WABALLA Inc
JF-Expert Member
- Sep 2, 2014
- 2,711
- 1,018
Jambo Wakuu?
Nimekuwa napata utata wa ni njia ipi ya kutunza battery ya laptop isiharibike nguvu ya kukaa muda mrefu kwa sababu nakutana na maelezo ya aina mbili.
NJIA YA KWANZA: Ni kuwa inabidi kuconnect adaptor/charger wakati wote. Hapa nimekutana na ushauri kuwa ili kuimarisha battery yapaswa uconnect hata kama charge imefikia 100% na ni vizuri isidrop below 80%
NJIA YA PILI: Hii ipo kinyume na ya kwanza maana wanaoielezea wanasema charger iwe connected up to 80% ili battery isichemke kwani kuchemka kwake ndio kisababishi cha battery kupoteza nguvu.Na wanasema ni vizuri ukatumia mpaka ikakaribia kuisha ndio uconnect chrger/adaptor
NAOMBA KUJUA NI YAPI MAJIBU SAHIHI
Asante!