Kutokuwemo mashabiki hakuondoi uhalali wa mechi

Unasema jambo na kujikana mwenyewe. Mara hamjachagua kampuni ya kukata tiketi, mara mna mkataba na N Card.

Umeshaambiwa tiketi za 08/03 zitatumika tena, mjadala ulikuwa unaishia hapo. Sasa unataka tiketi za 08/03 zitumike kwa kampuni A wakati zilikatiwa kwa kutumia kampuni B?

Na narudia kwa mara nyingine, kuwepo au kutokuwepo kwa mashabiki hakuathiri lolote taratibu wa mchezo kufanyika na kukamilishwa na hata mchezo kuchezwa.
Kuna sehemu nimesema Yanga hawaja chagua kampuni ya kukata ticket?
Screenshot_20250606_140224_Instagram.jpg

Mtizame Kolo FC mwenzio mwenye akili.Endelea kubisha.......
 
Uwanja sio shida ya Yanga
Yanga Sasa tunasafisha TFF na bodi ya ligi
Baada ya zoezi hilo tutakuja kuwapaka mafuta mbumbumbu Kwa mara ya 5 mfululizo
Nyie tulieni najua mmemis kufungwa na Yanga, muda utafika mtafungwa hata huko Bunju
Embu kaeni mkubaliane tena mje vipi maana mnapingana wenyewe kwa wenyewe.
 
Unasema jambo na kujikana mwenyewe. Mara hamjachagua kampuni ya kukata tiketi, mara mna mkataba na N Card.

Umeshaambiwa tiketi za 08/03 zitatumika tena, mjadala ulikuwa unaishia hapo. Sasa unataka tiketi za 08/03 zitumike kwa kampuni A wakati zilikatiwa kwa kutumia kampuni B?

Na narudia kwa mara nyingine, kuwepo au kutokuwepo kwa mashabiki hakuathiri lolote taratibu wa mchezo kufanyika na kukamilishwa na hata mchezo kuchezwa.
Umeambiwa suala la mapato ni la timu mwenyeji
Bodi ya ligi haiwezi kuamria Yanga kama zitumike ticket zile zile
Yanga anaweza kuamua kuongeza au kupunguza kiasi

Ndo maana Simba mechi ya final ya CAFCC waliwatapeli mashabiki baada ya mechi kuhamia Amaan complex,walioamua tickets zao zitumike Simba day.

Na Yanga wanaweza kuamua kuuza ticket upya na bei mpya na kuwataka wenye ticket za Derby waitumike siku ya wananchi
 
Embu kaeni mkubaliane tena mje vipi maana mnapingana wenyewe kwa wenyewe.
Wewe ndo huelewi
Unaeleweshwa Bado inabaki na matamanio yako kwamba sijui ticket, sijui mechi ipo
Mechi ipo ila laZima tusafishe TFF kwanza
 
Hii Tanzania Kweli Tunachezewa Na Wahuni Wachache
 
Keyword "mnaweza". Je mmefanya hivyo?

Mpo huku mitandaoni mnajazana ujinga kumbe taratibu mnazijua.
We kweli jinga
Hapo nimekwambia anayetakiwa kutangaza mambo ya tickets ni Yanga pekee na sio bodi ya ligi ya 5imba

Kwanini bodi ya ligi ya 5imba utoke iseme ticket zitatumika zile zile?
Hii vita ni kati ya Yanga na wapumbavu wa bodi ya ligi

Yanga hajatangaza kwakuwa viingilio wala uwanja,
Yanga ndo mwenyeji
Yanga ndo ataandaa miundo mbinu ya uwanja na hotel/ ukumbi Kwa ajili ya pre match meeting
Yanga ndo ataalika kamati ya usalama wakati wa mchezo
Yanga ndo ataanda ball boys, mipira na cones za mazoezi

Yanga asipofanya haya hao bodi ya liginitaipeleka wapi wapi mechi na watachezaje?
 
Nimesema toka post ya kwanza hata asipokuwepo mtazamaji mmoja, hakuzuii taratibu za mchezo kufuatwa. Sielewi mnatumia akili gani kuwaza mambo haya.

Yaani unasema hautashiriki mchezo, hautatoa ushirikiano wa aina yoyote kwa mamlaka husika, unasema hadi uwanja hauutambui kwa kuwa haujauchagua halafu hapo hapo unapanga kuzuia watazamaji kuja katika uwanja huo ambao hauutambui katika mchezo ambao umeugomea? Akili za wapi hizi mnazotumia nyie vyura?

Yaani unategemea Simba ije kwenye derby itegemee kutumia koni za Yanga?

Yanga asipotokea uwanjani, ballboys watakuwa na kazi gani? Yaani utaenda kulalamika CAS kwamba hamkushirikishwa katika kuchagua ballboys au ballboys hawakuwepo kwa hiyo mchezo hamuutambui?

Hadi mnanitisha aisee. Sikudhani kunaweza kuwa na watu wazima wenye kiwango hiki cha kufikiri na kuamua mambo.
 
Nimesema toka post ya kwanza hata asipokuwepo mtazamaji mmoja, hakuzuii taratibu za mchezo kufuatwa. Sielewi mnatumia akili gani kuwaza mambo haya.

Yaani unasema hautashiriki mchezo, hautatoa ushirikiano wa aina yoyote kwa mamlaka husika, unasema hadi uwanja hauutambui kwa kuwa haujauchagua halafu hapo hapo unapanga kuzuia watazamaji kuja katika uwanja huo ambao hauutambui katika mchezo ambao umeugomea? Akili za wapi hizi mnazotumia nyie vyura?

Yaani unategemea Simba ije kwenye derby itegemee kutumia koni za Yanga?
Nimegundua kumbe nasumbua akili zangu nyingi kuuelewesha jitu pumbavu.

Yaani hujui protocol za home team vs visiting team.

Hujui mechi inàanza kwenye pre match meeting, kuchagua jezi za team shirikisho wa mchezo, jezi makipa, jezi za waamuzi, mkifika uwanjani visiting team mkakuta Yanga mwenyeji amevàa jezi nyekundu mtafanyaje?

Na hujui nani anaandàa pre match meeting?
 
Waache wasomaji wa huu mjadala waamue mwenye akili ni nani na asiye na akili ni nani. Wanyamwezi wana msemo, "don't toot your own horn".

Sasa hiyo prematch meeting inafanyika lini? Na hata timu moja isipotokea katika hiyo prematch meeting, unadhani taratibu za kuandaa mchezo hazitaendelea na waamuzi, wasimamizi wa mchezo, Azam Media, Simba na wahusika wengine hawatatokea uwanjani na Simba hawatakuja uwanjani wakiwa na jezi zao walizoziwasilisha katika hiyo prematch meeting?

Aisee....ukistaajabu ya Musa.....
 
Unasema jambo na kujikana mwenyewe. Mara hamjachagua kampuni ya kukata tiketi, mara mna mkataba na N Card.

Umeshaambiwa tiketi za 08/03 zitatumika tena, mjadala ulikuwa unaishia hapo. Sasa unataka tiketi za 08/03 zitumike kwa kampuni A wakati zilikatiwa kwa kutumia kampuni B?

Na narudia kwa mara nyingine, kuwepo au kutokuwepo kwa mashabiki hakuathiri lolote taratibu wa mchezo kufanyika na kukamilishwa na hata mchezo kuchezwa.
Hizo tiketi za tarehe nane kwani si zinatakiwa kufanyiwa activation ili zisome kwenye mfumo? Maana muda wake ulishapita.
 
Nadhani hado Bodi wamesema hivyo hilo litakuwa limefanyiwa kazi.
Na ninajua hiyo siku yanga wasipofika simba watadai points 3 wapewe, Yanga apokwe points 15 na wao watangazwe kuwa mabingwa wa ligi, vita itahamia sasa kuwa kati ya Simba vs TFF/bodi ya ligi
 
Baada ya derby, Simba inahitaji tu kushinda mechi zake mbili zilizobaki. Haihitaji kusubiri Yanga ipokonywe point 15. Hakutakuwa na vita kati ya Simba vs TFF/Bodi kama Simba itashinda mechi zake mbili zilizobaki.

Bodi itatangaza maamuzi kabla ya tarehe 22/06 ili taratibu za kupeleka na kukabidhi kombe kwa bingwa mtarajiwa zifanyike katika mechi za mwisho.

Kama wataamua kuipa Simba pwenti 3 bila kuipokonya Yanga pwenti 15, ina maana kombe halitakabidhiwa siku ya mwisho maana itabidi kusubiri matokeo hadi ya mechi za mwisho. Sikumbuki taratibu za kukabidhi kombe zinakuwaje iwapo timu zimekaribiana sana hadi bingwa hajulikani hadi mechi za mwisho kuchezwa.

Kama Bodi watainyang'anya Yanga pwenti 15 ina maanisha Simba automatically itakuwa bingwa na kombe litakuwa uwanjani siku wakicheza na Kagera.
 
Kombe hupewi kirahisi hivyo kama unavyoandika hapa
 
Nadhani simba lazima watakomalia suala la Yanga kupokwa points 15 kwasababu kama wasipofanya hivyo,,incase zile mechi zao mbili za mwisho mambo yakaenda tofauti hali itakuaje unadhani,
Lakini pia yanga akipokwa points mechi ya simba nahisi atagomea na mechi zake mbili zilizobaki na hivyo ligi haitaweza kuisha kwakua kuna timu hazotamaliza mechi kama inavyotakiwa,
 
Unalifanya jambo kuwa gumu kuliko uhalisia.

Simba akipewa pwenti 3 kwenye derby, sioni uwezekano wa kushindwa kushinda mechi 2 za mwisho, pamoja na kwamba katika soka lolote linawezekana. Hizo mechi 2 zitakuwa dhidi ya Kengold na Kagera ambao tayari wameshuka daraja!

Yanga akipokwa pwenti 3 kwenye derby akaamua kutocheza mechi mbili za mwisho, pia atapokwa pwenti 3 kwa kila mchezo. Bado nafasi yao ya 2 itabaki pale pale na ligi itaisha vizuri tu. Tena Yanga isipocheza na Prisons itakuwa rahisi zaidi kwa Bodi maana itarahisisha zoezi la kukabidhi kombe kwenye mechi ya Simba na Kagera na rasmi kumaliza ligi.

Simba wakiamua kukomalia Bodi ili Yanga wanyang'anywe pwenti 15 itakuwa tu kwa ajili ya kuwazodoa Yanga ila sioni kama itazihitaji hizo pwenti. Simba hawapendi drama za kijinga, sioni wakipoteza muda wao kwenye jambo hilo.
 
Unalifanya jambo kuwa gumu kuliko uhalisia.

Simba akipewa pwenti 3 kwenye derby, sioni uwezekano wa kushindwa kushinda mechi 2 za mwisho, pamoja na kwamba katika soka lolote linawezekana. Kengold na Kagera tayari zimeshuka daraja!

Yanga akipokwa pwenti 3 kwenye derby akaamua kutocheza mechi mbili za mwisho, pia atapokwa pwenti 3 kwa kila mchezo. Bado nafasi yao ya 2 itabaki pale pale na ligi itaisha vizuri tu. Tena Yanga isipocheza na Prisons itakuwa rahisi zaidi kwa Bodi na Simba maana itarahisisha zoezi la kukabidhi kombe kwenye mechi na Kagera.
Mechi ya tarehe 15 haipo na Hupati point hata Moja bila kuitolea jasho labda sio yanga ninayoijua Mimi kumbe unasubiri kombe la kupewa mezani hiyo haipoo tupo paleeee 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Katika kanuni za TFF, CAF na hadi FIFA, hakuna kipengele kinachosema kuwa mechi inakamilika iwapo tu kutakuwa na mashabiki jukwaani.

Hizi nguvu mnazotumia kusema eti mechi isitangazwe, tiketi zisiuzwe, nk. hazina maana yoyote ile katika taratibu za mechi.

Kwanza mkumbuke tiketi za 08/03 bado zinatambulika na zitatumika tena 15/06 kwa hiyo zaidi ya 70% ya tiketi tayari zipo mikononi mwa wale waliokwisha nunua.

Hata ikitokea hatokei mtazamaji hata mmoja uwanjani, taratibu za mchezo zitafuatwa, Yanga asipotokea uwanjani, Simba itapewa pwenti zake 3 na goli 3 saaafi. Hii cleansheet tutampa Diarra ajalizie katika rekodi zake.

Bodi ya ligi haina ulazima wa kutoa HARAKA taarifa za Simba kupewa pwenti 3. Wanaweza kusubiri wiki nzima au hata wiki 2 au 3 kama ambavyo wamekuwa wanafanya kutoa taarifa za mwezi za ligi. Kwa hiyo msitumie chaka la baadae kusema eti Bodi inachelewa kutoa taarifa kwa makusudi.

Nyie mkishaona Simba imetokea uwanjani, taratibu zote za mchezo zimefuatwa, mwamuzi amesubiri muda unaotakiwa akamaliza mchezo mjue imeisha hiyo. Hapo hapo mchukue hizo hatua mnazotishia kuchukua na wala msisubiri.
😁😁 We unaongea kama nani ?
Shabiki
Mwanamichezo
Mchambuzi au
Kiongozi pale TFF/ Bodi ya ligi ???
 
Back
Top Bottom