Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,641
Nimekuwa nafatilia mapendekezo ya wizara ya utalii inayoongozwa na Dr. Kigwangalla kuhusu kubuni njia mbadala ya kuwawezesha watu wasioweza kupanda mlima Kilimanjaro kutumia cable car ambako itachukua muda mfupi sana kufika juu
Hili linaweza kuwa wazo zuri lakini tukiangalia side effects ni nyingi kuliko faida
Tunajua kwa wakwezi wa kawaida huchukua siku tatu hadi saba kwa kupanda na kushukua hii inapelekea vijana waliojiajiri kutoa usaidizi kupanda milima kuongeza mapato
Pia cable car italeta usumbufu kwa viumbe vinavyoishi kuzunguzuka mlima Kilimanjaro
Mahoteli yatakosa wateja kwa kiasi kikubwa
Mlima ni kupanda na sio kupandishwa
Tunaomba mh Kigwangalla mfikirie mara mbili hili suala na ikiwezekana lisitishwe hadi kufanyike utafiti wa kina
Uchumi utashuka sana watalii wanaitumia wiki mbili Tanzania watakuwa wanatumia chini ya wiki moja tu
Acheni watalii watembee