Kwenye ujenzi hatua ya linta au unazungumzia hatua ipi ?Hapa nazungumzia ile mianzi migumu, sina hakika na jina ( Bamboo)
Nimekuta ujenzi unaendelea.
Nashindwa kuweka picha.
Duh kama mbadala wa nondo sijawahi ona? Ni kwenye nini?. Ila kama mbadala wa mbao hasa kwny kupaulia ni kitu cha kawaida pale must ( mbeya) tumeshawahi develop designing manual ya mianzi kutumika kama mbao kwny kupaulia na ni kitu cha kawaida wakazi wa kijiji cha jirani ikuti wanatumia mbadala wa mbao kwny kupauliaHapa nazungumzia ile mianzi migumu, sina hakika na jina ( Bamboo)
Nimekuta ujenzi unaendelea.
Nashindwa kuweka picha.
Ilikuwa mwaka gani mkuuDuh kama mbadala wa nondo sijawahi ona? Ni kwenye nini?. Ila kama mbadala wa mbao hasa kwny kupaulia ni kitu cha kawaida pale must ( mbeya) tumeshawahi develop designing manual ya mianzi kutumika kama mbao kwny kupaulia na ni kitu cha kawaida wakazi wa kijiji cha jirani ikuti wanatumia mbadala wa mbao kwny kupaulia
Mianzi ina magonjwa mengi haitibiwiJe wanayo Kama hii?View attachment 1837848View attachment 1837849
Yes inawezekana kabisa kutumika kama mbadala wa Nondo kwenye zege, hasa nchini India wanafanya hivyo. Sababu kubwa ni kuwa ina nguvu kubwa ya kuhimili nguvu ya Uvutano(Tensile Stresses) kama Nondo. Hivyo inaisaidia zege kuwa na nguvu sawasawa na Nondo inavyoisaidia.Hapa nazungumzia ile mianzi migumu, sina hakika na jina ( Bamboo)
Nimekuta ujenzi unaendelea.
Nashindwa kuweka picha.