Kutokuwemo mashabiki hakuondoi uhalali wa mechi

Kutokuwemo mashabiki hakuondoi uhalali wa mechi

😁😁 We unaongea kama nani ?
Ndiyo uhalisia. Mechi nyingi tu duniani zinachezwa bila mashabiki. Simba imecheza mechi mbili msimu huu bila mashabiki majukwaani. Leo hii vyura wanataka kuaminisha watu kuwa mechi inakosa uhalali kisa wametengeneza scene katika vichwa vyao ya kutokuwepo kwa mashabiki. Maajabu ya karne haya.
 
Back
Top Bottom