Media zote, ukijipeleka mwenyewe utaishia kutumika bure tu.Hapo Wasafi kama hawajakuchukua wenyewe ni njaa tupu,kijana kapata connection mwacheni akatafute maisha
Acha uchawi dogo. Mbona bado yupoHapo Wasafi kama hawajakuchukua wenyewe ni njaa tupu,kijana kapata connection mwacheni akatafute maisha
Una uhakika amehamia?Katoka mchangani fc kahamia timu ya kimataifa, tatizo liko wapi?
Punguza uchawi ndugu. Una uhakika amehamaChawa wa Wasafi watanuna utafikiri redio/tv ni yao.