Nguvu moja
JF-Expert Member
- Oct 20, 2017
- 3,370
- 2,715
Misosi yetu
Mmmmmmmmh!!! Huu umbea sasa.Mmmhh! Mitamuu
Ndio mkuu karibu homeVyote hivyo wewe tu?
Karibia mkuu homeAisee! nimehisi njaa ghafla
Karibu kiongoziMadude ya maanA.
Kizuri kinajiuza mkuu.....[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mmmmmmmmh!!! Huu umbea sasa.
Yaan ulete uzi alafu uwe wa kwanza kuchangia
bas sawa [emoji4]Kizuri kinajiuza mkuu.....[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Asante sana...Ndio mkuu karibu home
Ndugu yangu hayo mafuta ujiandae na magonjwa kama hypertension...kisukari.. magonjwa ya moyo na figo..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nime salivate kama dog aiseee[emoji14]
Poa mkuubas sawa [emoji4]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Karibu mkuuWewe una hotel sio kwa maandalizi na muonekano huo.
Yaani hata kama umeshiba lazima uchu wa mbaaali ukutoke