Mgumu kuelewa kampuni ya kuuza ticket za Yanga kwa msimu huu 24/25 ni N Card,yaani events yoyote ya Yanga, kuanzia mechi zake za ligi, binafsi na nyinginezo anaye kusanya ni N Card.Hamna timu inayo chagua ticket siku moja au wiki moja kabla ya mechi bali wanakuwa na kampuni itakayo kata ticket kwa kipindi fulani kutokana na makubaliano yao.Hapo TFF,Bodi ya Ligi hawahusiki kabisa na hawapo kwenye huo mkataba.
Yanga yeye anachotaka majibu ya kwa nini mechi ilihairishwa tarehe nane na walio husika wawajibike, sasa jamaa zenu bodi ya ligi siku ile tarehe nane walisema watafanya uchunguzi na kutoa ripoti ya uchunguzi, halafu kabla ya kutoa hiyo ripoti wanapanga tarehe nyingine, vipi ripoti ilisha toka? Nyie kama lilivyo jina lenu Kolo FC, kwenye barua yenu mlisema hamtacheza mechi husika mpaka walio husika wachukuliwe hatua, vipi wangapi wamechukuliwa hatua na kuwajibika?
Haya nazani unaona, mwandishi wa Clouds Kolo FC mwenzenu ameprove ninacho kiongea. Sasa sijajua hayo mazoezi kabla ya mechi mtafanyaje au mtagoma tena?
View attachment 3357986