Masanilo
Platinum Member
- Oct 2, 2007
- 22,282
- 4,556
Picha zipo mkuu! sema leo network hapa haiko vizuri...ikikaa sawa nitazi upload! ila kuwa serious kidogo...
Nakushukuru kiongozi, niko serious kumbuka
Picha zipo mkuu! sema leo network hapa haiko vizuri...ikikaa sawa nitazi upload! ila kuwa serious kidogo...
Kwa kauli hii alikuwa hajagusa button ya raia wamlipue hata kwa mawe huyu ta..hira kibobo???Wanaopinga ni wale ambao hawajasoma, na hawajui lolote kuhusu gesi!
Anasali! "Baba uwasemehe wanaonizomea kwa kuwa hawajui watendalo"...akasema amen!
Sawa mkuu! pamoja sana, ila usitegemee kuwaona wanawake kwenye picha nitakazoweka..
safi kabisa,hakuna kuburuzwa tena kuimbishwa kiguuuuuuumu cha cha masisiem,ni suala la muda tu haya mafisadi yatajuta...we acha tu, sema watu wamezomea kwa stail ambayo ni ya kukimbia kimbia!!
Haya sasa!! anataka newala waunde chama chao cha ushirika wajitoe kwenye TANECU, (TANDAHIMBA NEWALA CO OPERATIVE UNION). wataalamu tunaita hii ni divide and rule

atakuwa anajua kuwa 2015 haendi kugombea ubunge, anatest signal kabla ya kufanya uamuzi mgumuni balaa! leo nimesikia maneno ya ajabu sana...na yeye kayasikia! wananchi wamemwita...mwongo, mwizi, mchawi! na mwingine karopoka kwa nguvu, "weee ni freemason"...?
Kwa mbunge ambaye bado nategemea huruma ya wananchi kumpa nafsi ingine ya ubunge, hawezi behave namna iyo,yeah! hili lakutogombea tena, mwenyekiti wa ccm wilaya alilisemea...ila si jambo la kuamini..