kutoka uwanja wa Mbowe karatu

vp jaman tayari wameshafika waheshmiwa hapo karatu? Cc hapa songea ndo 2po kumckiliza 2ndu lisu. Anaongea kwny mkutano hapa bombambili. Ntawajuza pia jaman.
 
nani kakwambia anasomaga mwandiko wako mbovu(michango ya kigambagamba na sio reality) hapa jamvini......jiheshimu basiii ....waswazi wengine bwana ...sijui njaaa

Hebu muone na huyu naye???!!!!!!hivi na wewe unaweza kuongea mbele ya wanaume????!! au na wewe umekuja kuchakachua mada?bora ungechangia kwanza ndio ukaweka madudu yako,wewe na yeye wote akili zenu sawa!!!unajua ID zote zilizojiandikisha humu tangu tarehe 18 DEC tunajua kazi zake na inavyoonekana wewe ni 100%.
 
Nakuona rais wangu dr. Slaa uko hewani ambaye hata mtu akinishakia bastora nibadirishe jina la rais wangu basi achukue tu roho yangu ...tunakwamini ...kiongozi mwenye msimamo mvuto ...wewe uliyemfanya mama yangu sumbawanga mwenye misimamo ya kiccm akala kiapo cha kutokuja kuitaja ccm kwa jambo lolote zuri...hila za ccm zimemfanya bibi yangu beatrice afe ajaiona serikali yako aliyokuwa anatamani kuiona ...mungu amrehemu ....shikamoo mh. Rais.....naamini utaitika mtukufu hapo ulipo...tawi la udom tuko imara
 

mtu kama wewe ndio umesababisha leo natumia id hii nisubiri mwezi wa pili utaiona jina langu la kuzaliwa, nyie masalia mmesababisha vifungo vya watu wengi apa jf ila kamwe hatutorudi nyuma tutakikisha hampumui pamoja na tunguri zenu hazito wasaida,.
 

nani kakudanganya kwamba tarehe hiyo inaonesha kuwa mtu ni wa juzi jamvini .....vyovyote utakavyotafsiri wewe ni gamba tu......tunakuscan vizuri...
 
mapito CDM inapitia! wafitini wanaitesa kila upande...ila Mungu yupo ambaye hapendi udhalimu wanaotendewa watanzania. katika wingi wa utajiri wao ni maskini. makamanda pigeni kazi...TUTASHINDA!

CHADEMA imevuka majabali na miamba ya majaribu makubwa, kuliko hata ya sasa. Issues za muhimu ni kuzingatia ukweli, haki na uwajibikaji katika masuala haya. Mbali ya kuongozwa na akili, hekima, busara, kuheshimu maamuzi ya vikao kwa mujibu wa katiba, kanuni, maadili, miongozo, taratibu na itifaki za chama ndiyo wajibu wa kila mwanachama na kiongozi ili kuzidi kusonga mbele kumkabili na kumshinda adui.
 

..duuu hiyo nyomi ingekua kwa magamba ingekuwa kipindi maalum.....
 
Naangalia mpira ligi ya UK Sunderland v/s Tottenham.
Unaangalia mpira lakini upo Karatu kwa kufatilia hii thread.
Usiniambie umeoteshwa kuwa ktk thread hii wamekuulizia ha ha ha!
 
vp jaman tayari wameshafika waheshmiwa hapo karatu? Cc hapa songea ndo 2po kumckiliza 2ndu lisu. Anaongea kwny mkutano hapa bombambili. Ntawajuza pia jaman.
Mkuu hujui kusoma na picha pia huji kutazama..
 

e bwana c mchezo naona photo hizo.kimenukaaa na ccm hawana pa kukimbilia.
 
mtu kama wewe ndio umesababisha leo natumia id hii nisubiri mwezi wa pili utaiona jina langu la kuzaliwa, nyie masalia mmesababisha vifungo vya watu wengi apa jf ila kamwe hatutorudi nyuma tutakikisha hampumui pamoja na tunguri zenu hazito wasaida,.

Ahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!
Inaonekana ni tabia yako ya kumbe kuwatukana watueeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!
WELL!!!!1Nashukuru Mungu kwamba umejiweka wazi na Mods wamekuona ENDELEA NA MIMI KWA SABABU NIMEKUGUNDUA HUNIONI TENA ENDELEA NA MATUSI YAKO MKUBWA WA JF!!!!!
 
safi sana makamanda
na mkitoka huko njoni huku tuwawashie moto wa gesi mtwara
 
nani kakudanganya kwamba tarehe hiyo inaonesha kuwa mtu ni wa juzi jamvini .....vyovyote utakavyotafsiri wewe ni gamba tu......tunakuscan vizuri...

kaka usiangaike nae huyu yawezekana ikawa sio saizi yako ni mtu mdogo sana, we niachie mi nimalizane nae,. Nimemwambia kua mtu kama yeye ndio waliosababisha tue na id hizi mpya kwa uchafu wao tulio ugundua tar18/12/2012
 
Mkuu hujui kusoma na picha pia huji kutazama..

Mkuu jikite kwenye kazi achana nae huyo mwenye macho hambiwi tazama,we piga kazi mkuu,hapo ulipo una kazi nzito na ngumu,usikilize,upige,utujulishe kinachoendelea halafu bado mtu anataka umfundishe namna ya kusoma na kuangalia picha???!!!,fanya kazi moja tu ya maana kwa wengi.
 
Huko kibaha Magamba wamekosa watu kwenye mkutano wao. VIVA CHADEMA tuia picha

Mkuu mi nafikiri muhimu watu waelewe somo watanzania wengi wanajazana kwenye mikutano ya chadema lakini wakati wa kupiga kupiga kura utafikiri sijui huwa kichwani wanajazwa madudu gani....watanzania inabidi watambue sasa mda wa ccm kuendelea kutawala umeisha akili zao zimeshafika ukutani sasa tunahitaji viongozi wa kuongoza Taifa hili na c kutawala kama ccm hawa jamaa akili zao zimegonga ukuta hawawezi kututoa watanzania hapa tulipo ndugu zangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…