Mpango wa kuanzishwa magari ya cable kupanda mlima Kilimanjaro

Mpango wa kuanzishwa magari ya cable kupanda mlima Kilimanjaro

alliJAY4_four

Senior Member
Joined
May 4, 2017
Posts
173
Reaction score
95
Serikali ina mpango wa kuanzisha CABLE-CARS yaani magari ya cable kupanda mlima kilimanjaro, ila mpaka sasa wapo baadhi ya wadau wanaopandisha watu/wageni kwenye mlima huo (Kumbuka hawa watu hulipwa), sasa huu mpango wao naona utakuwa umeteka soko la ajira kabisa kwa local industry....

Screenshot from 2019-04-08 00-16-58.png

Ingawa huu mpango utaongeza idadi ya wapandaji mlima, ila pia itapunguza muda wa watalii kukaa Tz cus itakua ni day trip tofauti na zamani ilivyokuwa wanatumia siku mpaka siku kupanda mlima huo...

Vipi wadau kuhusu hili suala mnahisi Serikali imeingia 'chaka' au huu mpango una faida?

Karibuni kwa maoni....

========

Tourism Updates

Cable Car to be introduced on Mount Kilimanjaro, amid protest

A cable car service is to be rolled out on Mount Kilimanjaro by a foreign company to improve access and boost tourism, amid strong protest from key industry players.

Overlooking the sprawling Savannah plains of Tanzania and Kenya, the snow-capped mountain of Kilimanjaro rises majestically in splendid isolation to 5,895 metres above the sea level, making it the world’s highest freestanding peak.

Deputy minister for Natural Resources and Tourism Constantine Kanyasu says the Cable Car facility was part of the government’s latest strategy to woo tourists with over 50 years of age.

Mr Kanyasu says that they hope that the cable car will allow more ageing tourists to experience the wide variety of nature and wildlife of Mount Kilimanjaro.

Instead of the familiar views of snow and ice, this cable car would offer a day trip safari with a bird’s eye view, contrary to the eight-day hiking trip.

The initial work for the cable car has just taken off with AVAN Kilimanjaro hiring the Crescent Environment and Management (CEM) Consult Limited to conduct Environmental and Social Impact Assessment (ESIA).

CEM officer Beatrice Mchome had engaged tour operators and other mountain stakeholders in Kilimanjaro and Arusha region where she made presentations on the proposed cable car and a lodge projects as part of the ESIA process.
Key industry players, namely tour operators, guides and porters strongly protest the new facility, saying climbing the magnificent Kilimanjaro Mountain on foot is a lifetime experience that should never be compromised by cable cars.

Mount Kilimanjaro Porters Society (MKPS) opposes the cable car product outright, saying it will deny employment nearly 250,000 unskilled porters scaling up Mount Kilimanjaro for a wage each year.

“Much as the cable car service doesn’t require porters, majority of tourists will climb Mount Kilimanjaro on day trip basis using the new product to cut down costs and length of stay,” MKPS vice chairman Edson Mpemba explains.

Mpemba wonders that decision makers had overlooked interests of the huge number of unskilled labour force, which solely depends on the mountain to eke out a living.

“Think of the ripple effect on families of the 250,000 unskilled porters,” he stresses, cautioning:

“The cable car facility will initially look like a noble and innovative idea, but it will, in a long run, ruin the future of the majority of local people whose livelihood depends on the mountain.”

Seasoned tour guide Victor Manyanga echoes his fears saying the glittering cable car product will contradict the country’s conservation policy, as it will encourage mass tourism and become a major threat to the ecology of Mount Kilimanjaro.

For More Info:

Serikali ina mpango wa kuanzisha CABLE-CARS yaani magari ya cable kupanda mlima kilimanjaro, ila mpaka sasa wapo baadhi ya wadau wanaopandisha watu/wageni kwenye mlima huo (Kumbuka hawa watu hulipwa), sasa huu mpango wao naona utakua umeteka soko la ajira kabisa kwa local industry....

Ingawa huu mpango utaongeza idadi ya wapandaji mlima, ila pia itapunguza muda wa watalii kukaa Tz cus itakua ni day trip tofauti na zamani ilivyokua wanatumia siu mpaka siku kupanda mlima huo...

vip wadau kuhusus hili swala mnahisi Serikali imeingia 'chaka' au huu mpango unafaida?
karibuni kwa maoni....
Mi naona itasaidia kuongeza idadi ya watalii sana na serikali itapiga hela vibaya..
 
Mi naona itasaidia kuongeza idadi ya watalii sana na serikali itapiga hela vibaya..
ila kuna Adventure flani hivi katika kuuupanda mlima kwa miguu, huoni hiki ni kigezo cha kuAttract watalii wengi sana bongo? plus the more they stay the more tunapiga hela....pia am sure cable cars wanazo uko nje, sasa kuja bongo nahisi ni vzuri wakute vitu tofauti ili iwe more interesting
 
Serikali ina mpango wa kuanzisha CABLE-CARS yaani magari ya cable kupanda mlima kilimanjaro, ila mpaka sasa wapo baadhi ya wadau wanaopandisha watu/wageni kwenye mlima huo (Kumbuka hawa watu hulipwa), sasa huu mpango wao naona utakua umeteka soko la ajira kabisa kwa local industry....

Ingawa huu mpango utaongeza idadi ya wapandaji mlima, ila pia itapunguza muda wa watalii kukaa Tz cus itakua ni day trip tofauti na zamani ilivyokua wanatumia siu mpaka siku kupanda mlima huo...

vip wadau kuhusus hili swala mnahisi Serikali imeingia 'chaka' au huu mpango unafaida?
karibuni kwa maoni....
Kuna wengi sana wanaopenda kupanda milima Kwa miguu yao watazidi kuja tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serikali ina mpango wa kuanzisha CABLE-CARS yaani magari ya cable kupanda mlima kilimanjaro, ila mpaka sasa wapo baadhi ya wadau wanaopandisha watu/wageni kwenye mlima huo (Kumbuka hawa watu hulipwa), sasa huu mpango wao naona utakua umeteka soko la ajira kabisa kwa local industry....

Ingawa huu mpango utaongeza idadi ya wapandaji mlima, ila pia itapunguza muda wa watalii kukaa Tz cus itakua ni day trip tofauti na zamani ilivyokua wanatumia siu mpaka siku kupanda mlima huo...

vip wadau kuhusus hili swala mnahisi Serikali imeingia 'chaka' au huu mpango unafaida?
karibuni kwa maoni....

Itakua poa sana!! Angalia table mountains Cape Town na kwingineko watu wanatumia cable cars kupanda hii huchukua muda mfupi na ni rahisi kwa wote!!

Wataohitaji kupanda bila hivyo vifaa pia nafikiri watakuwepo kubwa zaidi itaongeza idadi ya watalii nikiwemo mimi!!
 
Maendeleo yana gharama zake ndio dunia ilivyo wakijenga barabara wana bomoa nyumba maduka na ikijengwa ajari zinaongezeka lakini lazima ijengwe..Kilimànjaro wàzee walemavu na wajawazito ndio watakao faidika na hayo magari ya waya wengi wataendelea kupanda kwa miguu serikali itakusanya fedha kwa hawa ambao ilikuwa ngumu kupanda mlima Kilimanjaro
 
GOOD ILA TUNATAKIWA TUFANYE HARAKAHARAKA KUHUSU UMEME
HAITAKIWI UMEME HUU KUKATIKA ANYTIME HALAFU WATANZANIA WANAONA KAWAIDA UMEME KUKATIKA

Stiegler's Gorge haraka
Stiegler's Gorge haraka

1065533
 
Wajenge hoteli kule maeneo suitable ili watalii walale. Sio kileleni kabisa. Kukiwa na winter sports facility kama ice skating itavutia zaidi. Kwa kuanzia sio lazima iwe kubwa ili kulinda mazingira.
Wasifanye pupa hii sio kitu ya kubahatisha ingefaa washirikishe wataalamu haswa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uko sio kupanda mlima ni kubebwa kupelekwa mlimani.mim naamini kupanda kwa miguu kuna mengi yakujifunza nakufurahi zaidi kuliko kubebwa na kufikishwa kileleni nakushushwa.Pamoja na kwamba dunia imebadilika na watu wanatafuta njia mbali mbali zakupiga pesa ila Ninachokiona ni sifa ya mlima kubadilika,itakua sawa na kupanda gorofa kwa lift hadi juu nakurudi kwaiyo hata ile hadhi ya kuupanda mlima nakupa cheti cha uhuru haitakuwepo.Ila ndo mabadiliko yenyewe na watu washafikiria kuzichanga.
 
Ni mpango mzuri cha muhimu ni kuchagua route mojawapo ili kuwapa wapandaji machaguo ya Cable car au kwa miguu kwa kufanya hivi itasaidia sana kuongeza idadi ya watalii. Na kwa jinsi tulivyowashamba basi hata sisi tutashawishika kupanda.
 
ila kuna Adventure flani hivi katika kuuupanda mlima kwa miguu, huoni hiki ni kigezo cha kuAttract watalii wengi sana bongo? plus the more they stay the more tunapiga hela....pia am sure cable cars wanazo uko nje, sasa kuja bongo nahisi ni vzuri wakute vitu tofauti ili iwe more interesting
Yes, ile ladha ya trekking itapungua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serikali ina mpango wa kuanzisha CABLE-CARS yaani magari ya cable kupanda mlima kilimanjaro, ila mpaka sasa wapo baadhi ya wadau wanaopandisha watu/wageni kwenye mlima huo (Kumbuka hawa watu hulipwa), sasa huu mpango wao naona utakua umeteka soko la ajira kabisa kwa local industry....
Ingawa huu mpango utaongeza idadi ya wapandaji mlima, ila pia itapunguza muda wa watalii kukaa Tz cus itakua ni day trip tofauti na zamani ilivyokua wanatumia siu mpaka siku kupanda mlima huo...
vip wadau kuhusus hili swala mnahisi Serikali imeingia 'chaka' au huu mpango unafaida?
karibuni kwa maoni....
Kupanda mlima kwa cable si njia nzuri ya kutalii, utalii wa milimani ni adventure yaani mia yake si kufika kileleni tu bali huanzia mita 0, yaani unapoanza kuondoka na mimea, mawe pamoja na viumbe vyote unavyoviona njiani ikiwa pamoja na mabadiliko ya hali ya hewa na uoto. Endapo tunataka kuua utalii wa kupanda milima tuanzishe cable na tutajuta baadaye. Tujue yale mazoezi yanayofanyika kabla ya kuanza kupanda mlima nayo ni sehemu ya utalii kwani yana burudani yake ya kipekee.
SEMA HAPANA KWA CABLE.
SAY NO TO CABLE.
TULINDE SIMULIZI ZA USHUJAA WA KUPANDA MLIMA KILIMANJARO.
 
Haya sasa wenye Vitambi,na Mizimba Mikulu sasa mtaruhusiwa kupanda Mlima pia.
 
Kupanda mlima kwa cable si njia nzuri ya kutalii, utalii wa milimani ni adventure yaani mia yake si kufika kileleni tu bali huanzia mita 0, yaani unapoanza kuondoka na mimea, mawe pamoja na viumbe vyote unavyoviona njiani ikiwa pamoja na mabadiliko ya hali ya hewa na uoto. Endapo tunataka kuua utalii wa kupanda milima tuanzishe cable na tutajuta baadaye. Tujue yale mazoezi yanayofanyika kabla ya kuanza kupanda mlima nayo ni sehemu ya utalii kwani yana burudani yake ya kipekee.
SEMA HAPANA KWA CABLE.
SAY NO TO CABLE.
TULINDE SIMULIZI ZA USHUJAA WA KUPANDA MLIMA KILIMANJARO.
Kwani watapiga marufuku kupanda kwa miguu? Watu wengi wanatamani kupanda mlima kilimanjaro ila kutokana na sababu labda za kiavya wanashindwa! Umewaffikiria hao? Au umeogopa kukosa mabegi ya kubeba(Virunje)?
 
Serikali ina mpango wa kuanzisha CABLE-CARS yaani magari ya cable kupanda mlima kilimanjaro, ila mpaka sasa wapo baadhi ya wadau wanaopandisha watu/wageni kwenye mlima huo (Kumbuka hawa watu hulipwa), sasa huu mpango wao naona utakua umeteka soko la ajira kabisa kwa local industry....

Ingawa huu mpango utaongeza idadi ya wapandaji mlima, ila pia itapunguza muda wa watalii kukaa Tz cus itakua ni day trip tofauti na zamani ilivyokua wanatumia siu mpaka siku kupanda mlima huo...

vip wadau kuhusus hili swala mnahisi Serikali imeingia 'chaka' au huu mpango unafaida?
karibuni kwa maoni....

Idadi ikiwa kubwa ya watalii wa nje na ndani watapanda mlima, kutakuwa na biashara nyingine nyingi zitaongezeka kwenye vituo vya kupandia na kushukia. nchi nyingi zimefanya hivi, ingawa pia wanaotaka kupanda kwa miguu waachiwe waendelee.Ni wazo zuri.
 
Naunga mkono hoja,hata baba angu mzazi kule kijijini Mungu akimjalia ataweza kufika juu kabisa ya mlima,tuungane pamoja kwenye hili maendeleo hayana vyama...
 
Back
Top Bottom