Kutoka nje ya ndoa bila kondom

Kutoka nje ya ndoa bila kondom

amwambie ukweli!

Salamu Jf,
Nahitaji msaada wa mawazo mazuri. Jirani yangu mpendwa (she) anatembea na mume wa mtu, mkewe yupo nje ya nchi kwa masomo. 2weeks zilizopita mume kaenda kupima kajikuta ameupata ugonjwa - HIV, kwani mkewe anatarajia kurudi next wk. Cha ajabu aliporudi kwa jirani yangu (Kingasti chake) anamlaumu kwa nini hakumwambia atumie kondom hadi amemwambukiza. Hivyo basi anadai kuwa hajui jinsi ya kumweleza mke wake; anahitaji ushauri wenu aanze vipi kumweleza kwani alipoondoka alimwacha mzima? Wamefunga ndoa na wana watoto 2, nini kifanyike ili mke aelezwe? Lingine analohofu nikwamba akimweleza haki za ndoa si hataweza kuzipata tena; na je ndoa yaweza kutenganishwa na hili?

Punguzeni, majibu makali nahitaji ushauri mzuri.:disapointed:
 
  • Thanks
Reactions: awp
hapo kwenye red tuu, kwa hiyo unataka kusema watu wasiingie kwenye ndoa? tamaa ni tamaa tuu

Wala sisemi hivyo. Siwezi kuwapangia watu wazima mambo ya kufanya. Mi nimekuwa mhalisia tu na kuutupa ukweli.

Ni vigumu sana kuwa kwenye ndoa kwa muda mrefu, tuseme miaka 30, na mtu usitoke hata mara moja.

At some point boredom will set in and the temptation will get the best of you and desire somebody other than your spouse.
 
  • Thanks
Reactions: awp
ukweli utawale kwenye hyo ndoa alafu mwanaume ampe mwanamke maamzi ya kuamua.
 
  • Thanks
Reactions: awp
Unaeleza kuwa kabla mkewe hajaondoka alimuacha mzima, je walikuwa wamepima? Isije ikawa alikuwa ameshaathirika hata kabla hajaanza kutembea na huyo jirani yako.
 
  • Thanks
Reactions: awp
Huwezi kula wali na nyama mchana kwa mikono na jioni ukala mlo huohuo kwa uma na kisu...get the point?

Kwahiyo wanawake wanaweza? mi nafikiri ni mind set tu ya mtu and in some circumstances we are equally vulnerable (mfano kama mko mbalimbali kwa mda mrefu)
 
Mambo mengine kuomba ushauri ni kama kutujaribu. Mwambie amwambie mkewe ndoa ivunjike na AANZE kutumia ARV. Pia aache kufanya ngono isiyo salama ili asiambukize wengine. Asisahau kwenda nyumba ya ibada kutubu upuuzi wake
 
  • Thanks
Reactions: awp
Salamu Jf,
Nahitaji msaada wa mawazo mazuri. Jirani yangu mpendwa (she) anatembea na mume wa mtu, mkewe yupo nje ya nchi kwa masomo. 2weeks zilizopita mume kaenda kupima kajikuta ameupata ugonjwa - HIV, kwani mkewe anatarajia kurudi next wk. Cha ajabu aliporudi kwa jirani yangu (Kingasti chake) anamlaumu kwa nini hakumwambia atumie kondom hadi amemwambukiza. Hivyo basi anadai kuwa hajui jinsi ya kumweleza mke wake; anahitaji ushauri wenu aanze vipi kumweleza kwani alipoondoka alimwacha mzima? Wamefunga ndoa na wana watoto 2, nini kifanyike ili mke aelezwe? Lingine analohofu nikwamba akimweleza haki za ndoa si hataweza kuzipata tena; na je ndoa yaweza kutenganishwa na hili?

Punguzeni, majibu makali nahitaji ushauri mzuri.:disapointed:

Naomba utudanganye kuwa this is not a true story, just a fiction! km ni kweli true! binadamu hujafa hujaumbika! so sad!
 
Huyo mwanaume hatakuwa na ujasiri wa kumueleza mkewe. Wewe, au huyo rafiki yako, atafute line ya simu iliyosajiliwa kwa jina fake, amuandikie huyo mama msg kwamba: ..."Mama fulani, kwa nia njema kabisa naomba kabla hujafanya mapenzi na mumeo, mwambie muende mkapime. Hii ni kwa maisha yako, naomba usinitafute". Huyo mama atachanganya na zake...
 
Khaaa kwa lugha nyinhine ukisafiri safari zaidi ya mwezi mkirudi mpime aisee maana hii inatisha
 
  • Thanks
Reactions: awp
Kifungu cha 47 cha Sheria ya Kuzuia na Kupambana na UKIMWI,2008 kinasomeka hivi: 47. Any person who intentionally transmits HIV to another person commits an offence, and on conviction shall be liable to imprisonment to relating a term of not less than five years and not exceeding ten years
 
  • Thanks
Reactions: awp
Unaeleza kuwa kabla mkewe hajaondoka alimuacha mzima, je walikuwa wamepima? Isije ikawa alikuwa ameshaathirika hata kabla hajaanza kutembea na huyo jirani yako.
walikuwa wapo salama
 
Naomba utudanganye kuwa this is not a true story, just a fiction! km ni kweli true! binadamu hujafa hujaumbika! so sad!

Ni story ya kweli na bado ipo mbichi
 
mmmh ngoja yule mume wa mtu nikampime kesho.
Hii inaitwa ajali jamani waende tu CTC wapewe ushauri jinc ya kuishi.
Hapa ndo ile formula ukitulia unaletewa nyumbani loo!!
Btn nawaombea wakae salama walee watoto.
So sad jamani
 
Aise cheating kwenye ndoa ni over 90%!!! Msinitupie mawee ila ziko wazi!!!! Na wote tusema Shetani ashindwe Amen. Pole sana.Ni ngumu sana wenzi wa ndoa kutengana kwa muda kimasomo au vinginevyo. Binadamui is a natural being na sex ni part of his/her basic needs (msiseme eti basic needs ni malazi, makazi na chakula). A big no. Tusijidanganye eti darling usohofu we nenda tu marekani kasome miaka 2 to 3 hata miezi tu na mimi nitakusubiri na sionji nje!! Kasema nani? Cha msingi hakikisha unanunua ndom za kutosha na ukienda kumchinja mnyama wako unabeba kabisa na zile deep romance acha!!!
Back to the topic, tafadhali aweke wazi ameathirika, na waende kwa wataalam wa counselling AMREF kama wako Dar na wataogozwa cha kufanya hasa kama mke atakubali kuendelea na mume wake!!! Hii inawezekana kama atakubali kuwa katika maisha yake na mume atakuwa anafanya ngono salama tu!!! Yaani hapa mama hakuna tena yale mambo ya sijui kupiga hili au kile!!! Ila ni pagumu kuwa na mume kama vile umepata hawara nje vile!!!
 
  • Thanks
Reactions: awp
Duh nimesikitika sana ama kweli mshahara wa dhambi ni mauti. Sasa sijui itakuaje siku mama ndio anarudi, nashindwa kupata picha maana amekaa huko siku zote akimfikiria mumewe . Itabidi siku atakayo fika huyo mama ajitahidi kukutana nae huku akiwa amevaa kinga then siku inayofuata waende wakapime . Ajifanye tu kusema bwana ni vizuri tukacheck afya zetu upya. Baada ya hapo amwambie ukweli mkewe kua nini kilijili wakati hayupo. Lkn siku ya kwanza ajitahidi sana kumlinda mkewe yaani lazima watumie kinga sababu najua itakua ngumu kwenda kupima siku hiyo hiyo na itategemea amefika saa ngapi au ajifanye anaumwa hawezi kufanya tendo la ndoa siku hiyo . Pia naona Tuko amesema hiyo njia nyingine nayo naiona nzuri
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom