kutongoza kazi

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,889
3,412
nataka niwape real story imetokea ijumaa,kama kawaida sina mtu permant kama tulivyoongea huko nyuma,lakini ijumaa nilitoka kwenda town kwa dhumuni la kutongoza,nilivaa shati na jeans nikachomekea,lakini nilipofika town hakuna mwanamke aliyegeuza shingo kuniangalia,nikajua hapa hamna kitu,nikarudi home nikabadilisha nikapiga tishirt na kadeti nikachomekea halafu chini nikapiga boot,nilipofika town nikaona wanawake wengi wananiangalia,nikatulia nikajua hapa lazima nikamate kichwa,nikaona cha kwanza nikamsalimia kajibu vizuri akaelekea lakini kakataa kutoa no za simu lakini akachukua business card,nikaona cha pili kikaelekea lakini nacho kikakataa kutoa no lakini kikachukua business card,cha tatu kikakubali kutoa no halafu jana kimeliwa vizuri tu,du kutongoza kazi ndugu zangu.
 
Kwahiyo nia yako tujue umempata wa jana jana na mkamalizana jana jana?!HONGERA SANA!
 
kwa hiyo? kwanza ulichomekea shat kwene jins, pili ulibadili ukachomekea tshrt kwene kadet then ukavaa BUTI, dalili zinaonyesha we ni mlugaluga. jifunze dressing code
 
kwa hiyo? kwanza ulichomekea shat kwene jins, pili ulibadili ukachomekea tshrt kwene kadet then ukavaa BUTI, dalili zinaonyesha we ni mlugaluga. jifunze dressing code
<br />

Mlugaluga huyohuyo kachapa!! Some women Bwana,yaani mtu unakutana naye tu barabarani tayari Uhusiano,Kitandani,UKimwi hauwezi dhibitiwa namna hii!!
 
Duh, Mkuu kama alivyosema D5.jaribu kuvaa vitu vinavyoendana. Mavazi yana muelezea mtu zaidi hasa kwa watu wasiofahamiana.
ongera kupata kichwa kwa juhudi zako.
 
<br />

Mlugaluga huyohuyo kachapa!! Some women Bwana,yaani mtu unakutana naye tu barabarani tayari Uhusiano,Kitandani,UKimwi hauwezi dhibitiwa namna hii!!
Huyo mwanamke lazima atakuwa mlugaluga mwenzie so akashoboka na jinsi. Ukisikia duniani kuna watu na viatu ndo kama hiv, unakutana na m2 hujui historia ya magonjwa yake afu unaenda kulala nae. Khaaaa ni akili au ni matope jaman?
 
Si basi tu tujue hata wanaochomekea jinsi wanaweza kubahatisha!!!
Umeona eeh? Ushamba mzigo wa kuni ndugu yangu. Huyu ndo wale akibahatisha binti mtaa mzima watajua, atasimulia huyooo! Kazi kweli kweli.
 
Dah! Inatisha na kwa mwendo huu utakufa bila kuoa.Jiangalie vzr mkuu hii sio bure kuna kitu kinakusumbua
 
Huyu ana vielementi vya ushoganyo a.k.a ubwabwanyo a.k.a upunganyo na angalia mkuu utakuja kujilengesha kwa wake za watu ambao waume zao wana mitarimbo inch 11 ambao watalipiza kisasi mpaka utakuja juta shaurilako.Siunajua yaliyo mkuta msanii mmoja wa ubongo wa fuleva.
 
we teenager unafanya nini humu? nenda fb

Join Date : 17th May 2011
Posts : 76
Thanks
1
Thanked 6 Times in 6 Posts

Rep Power : 21
 
Wakuu nimegundua huyu jamaa ni lile kabila la wale jamaa wanaoitwa Wameru wanaishi huko arusha, wanakuwaga washambawashamba, nilienda kwa rafiki yangu 1 huko kwao sehemu 1 wanaita Kikatiti nikakuta vijana wengi wanapendelea kuvaa tshirt za njano na jeans zenye viraka. Ona hata agenda zake ni Mtorii kweli.
 
Acha kudharau makabila ya watu wengine...na mtori unahusiana vipi na kua mshamba?!
 
Mkuu ugumu wa kutongoza uko wapi hapo?Nilidhani kulikuwa na manzi labda alikusumbua sana,lakini baada ya kumpiga somo la uhakika na kuingia na gia tofauti tofauti,baabaye akatiki,kumbe wewe kazi yako ni kubadilisha nguo na kuvizia milupo kiwanja,halafu unasema kutongoza kazi?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom