Kutumia cable car kupanda mlima Kilimanjaro kutaathiri utamaduni na uchumi wa mlima

Victor wa happy

JF-Expert Member
Apr 24, 2013
11,660
11,641
Nimekuwa nafatilia mapendekezo ya wizara ya utalii inayoongozwa na Dr. Kigwangalla kuhusu kubuni njia mbadala ya kuwawezesha watu wasioweza kupanda mlima Kilimanjaro kutumia cable car ambako itachukua muda mfupi sana kufika juu

Hili linaweza kuwa wazo zuri lakini tukiangalia side effects ni nyingi kuliko faida

Tunajua kwa wakwezi wa kawaida huchukua siku tatu hadi saba kwa kupanda na kushukua hii inapelekea vijana waliojiajiri kutoa usaidizi kupanda milima kuongeza mapato

Pia cable car italeta usumbufu kwa viumbe vinavyoishi kuzunguzuka mlima Kilimanjaro

Mahoteli yatakosa wateja kwa kiasi kikubwa

Mlima ni kupanda na sio kupandishwa

Tunaomba mh Kigwangalla mfikirie mara mbili hili suala na ikiwezekana lisitishwe hadi kufanyike utafiti wa kina

Uchumi utashuka sana watalii wanaitumia wiki mbili Tanzania watakuwa wanatumia chini ya wiki moja tu

IMG_20190517_130402.JPG

Acheni watalii watembee
 
Tatizo baadhi ya watendaji hawajui biashara kabisa..Wao wanafikiria kurahisisha kila kitu..Hivi wanajua ni watu wangap ambao wananufaika kwa mtalii kukaa siku 7 porini?
 
View attachment 1100311

Acheni watalii watembee
Si kweli cable haziwezi leta athari yeyeto zitaongeza idadi ya watalii ,wapo ambao hawana mda wa kukaa siku 7 wao wapande na kushuka tu wawahi shughuli zao hao tutawapata.Option lzm ziwepo ni choice tu ya MTU atumie cable au asitumie cable,kupitia cable zitasaidia wazee,walemavu,wasio Na mda wote kupanda KLM.
 
Mimi kileleni nafika bila cable wala nini. Kilimanjaro,Dsm,Morogoro,Arusha,Dodoma kote nishafika kileleni😂😂😂😂

-bangi sio nzuri-
 
Viongozi wetu wanakosa ubunifu sana ila angalau kingwangwala yupo active labda atasikia ushauri wetu
Tatizo baadhi ya watendaji hawajui biashara kabisa..Wao wanafikiria kurahisisha kila kitu..Hivi wanajua ni watu wangap ambao wananufaika kwa mtalii kukaa siku 7 porini?
 
Binadamu hubadilika kuendana na mazingira mkuu nakuhakikishia cable car zikianza kufanya kazi mt Kilimanjaro watalii wengi sana wataswitch kutoka kutembea na kuanza kutumia cable car
Si kweli cable haziwezi leta athari yeyeto zitaongeza idadi ya watalii ,wapo ambao hawana mda wa kukaa siku 7 wao wapande na kushuka tu wawahi shughuli zao hao tutawapata.Option lzm ziwepo ni choice tu ya MTU atumie cable au asitumie cable,kupitia cable zitasaidia wazee,walemavu,wasio Na mda wote kupanda KLM.
 
Tatizo baadhi ya watendaji hawajui biashara kabisa..Wao wanafikiria kurahisisha kila kitu..Hivi wanajua ni watu wangap ambao wananufaika kwa mtalii kukaa siku 7 porini?
Kuweka cable cars haimanishi kwamba wapanda kwa miguu hawwtoruhusiwa.
 
Nimekuwa nafatilia mapendekezo ya wizara ya utalii inayoongozwa na Dr. Kigwangalla kuhusu kubuni njia mbadala ya kuwawezesha watu wasioweza kupanda mlima Kilimanjaro kutumia cable car ambako itachukua muda mfupi sana kufika juu

Hili linaweza kuwa wazo zuri lakini tukiangalia side effects ni nyingi kuliko faida

Tunajua kwa wakwezi wa kawaida huchukua siku tatu hadi saba kwa kupanda na kushukua hii inapelekea vijana waliojiajiri kutoa usaidizi kupanda milima kuongeza mapato

Pia cable car italeta usumbufu kwa viumbe vinavyoishi kuzunguzuka mlima Kilimanjaro

Mahoteli yatakosa wateja kwa kiasi kikubwa

Mlima ni kupanda na sio kupandishwa

Tunaomba mh Kigwangalla mfikirie mara mbili hili suala na ikiwezekana lisitishwe hadi kufanyike utafiti wa kina

Uchumi utashuka sana watalii wanaitumia wiki mbili Tanzania watakuwa wanatumia chini ya wiki moja tu

View attachment 1100311

Acheni watalii watembee

Ni kweli raha ya mlima ni kuupanda kwa kutembea ndivyo watu wanapenda hizi cable watafuta maeneo mengine mfano unaweza kuziweka ata mlima Meru watu wakawa wanaangalia view ya mkoa wa Arusha na hata baadhi ya mbuga ila mlima kilimanjaro wataharibu kupanda mlima ni adventure bhana sio kujikuta tu upo kileleni zile taabu za kuupanda ndo raha yake sasa
 
Mlima kilimanjaro wataharibu kupanda mlima ni adventure bhana sio kujikuta tu upo kileleni zile taabu za kuupanda ndo raha yake sasa
Si ndio hapo watu wanajiandaa physically na psychologically kupanda mlima for month in advance; halafu wewe useme unaweka cable mpaka kileleni what is left of the adventure experience then.

Hili rika la kina Kingwangala, Mwigulu, Makamba, wamesoma kwa kukariri ukiwasikiliza ubunifu ni zero.
 
Kwanini unadhani watu wengi hawataupanda kwa miguu?? Hivi umewawaza wale wanaoahirisha kuupanda kwakuwa schedule yao imebana? Vipi wazee, watoto, wajawazito na walemavu wanaotamani kuupanda ila kwakuwa ni kwa miguu wanaishia kuutazama tu??
 
Sawa watatumia wiki moja lakini hela ya wiki ya pili watailipia kwenye cable car na ushauri mwingine kule juu nako wajenge hoteli ambapo mtu anaweza kulala hata siku mbili ili tupate mapato zaidi...
 
Tatizo baadhi ya watendaji hawajui biashara kabisa..Wao wanafikiria kurahisisha kila kitu..Hivi wanajua ni watu wangap ambao wananufaika kwa mtalii kukaa siku 7 porini?
Mtu anatoka boarding anapelekwa hostel ana toka hostel kazi kesha andaliwa huwa hawajui yanayo jiri na wakiyajua ni theory tu sio practical laiti kama wangepata nafasi ya kutapatapa kama akina sie wangeelewa wanayoyafanya ni sahihi ama lah! Kuna watu wamejiajiri kupandisha watalii huko mlimani inamaana vibaru vyao vimekufa! Wenye biashara zao na huku kodi zinapanda inakuaje!!?
 
Wazo zuri sana Hilo la kuweka cable car. Tunachotaka hapo ni hela tu.
walishafanya hata poll research wakaona kuna hiyo demand ya cable car; ni sawa na kusema mtalii apande ndege kuja mpaka Tanzania kuona wanyama halafu umpleke zoo.
 
Tatizo baadhi ya watendaji hawajui biashara kabisa..Wao wanafikiria kurahisisha kila kitu..Hivi wanajua ni watu wangap ambao wananufaika kwa mtalii kukaa siku 7 porini?
Mtu anatoka boarding anapelekwa hostel ana toka hostel kazi kesha andaliwa huwa hawajui yanayo jiri na wakiyajua ni theory tu sio practical laiti kama wangepata nafasi ya kutapatapa kama akina sie wangeelewa wanayoyafanya ni sahihi ama lah! Kuna watu wamejiajiri kupandisha watalii huko mlimani inamaana vibaru vyao vimekufa! Wenye biashara zao na huku kodi zinapanda inakuaje!!?
 
Naunga mkono wazo hili utarii wa ndani utakuwa sana kulanda mlima, wengi wetu maandalizi yanatushinda ila tuna hamu ya kwenda "the roof of Africa" na aamini hata wageni watakuwa wengi watoto kwa wakubwa, kwa sasa sijui kama watoto wanarusiwa kupanda. Bado inaweza weka bei ndogo kwa wapanda kwa miguu ili kuendelea kuwavutia adventurers.

Pia utalii siyo ulaya tu tuvute hata mataifa yananayo tunzungua uone kama moshi hapata furika kama msimu wa xmas.

Pia hii option itasaidia kutunza mazingira nasikia watu wanatupa vitu hovyo huko juu kumekuwa kama jalala la mbagala
 
Naunga mkono wazo hili utarii wa ndani utakuwa sana kulanda mlima, wengi wetu maandalizi yanatushinda ila tuna hamu ya kwenda "the roof of Africa" na aamini hata wageni watakuwa wengi watoto kwa wakubwa, kwa sasa sijui kama watoto wanarusiwa kupanda. Bado inaweza weka bei ndogo kwa wapanda kwa miguu ili kuendelea kuwavutia adventurers.

Pia utalii siyo ulaya tu tuvute hata mataifa yananayo tunzungua uone kama moshi hapata furika kama msimu wa xmas
Wateja wana kuja na expectations za aina fulani katika category wanazochagua, hii move ni desperation mlima Kilimanjaro marketing wise unatakiwa kuwa positioned as an adventurous experience and a taste of endurance. Kuanza kufikiria mambo ya cable car ni kutopeza important features of that experience and somewhat a desperate move.
 
cable ni muhimu

japo kuna mapingamzi wa chains nzima ya utalii kupoteza mzunguko wa kiuchumi..

cable zitarahisisha na kukuza ongezeko LA watalii na wengineo ambao wangekufa bila kuupanda huo Mt Kilimanjaro
 
Back
Top Bottom