pili, njia ya kwanza nimeitumia na betri ikafa haraka sana, sasa hivi kama naitumia mda mrefu uwa nachomoa betri naitumia directly kama desktop
 
Lap top charge ikishafika 100% ukaendelea kuiconnet unaiua battery. Na ikishafika 100% unapata alert kwamba ukiendelea kuitumia unapoteza uwezo wake wa kutunza charge. Labda uniambie kuna baadhi ya betri zinafanya kazi kinyume.
Laptop ikifika 100% unatumia umeme direct kutoka kwenye adapter na sio toka kwenye battery. Kitu kinachoua battery ni joto kama laptop inapata joto sana battery inakufa upesi. Hii ni basic concept kabisa ya kutunza battery yako, na nina laotop since 2011 inapiga kazi fresh tu.
 
Kama hilo ni kweli basi laptops zinafanya kazi katika priciples tofauti.
 
Kufa kwa battery ya laptop inatokana na ile cycle ya kudrop from 100 to 0. Mfano kama una battery mbili ya kwanza kila ikitoka 100 hadi 0 ndo unaichomeka kwenye charge. Ya pili kila ikitoka 100 hadi 60 ndo unaichomeka kwenye charge. Then Ile battery ya kwanza ndo itaanza kuzingua...
Jambo Wakuu?
Nimekuwa napata utata wa ni njia ipi ya kutunza battery ya laptop isiharibike nguvu ya kukaa muda mrefu kwa sababu nakutana na maelezo ya aina mbili.
NJIA YA KWANZA: Ni kuwa inabidi kuconnect adaptor/charger wakati wote. Hapa nimekutana na ushauri kuwa ili kuimarisha battery yapaswa uconnect hata kama charge imefikia 100% na ni vizuri isidrop below 80%

NJIA YA PILI: Hii ipo kinyume na ya kwanza maana wanaoielezea wanasema charger iwe connected up to 80% ili battery isichemke kwani kuchemka kwake ndio kisababishi cha battery kupoteza nguvu.Na wanasema ni vizuri ukatumia mpaka ikakaribia kuisha ndio uconnect chrger/adaptor

NAOMBA KUJUA NI YAPI MAJIBU SAHIHI
Asante!
 
Mimi nmeshatumia sana njia ya kwanza... maana laptop nilizotumia hata 10 zinafika. Na katika hizo laptop zote ni laptop za hp tu ndo zilileta shida ya baterry. ambapo kwa hp case ya battery ni ishu ambayo ni general. Ila the rest zilikuwa poa tu

Sidhani kama hicho unachoeleza ni general. Nadhani laptop zinatofautiana. Mimi nmekuwa na mafanikio makubwa sana kwenye njia ya kwanza.
Mimi nilikua tu nafuatilia mtiririko wa maelezo yako, hapo juu umesema unatumia laptop yako ikiwa kwenye chaji muda wote (Hapo sikutaka kuuliza hata kama hakuna umeme?) na umefanya hivyo kwa takriban miaka mitano. Sasa kwa mtazamo huo, unawezaje kufanya kipimo cha ubora wa kujua battery yako ukoje wakati muda wote ipo kwenye umeme? rejea maelezo yako ya mwanzo.

Hata hivyo maelekezo kutoka kwa watengenezaji wa battery wanashauri laptop ikae kwenye charge na ikisha jaa ichomolewe na matumizi yaendelee hadi itakapopungua na kukaribia kwisha ndio iwekwe tena kwenye chaji.

Tatizo la hawa jamaa hawaelewi wala hawajui kabisa kitu kinachoitwa tatizo la umeme kwenye hizi nchi zetu.
 
Kanunue battery
Mimi betri yangu nikiichomeka kwenye computer kwa sasa hata ikiwa naichaji yani inaonyesha alama ya X nyekundu halafu inanambia consider to replace the battery nahisi beti lishakufaa maana dakika 20 tu lishajaa full..

Lakini mara nyingi nimekua nikitumia njia ya kwanza kabla halijakufa.

Sasa sijui itakuaje nikiendelea kulitumia hili beti, je kutakua na madhara yeyote kwenye hii computer kuja kutokea!!
 
Basi mimi ningekuwa kila laptop ninayotumia inakufa battery kama mambo ndo yapo hivo.
Lap top charge ikishafika 100% ukaendelea kuiconnet unaiua battery. Na ikishafika 100% unapata alert kwamba ukiendelea kuitumia unapoteza uwezo wake wa kutunza charge. Labda uniambie kuna baadhi ya betri zinafanya kazi kinyume.
 
battey ina cycles kadhaa (kucharge ikajaa ukatumia ikaisha = 1cycle) kadiri unavyoucharge battery na kuitumia ikaisha unamaliza izo cycles, sasa ili battery yako idumu unaweza kutumia njia zote mbili

ya kwanza ni kutoitoa kabisa kwenye umeme ila hapa hakikisha mazingira uliyopo laptop haipati moto kabisa yani ipo kwenye hali ya kawaida. hii haina usumbufu wa chomoa chomeka kama utazingatia joto kwa wale walio mikoa yenye baridi hii inawafaa.

ya pili ni kutotumia laptop mpaka charge inakisha kabisa ikazima maana charge ikijaa na kuisha ni 1cycle imekwenda. unachofanya hapa ni kuongeza matumizi ya cycle moja, mfano laptop yako inakaa na charge 4hrs ina maana kwa siku utairecharge mara 6(tuchukulie unafanya kazi masaa 24) so kwa siku unamaliza cycles 6. ila cyles hizo sita zinaweza kutumiwa kwa ufanisi ikiwa laptop yako ikijaa ukaichomoa then ukatumia mpaka ikafika 80% ukachomeka charge so hapa cycle moja inakua haijaisha unakua unafanya ivo mara zote.

mnaweza kunikosoa au kuongezea pia
 
Jambo Wakuu?
Nimekuwa napata utata wa ni njia ipi ya kutunza battery ya laptop isiharibike nguvu ya kukaa muda mrefu kwa sababu nakutana na maelezo ya aina mbili.
NJIA YA KWANZA: Ni kuwa inabidi kuconnect adaptor/charger wakati wote. Hapa nimekutana na ushauri kuwa ili kuimarisha battery yapaswa uconnect hata kama charge imefikia 100% na ni vizuri isidrop below 80%

NJIA YA PILI: Hii ipo kinyume na ya kwanza maana wanaoielezea wanasema charger iwe connected up to 80% ili battery isichemke kwani kuchemka kwake ndio kisababishi cha battery kupoteza nguvu.Na wanasema ni vizuri ukatumia mpaka ikakaribia kuisha ndio uconnect chrger/adaptor

NAOMBA KUJUA NI YAPI MAJIBU SAHIHI
Asante!
kwa upande wangu njia ya kwanza ni sahihi! ila kilichosababisha betri yangu kufa ni feni, feni ilikosa ufanisi ikawa muda wote inapoza machine tofauti na zamani ilikuwa inapoza pale tu machine inapopata moto.
 
Nina Laptop yangu ya Lenovo inaweza kukukaa na charge mpk 5Hrs+ changamoto Kuna jamaa kaipenda na hela anayotoa ni ya maslah...nilipoinunua..nimepiga simu wamesema zimeisha. Je ni aina gani nyingine ya laptop ambazo zinakaa na charge muda mrefu nikiikosa Lenovo?
Kinachofanya laptop ikae na chaji sio brand bali ni processor na components nyengine za ndani, processor zinazoishiwa na Y zinaongoza kukaa na chaji zikifuatiwa na U wakati za H hazikai sana na charge.

Ukitafuta laptop za core m3 ambayo haikai na charge labda masaa 8 ila nyingi ni masaa 10+

Pia zipo laptop zinazotumia processor dhaifu kama celeron na pentium silver za Apollo lake na gemini lake hizi pia zinakaa sana na charge sema zina nguvu ndogo, hivyo unasacrifice perfomance ili upate ukaaji chaji.

Pia laptop zenye manufacturing process za kisasa kama 14nm ama 10nm zinakaa na chaji zaidi.

Kama una budget nzuri angalia thinkpad zenye extended battery hizi nyingi zinafika masaa 17 mpaka 24 sema jiandae budget ya zaidi ya milioni 1.

Kwa budget ya kawaida laki 5 mpaka 7 hivi tafuta za gemini lake kama Acer swift 1 hivi nyingi zinazidi masaa 10.
 
Mimi nmeshatumia sana njia ya kwanza... maana laptop nilizotumia hata 10 zinafika. Na katika hizo laptop zote ni laptop za hp tu ndo zilileta shida ya baterry. ambapo kwa hp case ya battery ni ishu ambayo ni general. Ila the rest zilikuwa poa tu
Sorry mkuu,hp and lenovo laptop ipi ni nzuri kwa uzoefu wako;nimetumia Hp Ila hazijadumu sana,nw natamani Lenovo ingawa kabla ya ku fanya maamuzi ya kuichukua nimeamua kutafuta ushauri kwanza
 
Sijawahi kutumia Lenovo ila huwa naiona kama ni computer nzuri. I have had bad experience with both HP and Dell. Na huwa nafikiria my next laptop iwe ni lenovo...
 
Wote wanakudanganya, ukweli ni kua betri ni moja ya teknolojia ambazo hazinakua sana, ukitumia betri mwaka moja inabaki around 80%~85% tu ya uwezo wake wa kutunza charge, hata uifanyeje for as long as unaitumia itashuka tu efficiency, ucharge hadi 100, udischarge, uiache kwenye umeme au uichomoe yote yaleyale tu.

Ndiyo kucharge hadi 80% kutoa na kuiiacha idischarge hadi arouns 20% kabla ya kuicharge inasaidia kidogo sana, ni kidogo sana kiasi kwamba effect yake ni kuokoa dakika chache tu, we charge hadi 100%, kama unatumia laptop na upo kwenye umeme itumie huku umechomeka betri tu, laptop siku hizi ni very smart, power itapita moja kwa moja hadi utakapo-disconnect ndo itaanza kutumia betri, sio kwamba inapita kwenye betri alafu kuja kwenye systems nyingine hapana.

So in short tumia vyovyote vile tu, haijalishi, betri kila baada ya muda efficiency itapungua huwezi kuzuia hili, ni kwa sababu teknolojia ya Lead batteries ndo ilivyo.
Ni kweli kabisa, nilinunua Sony Vaio Pro 13 mwaka 2015 mpaka leo battery yake ipo vizuri,
Wana app yao ya battery care, ikiwa enabled laptop inacharge mpaka 80% ikifika hapo haiendelei kucharge, na kama unataka kutumia AC main, kuna option unachagua itajicharge mpaka 50% na itakwamia hapo.
Mpaka leo hii battery iko vizuri inakaa sana na charge.
 
Back
Top Bottom