kutongoza kazi

nataka niwape real story imetokea ijumaa,kama kawaida sina mtu permant kama tulivyoongea huko nyuma,lakini ijumaa nilitoka kwenda town kwa dhumuni la kutongoza,nilivaa shati na jeans nikachomekea,lakini nilipofika town hakuna mwanamke aliyegeuza shingo kuniangalia,nikajua hapa hamna kitu,nikarudi home nikabadilisha nikapiga tishirt na kadeti nikachomekea halafu chini nikapiga boot,nilipofika town nikaona wanawake wengi wananiangalia,nikatulia nikajua hapa lazima nikamate kichwa,nikaona cha kwanza nikamsalimia kajibu vizuri akaelekea lakini kakataa kutoa no za simu lakini akachukua business card,nikaona cha pili kikaelekea lakini nacho kikakataa kutoa no lakini kikachukua business card,cha tatu kikakubali kutoa no halafu jana kimeliwa vizuri tu,du kutongoza kazi ndugu zangu.

nilichogundua hamtaki kuambiwa ukweli,mnajifanya watoto wa mjini kama ridwan
 
Huyo mwanamke lazima atakuwa mlugaluga mwenzie so akashoboka na jinsi. Ukisikia duniani kuna watu na viatu ndo kama hiv, unakutana na m2 hujui historia ya magonjwa yake afu unaenda kulala nae. Khaaaa ni akili au ni matope jaman?
<br />
<br />

MATOPE!!
 
Wakuu nimegundua huyu jamaa ni lile kabila la wale jamaa wanaoitwa Wameru wanaishi huko arusha, wanakuwaga washambawashamba, nilienda kwa rafiki yangu 1 huko kwao sehemu 1 wanaita Kikatiti nikakuta vijana wengi wanapendelea kuvaa tshirt za njano na jeans zenye viraka. Ona hata agenda zake ni Mtorii kweli.
Acha kuita kabila lingine washamba,washamba wapo kila sehemu
 
Wakuu nimegundua huyu jamaa ni lile kabila la wale jamaa wanaoitwa Wameru wanaishi huko arusha, wanakuwaga washambawashamba, nilienda kwa rafiki yangu 1 huko kwao sehemu 1 wanaita Kikatiti nikakuta vijana wengi wanapendelea kuvaa tshirt za njano na jeans zenye viraka. Ona hata agenda zake ni Mtorii kweli.

mkuu ugrit thinka ni zaidi ya upeo wako,kuna kabila ambalo halina washamba?je unadhani kudhalilisha kabila flani ni dili?usitupeleke kny ukabila kama huna cha kuchangia kinachoendana na mada u better skip the pg n move on,karibu
 
dah ata ka cjawai kukuona ila unaonekana we ni mshamb mpka basi... unaitaj mda sana mpka uwe kawaida
 
nataka niwape real story imetokea ijumaa,kama kawaida sina mtu permant kama tulivyoongea huko nyuma,lakini ijumaa nilitoka kwenda town kwa dhumuni la kutongoza,nilivaa shati na jeans nikachomekea,lakini nilipofika town hakuna mwanamke aliyegeuza shingo kuniangalia,nikajua hapa hamna kitu,nikarudi home nikabadilisha nikapiga tishirt na kadeti nikachomekea halafu chini nikapiga boot,nilipofika town nikaona wanawake wengi wananiangalia,nikatulia nikajua hapa lazima nikamate kichwa,nikaona cha kwanza nikamsalimia kajibu vizuri akaelekea lakini kakataa kutoa no za simu lakini akachukua business card,nikaona cha pili kikaelekea lakini nacho kikakataa kutoa no lakini kikachukua business card,cha tatu kikakubali kutoa no halafu jana kimeliwa vizuri tu,du kutongoza kazi ndugu zangu.
big shiit
 
Back
Top Bottom