Kutokuwemo mashabiki hakuondoi uhalali wa mechi

Katika kanuni za TFF, CAF na hadi FIFA, hakuna kipengele kinachosema kuwa mechi inakamilika iwapo tu kutakuwa na mashabiki jukwaani.

Hizi nguvu mnazotumia kusema eti mechi isitangazwe, tiketi zisiuzwe, nk. hazina maana yoyote ile katika taratibu za mechi.

Kwanza mkumbuke tiketi za 08/03 bado zinatambulika na zitatumika tena 15/06 kwa hiyo zaidi ya 70% ya tiketi tayari zipo mikononi mwa wale waliokwisha nunua.

Hata ikitokea hatokei mtazamaji hata mmoja uwanjani, taratibu za mchezo zitafuatwa, Yanga asipotokea uwanjani, Simba itapewa pwenti zake 3 na goli 3 saaafi. Hii cleansheet tutampa Diarra ajalizie katika rekodi zake.

Bodi ya ligi haina ulazima wa kutoa HARAKA taarifa za Simba kupewa pwenti 3. Wanaweza kusubiri wiki nzima au hata wiki 2 au 3 kama ambavyo wamekuwa wanafanya kutoa taarifa za mwezi za ligi. Kwa hiyo msitumie chaka la baadae kusema eti Bodi inachelewa kutoa taarifa kwa makusudi.

Nyie mkishaona Simba imetokea uwanjani, taratibu zote za mchezo zimefuatwa, mwamuzi amesubiri muda unaotakiwa akamaliza mchezo mjue imeisha hiyo. Hapo hapo mchukue hizo hatua mnazotishia kuchukua na wala msisubiri.
Hiki kiherehere si mngekua nacho tarehe 8?
 
Yanga ndio anajukum la kuuchagua uwanja je ushaelezwa mechi inachezwa kiwanja kipi?
 
Hakuna mchezaji atatoka mashindano ya shirikisho yaani UMISETA mashindano ya akina mama ataweza kupata nafasi YANGA
1000088570.jpg
 
Yanga ndio anajukum la kuuchagua uwanja je ushaelezwa mechi inachezwa kiwanja kipi?
Uwanja ni ule ule uliokuwa uchezewe mechi ya 08/03. Derby haiwezi kuchezwa KMC Complex. Mkitaka kubadili uwanja, taratibu za kufuata zinajulikana.
 
Akili ndogo siku zote haiwezi kuitawala akili kubwa. Yanga ni mwenyeji wa match. MAANDALIZI YOTE YA MECHI, YAPO JUU YAKE! Haya kasema hafanyi maandalizi yoyote. Sasa hiyo Simba itaingiaje uwanjani wakati uwanja utakuwa umefungwa maana meneja wa uwanja atajulishwa hakuna match yoyote siku hiyo? Yanga ndiye mwenye mamlaka ya kuruhusu uwanja ufunguliwe ama usifunguliwe. Hahahaaaa. Simba itafika uwanjani na mageti ya uwanja yatakuwa off🤣🤣🤣 haya tutaona watakavyopeana hizo points barabarani🤣🤣
 
Duh. Yaani unaamini Yanga ina mamlaka juu ya uwanja wa Mkapa kuwazidi Bodi ya Ligi, TFF na Wizara ya Michezo? Eti Meneja atajulishwa hakuna mechi, nani atamjulisha meneja wakati mnasema hamjachagua uwanja? Hizi hoja ndiyo mnajiandaa kuzipeleka CAS?

Yaani mnasema hamjachagua uwanja wakati huo huo mnajiandaa kupeleka mabaunsa kwa mara nyingine tena kuizuia Simba, Bodi ya Ligi, TFF na Serikali isitumie uwanja wa Serikali. Mnajazana ujinga wa kiwango cha SGR.
 
Katika kanuni za TFF, CAF na hadi FIFA, hakuna kipengele kinachosema kuwa mechi inakamilika iwapo tu kutakuwa na mashabiki jukwaani.

Hizi nguvu mnazotumia kusema eti mechi isitangazwe, tiketi zisiuzwe, nk. hazina maana yoyote ile katika taratibu za mechi.

Kwanza mkumbuke tiketi za 08/03 bado zinatambulika na zitatumika tena 15/06 kwa hiyo zaidi ya 70% ya tiketi tayari zipo mikononi mwa wale waliokwisha nunua.

Hata ikitokea hatokei mtazamaji hata mmoja uwanjani, taratibu za mchezo zitafuatwa, Yanga asipotokea uwanjani, Simba itapewa pwenti zake 3 na goli 3 saaafi. Hii cleansheet tutampa Diarra ajalizie katika rekodi zake.

Bodi ya ligi haina ulazima wa kutoa HARAKA taarifa za Simba kupewa pwenti 3. Wanaweza kusubiri wiki nzima au hata wiki 2 au 3 kama ambavyo wamekuwa wanafanya kutoa taarifa za mwezi za ligi. Kwa hiyo msitumie chaka la baadae kusema eti Bodi inachelewa kutoa taarifa kwa makusudi.

Nyie mkishaona Simba imetokea uwanjani, taratibu zote za mchezo zimefuatwa, mwamuzi amesubiri muda unaotakiwa akamaliza mchezo mjue imeisha hiyo. Hapo hapo mchukue hizo hatua mnazotishia kuchukua na wala msisubiri.

Kwa akili zako unahisi kuna kiongozi wa bodi ya ligi anaweza kuikata yanga point 3. Yanga ni kubwa kuliko TFF
 
Hakuna anayesema timu yoyote ikatwe pwenti 3 wala 15. Msichoelewa ni nini? Mbona mnang'ang'ania kukatwa, kwanini mnapenda kukatwa?
 
Akili ndogo siku zote haiwezi kuitawala akili kubwa. Yanga ni mwenyeji wa match. MAANDALIZI YOTE YA MECHI, YAPO JUU YAKE! Haya kasema hafanyi maandalizi yoyote. Sasa hiyo Simba itaingiaje uwanjani wakati uwanja utakuwa umefungwa maana meneja wa uwanja atajulishwa hakuna match yoyote siku hiyo? Yanga ndiye mwenye mamlaka ya kuruhusu uwanja ufunguliwe ama usifunguliwe. Hahahaaaa. Simba itafika uwanjani na mageti ya uwanja yatakuwa off🤣🤣🤣 haya tutaona watakavyopeana hizo points barabarani🤣🤣
Mpaka sasa Yanga hajalipia uwanja kwa siku hiyo ya tarehe 15.Manake wao wanasema wasipofanya mazoezi siku moja kabla ya mechi hawachezi, sasa sijajua siku hiyo mazoezi watafanyia wapi, maana uwanja haujalipiwa.

So kwa kutumia sababu waliyo itoa Kolo FC Apri 8,hata wao Kolo watagomea mechi ya April 15,sababu hawatopata nafasi ya kufanya mazoezi siku moja kabla ya mechi.
 
Katika kanuni za TFF, CAF na hadi FIFA, hakuna kipengele kinachosema kuwa mechi inakamilika iwapo tu kutakuwa na mashabiki jukwaani.

Hizi nguvu mnazotumia kusema eti mechi isitangazwe, tiketi zisiuzwe, nk. hazina maana yoyote ile katika taratibu za mechi.

Kwanza mkumbuke tiketi za 08/03 bado zinatambulika na zitatumika tena 15/06 kwa hiyo zaidi ya 70% ya tiketi tayari zipo mikononi mwa wale waliokwisha nunua.

Hata ikitokea hatokei mtazamaji hata mmoja uwanjani, taratibu za mchezo zitafuatwa, Yanga asipotokea uwanjani, Simba itapewa pwenti zake 3 na goli 3 saaafi. Hii cleansheet tutampa Diarra ajalizie katika rekodi zake.

Bodi ya ligi haina ulazima wa kutoa HARAKA taarifa za Simba kupewa pwenti 3. Wanaweza kusubiri wiki nzima au hata wiki 2 au 3 kama ambavyo wamekuwa wanafanya kutoa taarifa za mwezi za ligi. Kwa hiyo msitumie chaka la baadae kusema eti Bodi inachelewa kutoa taarifa kwa makusudi.

Nyie mkishaona Simba imetokeaaa uwanjani, taratibu zote za mchezo zimefuatwa, mwamuzi amesubiri muda unaotakiwa akamaliza mchezo mjue imeisha hiyo. Hapo hapo mchukue hizo hatua mnazotishia kuchukua na wala msisubiri.
Tulieni mpewe point za mezani,sisi yanga tumeshasema hatuchezi nyie mapovu ya nini sasa?
 
Mpaka sasa Yanga hajalipia uwanja kwa siku hiyo ya tarehe 15.Manake wao wanasema wasipofanya mazoezi siku moja kabla ya mechi hawachezi, sasa sijajua siku hiyo mazoezi watafanyia wapi, maana uwanja haujalipiwa.

So kwa kutumia sababu waliyo itoa Kolo FC Apri 8,hata wao Kolo watagomea mechi ya April 15,sababu hawatopata nafasi ya kufanya mazoezi siku moja kabla ya mechi.
Yaani mmejiaminisha kaujinga fulani halafu mnatafuta points za kijinga kusapoti ujinga wenu wa awali.

Aliyewaambia Yanga na Simba zikiwa zinatumia uwanja wa Mkapa wanalipa malipo ya awali ni nani?
 
Uwanja wa kwenu ,mbona unakuwa kilaza au hujui uwanja kama unalipiwa? Sasa unakataa nini unakubali nini? Unakuwa kama kiazi, mwenyeji wa hiyo mechi ni Yanga na yy ndiye ataye enda kujicomit kusema kwamba atalipa baada ya mechi,je mpaka sasa Yanga kishafanya hilo?

Unaonekana hujui vingi kuhusiana na mambo ya mpira, uwanja hulipiwa na timu mwenyeji, pili kila timu mwenyeji inakuwa na kampuni special ya kukata ticket kwa ajili ya gemu zake. Mpaka sasa Yanga hajawasiliana na wamiliki wa uwanja wa taifa kwa ajili ya makubaliano na malipo na pili mpaka sasa Yanga hawajawasiliana na kmpuni ya N Card kwa ajili ya kuruhusu ukataji wa tucket. Fuatili hivi vitu sio unapayuka kama kichaa.
 
Kwa hiyo mmekaa mkashauriana msitoe ushirikiano katika suala la uwanja kama chaka la hatopeleka timu uwanja wa Mkapa halafu mje kusema hamkuwa mmeuchagua uwanja?

Yaani mnapanga msiuze tiketi, msitoe ushirikiano wowote ikiwemo kutoshiriki vikao vyovyote vya mchezo, halafu mnataka muibukie uwanja wa KMC Complex siku ya June 15?

Sitakuja kufanya uhalifu wowote na mtu anayeshabikia utopolo maana hiyo ni tiketi ya VVIP kwenda jela.
 
Mbona maamuzi yana fahamika tokea April nane mlipo gomea nyinyi mchezo.Tatizo lenu nyie Kolo FC, hamjielewi mmewaingiza chaka bodi ya ligi sasa sababu ya upumbavu wenu, hawajui hata wanzie wapi.

Halafu wewe kwa timu yako hata leo tukicheza hapo Ukoloni Bunju na kunyuka vizuri kwa mara ya tano mfululizo.
 
Uwanja wa kwenu ,mbona unakuwa kilaza au hujui uwanja kama unalipiwa? Sasa unakataa nini unakubali nini? Unakuwa kama kiazi, mwenyeji wa hiyo mechi ni Yanga na yy ndiye ataye enda kujicomit kusema kwamba atalipa baada ya mechi,je mpaka sasa Yanga kishafanya hilo?

Unaonekana hujui vingi kuhusiana na mambo ya mpira, uwanja hulipiwa na timu mwenyeji, pili kila timu mwenyeji inakuwa na kampuni special ya kukata ticket kwa ajili ya gemu zake. Mpaka sasa Yanga hajawasiliana na wamiliki wa uwanja wa taifa kwa ajili ya makubaliano na malipo na pili mpaka sasa Yanga hawajawasiliana na kmpuni ya N Card kwa ajili ya kuruhusu ukataji wa tucket. Fuatili hivi vitu sio unapayuka kama kichaa.
Pia Uwanja wa Mkapa unapata mapato yake kwenye derby kama asilimia fulani kutoka kwenye mapato ya mchezo. Tafuta mkeka wa mgawanyo wa mapato katika derby yoyote iliyofanyika kwa Mkapa utaliona hilo.

Na kwa kuwa tiketi za 08/03 zilishauzwa na ndiyo zinaenda kutumika 15/06, malipo ya uwanja tayari yapo salama na hawana wasiwasi na kupata chao maana wanalipwa juu kwa juu.

Nikisema mnawaza kwa pupa na kujazana ujinga ndiyo kama hivi.
 
Mbona maamuzi yana fahamika tokea April nane mlipo gomea nyinyi mchezo.Tatizo lenu nyie Kolo FC, hamjielewi mmewaingiza chaka bodi ya ligi sasa sababu ya upumbavu wenu, hawajui hata wanzie wapi.

Halafu wewe kwa timu yako hata leo tukicheza hapo Ukoloni Bunju na kunyuka vizuri kwa mara ya tano mfululizo.
Usibadili mada kuipeleka nani atamfunga nani. Tujikite kwenye hoja.

Bodi hawajui vipi waanzie wapi wakati wametoa taarifa wametulia wakisubiri mchezo? Wanaoonekana kuhangaika kila siku kwa matamko ni viongozi wa Yanga.
 
Pia Uwanja wa Mkapa unapata mapato yake kwenye derby kama asilimia fulani kutoka kwenye mapato ya mchezo. Tafuta mkeka wa mgawanyo wa mapato katika derby yoyote iliyofanyika kwa Mkapa utaliona hilo.

Na kwa kuwa tiketi za 08/03 zilishauzwa na ndiyo zinaenda kutumika 15/06, malipo ya uwanja tayari yapo salama na hawana wasiwasi na kupata chao maana wanalipwa juu kwa juu.

Nikisema mnawaza kwa pupa na kujazana ujinga ndiyo kama hivi.
Zamani ila sio sasa, fuatilia uambiwe ndio maana siku hizi husikii habari za mgao, control ya ukusanyaji wa mapato kaachiwa timu mwenyeji, huamua kampuni gani iwakatie tickets.

Sio mbaya tumewapa sababu ya kutocheza tarehe 15,kwani bila shaka hamtofanya mazoezi so mnaweza kugoma tena kama mlivyo fanya tarehe 8.
 
Usibadili mada kuipeleka nani atamfunga nani. Tujikite kwenye hoja.

Bodi hawajui vipi wafanye nini wakati wametoa taarifa wametulia wakisubiri mchezo? Wanaoonekana kuhangaika kila siku kwa matamko ni viongozi wa Yanga.
Mbona nimetoa hoja zangu, tatizo lako unataka tufanane.
 
Zamani ila sio sasa, fuatilia uambiwe ndio maana siku hizi husikii habari za mgao, control ya ukusanyaji wa mapato kaachiwa timu mwenyeji, huamua kampuni gani iwakatie tickets.

Sio mbaya tumewapa sababu ya kutocheza tarehe 15,kwani bila shaka hamtofanya mazoezi so mnaweza kugoma tena kama mlivyo fanya tarehe 8.
Mazoezi yatafanyika vizuri tu jioni ya 14 June. Hilo wala lisikutie wasiwasi.

Nimesema toka mwanzoni mwa uzi huu. Bodi imetangaza kwamba tiketi za 08/03 zitatumika tena 15/06, hapo automatically suala la tiketi limetatuliwa.

Yaani nawaza, hizi kabisa mnaona ndiyo hoja mnazokaa mnajadiliana mzitegemee kweli katika suala hili?
 
Kama mtakuwa mmelipa nyie sawa.Ila kiutaratibu haipo hivyo.
 
Back
Top Bottom