Kutoka Wasafi kwenda Clouds (Sanya)

Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
17,975
2,000
Hana hisa Wasafi, muhimu ni future yake na maisha yake.

Ishtoshe wanahisa ni wale wale.

Wanahisa wako Dubai wanagonga glass ya wine tu. Pesa zao ndio zinatumikisha vijana.

They don't work for money as of now. Money works for them.
 

Aigoo

JF-Expert Member
Feb 27, 2015
3,066
2,000
Anatimkia pindi gani pale clouds jamaa ni mbunifu sana.....!
 

Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
17,975
2,000
Hapo Wasafi kama hawajakuchukua wenyewe ni njaa tupu,kijana kapata connection mwacheni akatafute maisha
Media zote, ukijipeleka mwenyewe utaishia kutumika bure tu.

At least yeye, kajenga jina na possibly ndio limempa kazi.

Sema idea ya kipindi kama yeye ndio aliipeleka Wasafi asitegemee kuondoka nayo.

Media owners ni wadhulumati sana
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom